Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Sana sana aisee... Nikiwa DK nilipewa apartment nilivyoenda communa kujieleza sina uwezo huku nasoma na nalipiwa kila kitu... Ila uwe mkweli na hauna kitu cha thamani... Ukienda omba nyumba ya bure huku unaendesha gari watakwambia kauze gari kisha uje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vyakula vya hivyo vimetutoa sana sana aisee.....
 
Mkuu unga siku hizi sio ishu kuna supermarkets zinauza hio kitu...

Mfano ukiwa DK unaweza kwenda ujerumani pale Flensburg kuna maduka ya wa thailand utapata kila chakula cha kiafrika
Dah,inabidi nifanye mchakato wa kurudi tena huko mkuu.
Na this time ntakuwa kijana mwema sana.
Nirudi europe nikale ugali na uyoga,maana naogopa kula nyama za wazungu because halal shop zilikua sii nyingi,hope now days halal shop zipo sasa.
 
Dah,inabidi nifanye mchakato wa kurudi tena huko mkuu.
Na this time ntakuwa kijana mwema sana.
Nirudi europe nikale ugali na uyoga,maana naogopa kula nyama za wazungu because halal shop zilikua sii nyingi,hope now days halal shop zipo sasa.
Nyingi mno... DK na Sweden migahawa ya waarabu imejaa tele aisee... Wale ndo huuza halal foods....

Na kama unapenda mchanganyiko kwa DK kuna mji wa pili kwa ukubwa unaitwa Aarhus huko tulikua tukipaita Somalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana waarabu na waafrika ndo wamejaa hatari.
 
Wao,nadhani Ni kama pale Rotterdam,ingawa Rotterdam hakuna pesa,but halal foods Ni nyingi Tu.
 
Kuna kitu wanaita syrup ambayo ina maji na sukari pengine wanatumia pia hiyo kuweka ladha kwenye chai.

Sisi chai tunaidharau sana lakini ni kinywaji bora sana ukikipatia utengenezaji wake.
Sana aisee...
 
kiwango cha chini (gharama) kwa chumba cha kulala kwa siku...
 
natamani kufika hizi boda maana rafiki zangu wa botswana wananiringishia sana....


 
mm naitaji kwenda Iceland , Malta au Sweden, nipeni contact niweze kupata Barua ya mwaliko tu, mambo mengine yote nitasimamia mwenyewe bila wasi wasi wowote maana nimejipanga vyakutosha .
Tatizo ni hilo tu, Barua ya mwaliko.
Haha barua ya mwaliko then ukifika huko utaishije?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…