Nashangaa why Europe apt Ni cheap dhan TZ?mkuu kule apt ni cheap kutegemea na unapoishi.
nasikia Europe tailoring ina pesa sana.... naomba mlio majuu mtujuze katika hilo... vipi fabrics pia zinaenda kama botswana na zimbabwe...?Finland ni more cheap mkuu.Tatizo ni wapi utaupata unga wa kupikia ugali???na sisi wabongo hasa sisi akina "Mura" bila ugali is nothing.
Alafu ukiwa unasuka rasta basi utaopoa mademu wa kizungu mpaka basi.
Mkuu una nikumbusha kigoma wale watu wanapiga sana uyoga... kipindi cha mvua wanakubali kunyeshewa ili wavune hiyo kitu kuna muda una waona kabisa jinsi wanavyoula mbichi ule mteke mteke alafu wa njano ya binzariDah,inabidi nifanye mchakato wa kurudi tena huko mkuu.
Na this time ntakuwa kijana mwema sana.
Nirudi europe nikale ugali na uyoga,maana naogopa kula nyama za wazungu because halal shop zilikua sii nyingi,hope now days halal shop zipo sasa.
Botswana pako fresh Sana mkuu, kama utakua na vibali vyakuishi. Huwezi ukaishi Botswana kama kwa Madiba. Huku sheria IPO. [emoji41] [emoji41]Fursa za Botswana vipi wakuu?
Ndio nipe information mkuu tunayapanga vipi?Sasa hayo yote lazima uyapange huku nyumbani.
Inshaallah... na ndio najaribu kujichanga mzee naangalia jinsi ya kwenda na kuanza hata na kabiashara kachap chap una pata hata USD 50 hata 100 sio unaenda alafu ujaongeza kitu katika akiba uliyoenda nayo mzee... haya mambo ni kujiongeza ukiambiwa kitu una fikiria zaidi ya pale weka loss na profit na loss ikitokea unakuwa tayari kukabiliana nayo, faida ikitokea pia ndio mwanzo wa kufanikiwa ila unaongza mbinu zaidiWeka nia utafika tu siku moja!
watu wanavyo foji na kujigongea mihuri mkuuHaha barua ya mwaliko then ukifika huko utaishije?
Ila kama unaenda south njia salama ni ya ndege tu... Kata return ticket... Ingia booking.com book room then print booking conformation ibebe ukifika huko unawaonesha tuuu unapita!!Inshaallah... na ndio najaribu kujichanga mzee naangalia jinsi ya kwenda na kuanza hata na kabiashara kachap chap una pata hata USD 50 hata 100 sio unaenda alafu ujaongeza kitu katika akiba uliyoenda nayo mzee... haya mambo ni kujiongeza ukiambiwa kitu una fikiria zaidi ya pale weka loss na profit na loss ikitokea unakuwa tayari kukabiliana nayo, faida ikitokea pia ndio mwanzo wa kufanikiwa ila unaongza mbinu zaidi
Barua ya mwaliko wa kupata visa huwez foji... Kwanza huyo anaekualika anajaza form na full details zake...hizi barua hazifojiwi kama hz za huku kwetu
watu wanavyo foji na kujigongea mihuri mkuu
Botswana pako fresh Sana mkuu, kama utakua na vibali vyakuishi. Huwezi ukaishi Botswana kama kwa Madiba. Huku sheria IPO. [emoji41] [emoji41]
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Ila kama unaenda south njia salama ni ya ndege tu... Kata return ticket... Ingia booking.com book room then print booking conformation ibebe ukifika huko unawaonesha tuuu unapita!!
Njia ya boda si nzuri sana
Isanga family
Mkuu unajua nilitokea 44KJ pale mbeya nikiwa na utaalam wa kilimo na mifugo ingawa sikua na cheti,so nilivyoenda europe nikabezi kwenye mambo hayo tu thats why nikaenda Australia na New Zealand,but nilibahatika kufika mpaka Helsinki nikawa napiga kazi kwenye warehouse moja hivi long stand job,but tatizo nilikua na girlfriend Tz na nilinuacha mja mzito so akawa kajifungua ikabidi nirudi home,Then wakati nikijiandaa kutimka tena nikaanza kuuguliwa na "mshua"so nikamuuguza for two yrs but mungu akampenda zaidi,baada ya hapo sikuona aja ya kuondoka kumuacha bi mkubwa na wadogo zangu wakiwa wanasoma,ikabidi nitumie amount niliyokua nayo kuwasomeshea wadogo zangu na pia nikaewekeza some where...but madogo wote wapo chuo kikuu mmoja yupo mlimani na mwingine Jordan Moro,mwingine ni wakike alisoma education Chuo kimoja Tabora now days yupo Texas alipata shavu huko mji mmoja unaitwa Houston.nasikia Europe tailoring ina pesa sana.... naomba mlio majuu mtujuze katika hilo... vipi fabrics pia zinaenda kama botswana na zimbabwe...?
Asante kwa kutupa experience hii!! Hahahaaa jamaa ukawa unamuwaza Tz sweat heart sepenga!!! DuuuMkuu visa ya New Zealand sina hakika sana but sidhani kama inasumbua.Maana mie nilienda Australia 2012 mwz sept kwenye kampuni moja ya kilimo cha ndizi na strawberry mji mmoja unaitwa Queenland,so nikawa nimewahi msimu ambao huanza Dec to may.Kisha mwezi June Kuna jamaa zangu wagana wakasema twende New Zealand tukapige kazi huku tukisubiri msimu mwingine,Kule tukaenda kwenye kampuni moja ya kufunga maziwa IPO Wellington,but tamaa ya pesa ikatuharibia maisha.Kuna jamaa mmoja hivi alikua Ni Malaysia akatupa deal la kumtafutia vitoto vya Kobe fulani hivi nimesahau jina,kobe hao walikua wanapatika sehemu1 inaitwa Tongariro kuna national park.Jamaa alitoa offer ya $75ea title na alitaka 4000hds na tulikua 4.Nikasema kwa deal hili nikirudi bongo kwanza na Wema "Sepenga" Kisha namaliza na na Jack Wopper.Wanaume tukapiga kazi kwa siku2 tukapata kama 90 hv.Wakati huo tulikua hatujaingia kwenye hifadhi,tulikua pembezoni,tamaa ilipozidi tukasema why tusiingie hifadhini ili kieleweke mapema?ule tunaingia Tu haikupita Ata dk10 tukaona helkopta kama 6 hivi angani.Muda mfupi tayari tukawa tumedakwa na kupelekwa lokapu,kesho yake mapema tu mahakamani kwa kuingia hifadhini bila kibali,mvua za miezi3 zikatuhusu baada ya hapo ni patriation ya kutoweka na kurudi Australia because tulikua na visa za kule,but kumbe hawa wasengerema walishatoa na taarifa kwenye ile kampuni so na wao hawakua na namna zaidi ya kututimua.Since then sijaenda tena huko.
But life zuri maana unskilled tulikua tunavuta around Aud$18/hr.
Ahahaaaaa,hela ya "muzungu" ni nouma mkuu.Asante kwa kutupa experience hii!! Hahahaaa jamaa ukawa unamuwaza Tz sweat heart sepenga!!! Duuu
Mkuu JF ni familia moja takatifu sana...so mwenye idea nzr anaitoa kwa roho moja.Uzi mzuri sana, sija changia chochote tokea mwanzo hadi hapa Uzi ulipofikia. Shukran sana kwa wadau wanaotoa michango, kwalengo lakuelimisha wengine ili waweze kufikia ndoto zao. Hakika nilijifunza mengi sana...
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Hahahahahahaha, baba peponi ushafika hadi useme chai inafanana na yapeponiYes but Scandinavian countries maisha hapo juu hasa kwenye misosi ingawa apt Hazina tabu.Kikombe cha chai ya maziwa around €2 while new Zealand Ni kama 0.75.
But chai Yao inakiwango cha kimataifa.unakunywa chai na mkate unajisikia kama upo peponi.Kwakweli mpaka leo sijajua viungo wanavyotumia mpaka chai iwe tamu vile alohhh
Tunaamini maandiko mkuu.Hahahahahahaha, baba peponi ushafika hadi useme chai inafanana na yapeponi