Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
- Thread starter
- #1,621
Sana sana aisee... Nikiwa DK nilipewa apartment nilivyoenda communa kujieleza sina uwezo huku nasoma na nalipiwa kila kitu... Ila uwe mkweli na hauna kitu cha thamani... Ukienda omba nyumba ya bure huku unaendesha gari watakwambia kauze gari kisha uje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo msosi tulikua tunaiita stuff!!
Kuna mbongo mmoja hivi tupo Norway anademu wake Ni mkenya wanauza hizi fresh flowers wanazitoa Arusha,jamaa mpaka akanunua apt ya vyumba3 na mkewe kachukua uraia WA kule.anakwambia pesa yangu now haina kazi because watoto wanasoma free schools na anakaa kwake.Anafurahia sana maisha aise.
Vyakula vya hivyo vimetutoa sana sana aisee.....