Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Mwalimu yeyote ni njia mbili ndio zinamfanya ajue kuwa kile anachofundisha kinafanyiwa kazi au kinazingatiwa na wale anaowafundisha
1 Wanaofundishwa huwa wanauliza maswali au kusema pale wanaposhindwa kuomba msaada ili waweze kuendelea mbele
hakuna aliyeuliza swali nikashindwa kumjibu
2 Ni Matokeo ya mitihani au kazi wanazopewa kuhusu kile walichofundishwa
Toka tumeanza na Mission ya kwanza changamoto kubwa ikaonekana Malta hakuna ubalozi Tanganyika nikawaletea njia ya kupata visa hata ukiwa Tanganyika yote ni kutatua tatizo liliojitokeza la ubalozi na visa
mpaka leo hakuna mtu aliyeleta mrejesho kuwa hata alikwenda ubalozi wa Italy kuuliza tu na majibu aliyopewa
Mission ya pili mpaka mwezi wa 6 ndio wageni wanakuja huko na wanaanza 5 wapo waliojitokeza kutaka kuwahost lakini waliojitokeza ni watu ambao wanataka kuwahost lakini waliojitokeza kuhost mmoja mmoja nadhani ni wawili tu ndo wamejitokeza sasa unajiuliza mgeni yeye anatoa fedha dola $100 kila siku sawa na laki mbili na kitu just for food en bed tena analala kwako ww kazi yako ni kumtembeza pale anapotaka tena kwa gharama zake lakini mwitikio ni mdogo ni watu wawili tu ndio wameonesha nia ya kuhost je siku ikitokea wakaja wageni zaid ya 10 host wanapatikana wapi?????
Na hii project nilileta kwenu kwa kuwasaidia nyinyi si kwa ajili ya biashara kama ingekuwa biashara yapo makampuni mengi ya kitalii au watu wanafanya kazi hizo
Hatuwezi kujaza saver hapa kwa maproject yasiyo fanyiwa kazi zaid ya story stroy tu hapa kufanya hvyo ni matumizi mabovu ya akili kitu ambacho sipo tayali kutumia akili yangu vibaya na inakuwa hakuna maana ya kupiga story tu hii ni kazi niliwai kusema kumekuwa na tatizo la kutransform Draft to Reality

Umeshapata mchumba wa ku oa?Ndoa mkuu
Mkuu mimi nipo Tayari kua host, tena nina nyumba kubwa sana huku Tz
Mimi nipo Tayari kua host tena kuna nyumba ya ku host ata wageni wa 4 Contacts zangu tryphonefrank@gmail.comHv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkoo
Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA
Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM
STUNTER
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Sijapata mkuu hadi nifike huko...Umeshapata mchumba wa ku oa?
Kaka mimi nimesoma nina degree so najua tupo wengi tunaohitaji scholarship please tusaidie tupate scholarship full fundedAgent ni kama nilivyosema wanaweb zao ukimpata weka detals zake hapa mm nitakwambia kama ni waukweli au ni wanaigeria ilo kwangu linawezekana pia kwani ww unataka kwenda nchi gani na kama umesoma nikusaidie upate Scholarship full bt as i told you no PM wala kujuana niambie wapi nikutumie link uendelee mwenyewe from there
Weka contact zake km mkuu izzo alivyosema anaweza kutuambia km ni wa ukweli au la ili watu tusepe zetu.Wadau mimi nipo Uganda, kuna jamaa yangu alienda Turkey 2013. Nimeongea nae kanipa no za Agent aliyempeleka. Nimeongea na Agent anadai Malta ni 8m Ugandan money. Visa na nauli kwa asylum seekers. Mwezi mmoja issue ni uaminifu km mjuavyo
I like you brother izzoWeka mawasiliano yake hapa then nitakwambia kama anaweza au lah bt kama unamwamini na umeridhika Good luck ukifika Malta toa mrejesho tukuelekeze vizuri na kama unataka jeshi nitakuelekeza umfate nani bt mpaka utape uraia wa Malta kwnza
Hiyo ni milioni 4.96 ya kibongo.Weka contact zake km mkuu izzo alivyosema anaweza kutuambia km ni wa ukweli au la ili watu tusepe zetu.
Ugumu wake uko vip mkuu ...natamani sana nifike kwenye hio inchi. Nipe maujanja kidogo ili nijue namna ya kufika aisee..Kwa sasa Germany ni pagumu sana mkuu but unaweza pata,ila itakuchukua muda.
Mkuu vipi unatuharibia uziS_sssssssssssssss_sssssssssssssssssssssssssqkxsssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssMeuxx#
Nilipata Manchester University, Coventry University, University of Sheffield (UK). Sasa hivi nimepata University of Twente, unconditional na Institute of Water Education -IHE- Conditional (Netherlands)Ni chuo gani hicho ambacho ulipata?