Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ahahaaaaa,hela ya "muzungu" ni nouma mkuu.
Mkuu story zako zina furahisha sana hapa jamvini je kupa visa ya kwenda huko ulaya ulifanyiwa mchongo na wadau wanaoishi huko au ulikwenda kimasomo na kufanya kazi kwenye hizo bustani mpaka uwena elimu ya kilimo au mtu yeyote anaeza kufanya hiyo kazi asante.
 
Msifanye haraka wakuu, maisha magumu wengi wanakuwa na mihangaiko ya muda mrefu sana. Izzo na lusungo msije mkaharibu hii mada mliyoiotesha kwa jasho na damu
Nitakuwa mpumbavu kama nitafanya hvyo bt kumuulizia mtu si kitu kibaya mm mambo ya PM nilishakataa so namuulizia hapa jukwaani

Pia unatakiwa kujua muda ni rasilimali muhimu sana je unajuaje kama siku niliyomwambia kulikuwa bado wiki au situ 3 wafunge maombi ya kuomba ufadhili ?
 
hii kitu ni kweli hata rafiki zangu wananipa ukweli halisi....

"Botswana is just fine, we r very friendly. U will b safe here. If u want to enjoy Botswana don't go against the law.
I want to buy some fabrics there (Tanzania)"[/QUO. Mkuu maisha ya Botswana yakoje kwa mtu non educated? Labour job zinaptkana?? na malipo yake kwa cku ni sh.ngapi za kibongo? Au akifika kule na laki tano za kibongo unaweza fanya biashara gani inayolipa??? Naombeni msaada kwa anaejua coz kuna rfk yang anataka kwnda kutafta maisha.
 
Wapo wanaojifanya wakimbizi wakifika kambini wanaandikishwa mle wapatapo wafadhili wanapelekwa nje na huko baada ya mda wanarudi kutusalimia :::::mpaka unatamani na wewe ungekua mkimbizi!!!! Jaribu kujilipua labda utafanikiwa!!!
 
Naona kuna watu bado wanawaza kuchonga barua za mwaliko.

Hayo mambo inawezekana yalikuwepo huko nyuma ila sasa hivi yanatiliwa maanani sana.

Ila kwa ushauri wa maana sana ni kwamba sasa hivi huwezi kwenda nje ya nchi khasa Ulaya au Marekani na Canada kama huna kazi ya uhakika au mfadhili wa uhakika kama wewe ni mwanafunzi.

Hata yule mwalikaji nae anabanwa na mambo mengi na khasa uhakika wa wewe kurudi na wanaweka dhamana kabisa.

Kuhusu Malta wao siku hizi wameweka viza ya makazi ya kudumu kwa wale waotoka nje ya bara la Ulaya lakini lazima uwe na kiasi kisichopungua Euro 200,000.

Hivyo tayari wanaangalia watu wenye uwezo kifedha.

Mkiona watu wanakuwa wazito ufahamu kuwa mambo ni mazito.
Mkuu yote uliyoongea ni by the book bt nataka kukwambia muhamiaji ana akili zaidi ya askari wa uhamiaji

Watu wanapata uraia na ukazi wa kudumu Malta with 0 euro kwenye account ya bank

Euro 200,000 kama unazo Bongo ya nini uje huku wakati unauwezo wa kumake more ndani ya Tanganyika na ukaja huku kama kutembea na kula bata tu

Tatizo fursa za Tanganyika ni kama mpira yule anayecheza ndani awezi ona lakini aliyenje ya uwanja au anayeangalia anaona chance za kufunga magoli zaidi ya mchezaji wa ndani
 
Mkuu visa ya New Zealand sina hakika sana but sidhani kama inasumbua.Maana mie nilienda Australia 2012 mwz sept kwenye kampuni moja ya kilimo cha ndizi na strawberry mji mmoja unaitwa Queenland,so nikawa nimewahi msimu ambao huanza Dec to may.Kisha mwezi June Kuna jamaa zangu wagana wakasema twende New Zealand tukapige kazi huku tukisubiri msimu mwingine,Kule tukaenda kwenye kampuni moja ya kufunga maziwa IPO Wellington,but tamaa ya pesa ikatuharibia maisha.Kuna jamaa mmoja hivi alikua Ni Malaysia akatupa deal la kumtafutia vitoto vya Kobe fulani hivi nimesahau jina,kobe hao walikua wanapatika sehemu1 inaitwa Tongariro kuna national park.Jamaa alitoa offer ya $75ea title na alitaka 4000hds na tulikua 4.Nikasema kwa deal hili nikirudi bongo kwanza naanza na Wema "Sepenga" Kisha namaliza na na Jack Wopper.Wanaume tukapiga kazi kwa siku2 tukapata kama 90 hv.Wakati huo tulikua hatujaingia kwenye hifadhi,tulikua pembezoni,tamaa ilipozidi tukasema why tusiingie hifadhini ili kieleweke mapema?ule tunaingia Tu haikupita Ata dk10 tukaona helkopta kama 6 hivi angani.Muda mfupi tayari tukawa tumedakwa na kupelekwa lokapu,kesho yake mapema tu mahakamani kwa kuingia hifadhini bila kibali,mvua za miezi3 zikatuhusu baada ya hapo ni patriation ya kutoweka na kurudi Australia because tulikua na visa za kule,but kumbe hawa wasengerema walishatoa na taarifa kwenye ile kampuni so na wao hawakua na namna zaidi ya kututimua.Since then sijaenda tena huko.
But life zuri maana unskilled tulikua tunavuta around Aud$18/hr.
Mkuu tafadhali maelezo kidogo namna ulivyoweza kufika huko ukiwa unskilled laborer. Napazimia sana Ocenia.
 
Hawa Mawakili ni wasomi. Watakachokifanya TAMISEMI ni kushawishi tu kwani kura ni uamuzi binafsi na ni siri ya mpigaji kura.
 
Mkuu naandaa mfumo mzuri wa kufanya swala hili kwani project ni mwezi wa 6 namba nilisema nianze kutumiwa mwezi wa 4 bt mpaka sasa nimepata namba kama saba tu bt ktk watu 7 niliopata namba zao watu watatu hawafai kutokana na sababu za usalama wa wageni bt kwenye project ya mwezi wa 6 tutaitaji host kama 20 hv


kavel kavel vp mbona kimya toka juzi maneno 400 bado????? duh
Kuna misemo 2 ambayo huwa inanifanya kujihisi niko hai

1."To be a leader is to suffer for the other's "
2. As you're trying to light a candle for others to see the bright future ahead, your also brighten your own future.

Huu Uzi umenikumbusha mbali sana mwaka 2007 nakumbuka nilienda ubalozi wa marekani mara 2 bila mafanikio, kipindi hicho kuomba visa nilikua ni dola 100 so nilipoteza dola 200 ziliniuma sana japo sikua nimezitoa mimi.

Kipindi icho nilikua najiandaa kufanya mtihani duuu nilijihisi kukosa amani kwani sikuamini kabisa kilichonitokea mara 2 kunyimwa visa, ikumbukwe nilikua under 18 na nina mashetani ya kwenda mbele kwa George W.Bush.

Mpaka naenda chuo akili yangu ilikua haikubaliani na kitendo cha kukosa visa lakini nitafanyaje na ndio ishatokea, niliumia zaidi baada ya mfadhili wangu tokea primary nae alipopata mtoto akiwa na miaka 58 mke na mume 60 huo ni mwaka 2010.

Kwao ilikua furaha nami nilifurah mwanzoni lakini furaha ikatoweka baada ya kunijulisha kuwa hawataweza kuendelea kunizamini masomo ya udaktari katika chuo cha IMTU.

Ndoto zangu za kuwa njia katika kitongoji changu zikazidi kufifia ilinilazimu lubadili course na kuhama chuo ikumbukwe TCU imeanza kutumika mwaka 2010.

Huwezi amini nilibidi kwenda ofisini kwao na kujifanya chizi ili nihamishwe chuo. Vingine ni kama masihara nakumbuka ilikua majira ya sa 8 mchana ndio niliruhusiwa kuingia ndani kumwona anaehusika na data base, kabla ya kumwona nikakutana na mama 1 akanihoji sana, ikabidi nijitoe ufahamu, niigize wa vijijini chuo nilisaidiwa kuapply na shangazi na hakujua kama zile 4500$ ni dola..Asee usiombee, ila akili ni Mali. Basi ofisi nzima wakaanza kunicheka na kushangaa, mimi wala siogopi KAMA ZOMBIE tu nilikua. Basi mama akanichukua mpaka kwa jamaa wa database then wakanibadilisha kwenda vyuo vya watoto wa wakulima aka vya TSH.

Ikumbukwe waliokua wananidhamini na kunifadhili naenda USA ni professors mke na Mme wrote ni profs mwenye sekta ya Afya, hivyo nilikua nina imani kwamba pesa ya kuendelea kunifadhili ilikuepo lakini wamegoma baada ya kupata mtoto tena wa uzeeni hata ivyo bahati haikua upande wangu mwaka 2007.


Baada ya mambo mengi nimekua nikipambana kuhama hii nchi kwa kutumia mipango hafifu lakini kupitia huu uzi nimejikuta najihisi bado niko hai tena. BIGUP wrote mnaozidi kutoa mlicho nacho. THROUGH SHARING KNOWLEDGE & SKILLS WE ARE SHARING LIFE.

Kupoteza na kupata ni kama 1_2, ukweli kufatilia kila comments mwenye huu Uzi kisha unakaa kimya bila kuchukua hatua yeyote sio jambo LA kiungwana kabisa, natamani kila atakaesoma huu Uzi abadilike ama abadilishe wengine kwa namna ingine.

MREJESHO.
NIlifungia accounts couch surfing na air bnb pia kujiunga home stays, hivi vitu ni kweli vinaganya kazi yaani ukiwa na nauli ya tickets go & return kuna host wana kupata offer ya kukupokea airport na free meals & accommodation in exchange of 0.00 coins kwa miezi 1-12 hapa ni wewe tu. Huwafanyii kazi yeyote.

Nimejaribu Leo kutumia host stays nchi za China 3, Japan 3, korea, Finland, Malta.

Pia kuna host unachangia dola MF. 500$ kwa mwez wanakupa chakula na malazi kwa mwezi, kwa walioko serious na nauli mkononi jipange then jua kwanini unaenda uko, utapataje RP, kisha jisogeze mbele. Muhimu ni kujipanga tusiende tu kisa umesikia kuna green pasture, lazima uwe na ramani na Dira ya unakotegemea pia PLAN B

MWISHO.
Naomba kuwa coordinator wa host kwa Tz, sio kazi nyepesi lakini naimani, nina uwezo wa kufanya kwa kiwango kinachotakikana#izzo
Ila kama unaenda south njia salama ni ya ndege tu... Kata return ticket... Ingia booking.com book room then print booking conformation ibebe ukifika huko unawaonesha tuuu unapita!!

Njia ya boda si nzuri sana

Isanga family
 
Mkuu l
Nitakuwa mpumbavu kama nitafanya hvyo bt kumuulizia mtu si kitu kibaya mm mambo ya PM nilishakataa so namuulizia hapa jukwaani

Pia unatakiwa kujua muda ni rasilimali muhimu sana je unajuaje kama siku niliyomwambia bado wiki au situ 3 wafunge maombi ya kuomba ufadhili ?
Mkuu Izzo. Sijachangia tangu thread imeanza ila nilikua nafatilia na nimeshafanya mambo kadhaa sababu me issue ya kuondoka hii nnchi nnayo taku mzee wangu alipofariki na familia kusambaratika.. Nina bad feelings na hii nchi hasa ukiangalia mzee kabla ya kufariki alikua mtu wa serikalin but after kufariki walichotufanyia i dont want even to remember.. So now nafanya kazi somwhere na nimewekeza some amount so im very serious na hii thread imeniongezea pa kuanzia... Nmeshaenda migration na nmepewa form ya kuomba passport cas nakumbuka nlipokua mdgo nlikua na passport kama nakumbuka vzur but mzee alipofariki sikuiona tena ila wao sijawaambia.. Nilikufata pm pia kukwambia about kuwa host amd that was my plan na nlijiunga na couchsulfing ile ya kutafuta travellers ila skufanikiwa but sikua serious cas at that time nlikua siko stable but now im not much stable ila i have a quit nice place to live japo nmepanga but is a safe place with gate... Pls dont leave me in this issue ya kuhost... I need only a way to go there.. Nkifkisha 7 million takua ok now kuondoka so kwangu mimi kufkia mwez wa 9 mwaka huu tawwza kuondoka japo ikitokea hata wa 6 kama takua ok taweza but please please usiniache... You have my number in your pm....
Guys tuwe serious sijui wengne wanawaza nn lakin lazma tuwe na effort haya ni mawazo tumepew ila inabdi utafte pesa mwenyew hata kidgo kidgo fanya kazi yyte kwa bidii ilimrad upate nauli na hela ya matumiz ukifka huko... Then ukifka tafta kazi harak hata ongea ma watu w huko wakusaidie waambie matatizo yako ikiwezekana waongopee ilimladi wakusaidie uweze kupata working permit au ulaia... Naamin kama una nia y kwenda utaenda no matter what... Mkuu izzo thanx a lot
 
Mkuu l

Mkuu Izzo. Sijachangia tangu thread imeanza ila nilikua nafatilia na nimeshafanya mambo kadhaa sababu me issue ya kuondoka hii nnchi nnayo taku mzee wangu alipofariki na familia kusambaratika.. Nina bad feelings na hii nchi hasa ukiangalia mzee kabla ya kufariki alikua mtu wa serikalin but after kufariki walichotufanyia i dont want even to remember.. So now nafanya kazi somwhere na nimewekeza some amount so im very serious na hii thread imeniongezea pa kuanzia... Nmeshaenda migration na nmepewa form ya kuomba passport cas nakumbuka nlipokua mdgo nlikua na passport kama nakumbuka vzur but mzee alipofariki sikuiona tena ila wao sijawaambia.. Nilikufata pm pia kukwambia about kuwa host amd that was my plan na nlijiunga na couchsulfing ile ya kutafuta travellers ila skufanikiwa but sikua serious cas at that time nlikua siko stable but now im not much stable ila i have a quit nice place to live japo nmepanga but is a safe place with gate... Pls dont leave me in this issue ya kuhost... I need only a way to go there.. Nkifkisha 7 million takua ok now kuondoka so kwangu mimi kufkia mwez wa 9 mwaka huu tawwza kuondoka japo ikitokea hata wa 6 kama takua ok taweza but please please usiniache... You have my number in your pm....
Guys tuwe serious sijui wengne wanawaza nn lakin lazma tuwe na effort haya ni mawazo tumepew ila inabdi utafte pesa mwenyew hata kidgo kidgo fanya kazi yyte kwa bidii ilimrad upate nauli na hela ya matumiz ukifka huko... Then ukifka tafta kazi harak hata ongea ma watu w huko wakusaidie waambie matatizo yako ikiwezekana waongopee ilimladi wakusaidie uweze kupata working permit au ulaia... Naamin kama una nia y kwenda utaenda no matter what... Mkuu izzo thanx a lot
Mkuu tuombe Mungu tu lakini kwa hii pln itawatoa wengi sana kila mwaka 20 - 30 wageni

Kama kweli mtafanyia kazi Project hii trust me wengi mtaondoka tena wengine kwa kuto gharamika hata sh 100 coz mgeni anatoa dola 100 kila siku asubuhi zaidi ya laki 2 then kama utamfanyia wema mgeni wako na yeye hato sita kukufanyia wema pale utakapo kuwa na ww unaitaji wema wake na yeye

Pia ktk Project zote nilizo leta au zitakzo kuja hakuna hata mtu atakayeombwa hata sh 10 na kama itatokea njooni jukwaani mseme yote ni 100000% free kuanzia kuhost na msaada mwingine wowote kutoka kwangu
 
Peoples of this zone have never been serious on serious matters (just kidding ma people)

Ukweli wengi wanashindwa kwa kukosa maarifa ata kwenye bible imeandikwa. Sijui ni nani ngapi ngapi (watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa).

Yote yaliyosemwa kwa hii thread sio mapya ni mbinu za zamani lakini tatizo hatuna taarifa " tumepungukiwa hayo maarifa""

Old wining tricks in a new fashion to new peoples.

Mpaka dakika hii nimeshapata host wa 2 kutoka Japan na nimeanza leo sa 8-10 jion kucheki kwenye mtandao.

Kuna host wa kulipia na free so unabidi uangalie anapatikana mji gani na kama unaendana na vigezo vyake.

Yote haya nimepata mwanga kupitia huu Uzi. Vijana wa mtaani kwangu hutumia msemo ,NJE ni NJE tu, na huo ndio ukweli.

Narudia tena kuna host wanakupa free meals & accommodation just for you to exchange your culture & learn their culture.

Usimdanganye host wako kuhusu chochote kuanzia background yako mpaka ELIMU ama familia apa ni kwa wale wenye wake then wanasema wapo SINGLE akigundua uaminifu wote kwishney.
 
Yes mkuu
Mkuu story zako zina furahisha sana hapa jamvini je kupa visa ya kwenda huko ulaya ulifanyiwa mchongo na wadau wanaoishi huko au ulikwenda kimasomo na kufanya kazi kwenye hizo bustani mpaka uwena elimu ya kilimo au mtu yeyote anaeza kufanya hiyo kazi asante.
Kuna mtu yupo Canada ndiye aliniunganishia deal,ilikua niende CA kwenye co la uvuvi but ikatokea hiyo ya kilimo nikaidaka.By the way sikwenda kama professional,nilikwenda kama unskilled woker.
 
Mkuu tafadhali maelezo kidogo namna ulivyoweza kufika huko ukiwa unskilled laborer. Napazimia sana Ocenia.
Kuna mtu aliniunganishia deal mkuu.
But Kuna jamaa yeye Ni dreva tulienda nae still tupo CA,but mziki wake Ni balaa,maana Ana drive from CA to USA kupeleka viazi na magari ya mizigo.
 
Tatizo letu wabongo hatusaidiani,kuna jamaa tulikua nao Australia walikua kila mwezi wanamchangia mwenzao kuruka mtoni,na niliiona sana kwa wagana na wanaijeria.Ila kuna mbongo yupo australia siku moja namuulizia inshu anajifanya hanijui wakati tulikua tunalala wote geto....nyambafu zake ipo day.
 
Yes but Scandinavian countries maisha hapo juu hasa kwenye misosi ingawa apt Hazina tabu.Kikombe cha chai ya maziwa around €2 while new Zealand Ni kama 0.75.
But chai Yao inakiwango cha kimataifa.unakunywa chai na mkate unajisikia kama upo peponi.Kwakweli mpaka leo sijajua viungo wanavyotumia mpaka chai iwe tamu vile alohhh
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛 mkuu mate yamenitoka!
 
Back
Top Bottom