Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza



Mkuu Lizarazu, thanks a bunch bro for your enlightening insights. You are always wise n' cheerful! Wewe ni miongoni wa jf members who make JF a nice place to chill n' browse. You are the real comrade.

Yep kiongozi, activism activated to push poverty at bay. Tuendelee kupambana na kushare opportunity avenues until we break even.

Umasikini ni kitu kibaya sana, kinadharirisha, kinafedhehesha! To me, nothing worse like 'extreme porverty'. I lived it since my infancy, I was raised out of it, and possibly it made me strong. That's why I am really dedicated to champion for better days kwa nguvu zote atazonijaalia Muumba.

Sometimes huwa nakaa kitaa to chill n' start reminiscing: 'until when this damn life! Ooh dear God, am I paying the price of being hell-bound?" maana maji yakitufika shingoni ndipo tunakumbuka dua. Maisha ya mtaa. Lakini haina udasi, tunafungua bongo, tunamix elimu-mtaani dot Kom, then life goz'on.

Hahaha mpaka Mkulu anawapiga bao la kisigino wana-nshomile ili kutandaza mkeka wa bombardier kijijini chato! Lol. Walai Taifa lishawekwa bondi. Referee kauzu, uwanja wenyewe mkavu... kilichobaki kucheza rafu! Wengine akina sisi 'unga robo mboga kwa jirani' hatuna miwani ya 'kusomea namba' aise. Bendera inapepea against upepo na bila mlingoti. Bongo mufilis!

Huwa nawapa darsa vijana wenzagu kitaa, kwamba nawadeiz life lishavaa bikini ya kitenge. Tukomae wana. Sio kushinda maskani 'kuchoma udi'. Kama vidato hukukwea wala kukalia vimbweta, basi unga unga upate hata fani ya kusongesha life kwa riziki validi, sio kusavaivu kitaa kimazabe. Huwa nawakumbusha madogo in tha hood: usidharau veta ukitepeta fomu foo. Fani is a substantial vessel at least to bridge us to a river bank.

Skills development should also be part of the package of our primary center of attention. Even the '2030 World Sustainable Development Goals reflect the same... Goal 4, Target 4 calls for substantial increase in skills development to youths for reliable employment. Ndo maana mkuu siku nikipata fursa ya kuanza kusoma Bachelor Degree, it will be a big WOW na nitasema "ahsante Maulana kwa kuniona mja wako".

Poverty is a wet blanket of frustration. So, as we wave our web of hope, we become warriors of survival. Mkuu Lizarazu, tuendeleze harakati to alleviate poverty while being in hope-mode, tuzidishe Ibada as well. Warriors always at frontline of defense, even devoid an AK. Worriers always are cowards at the back hesitating n' peeping.

All in all... worse comes to worst, but my people come first. Brother Lizarazu you are among of my people. You will always have my respect n' support.

Warmly,

-Kaveli-
 
 

Attachments

  • 17362355_1853311861349890_8618422144643752377_n.jpg
    58.2 KB · Views: 104
Maua ya porini ni ya kutafuta maporini kulingana na aina ambayo mteja anakua anahitaji..kwahiyo mzigo unapatikana wa kutosha
ebu tuma sample ya unavyo package mzigo wako ukiwa una uza njee... na mara nyingi una uza kwa viwango gani vya uzito kilo au tani, kama kilo je minimum and max even to tani min & max.... kama kuna aina nyingine ya uuzaji mkuu... ikiwezekana tuelezane vizuri ili tufanye biashara ya pamoja tukianza local sio mbaya huku tukiwa na target tu...
 
Kwani maua nje yanauzwaje? Mi nnavyofaham kuna jamaa mmoja alikuwa anayakata vijiti kama vya inchi nne hivi then anavipack kulingana na aina tofauti tofaut ya maua,
 
Shukran na jaribu mkuu!!
 
Ndugu zangu Watanganyika nimekuwa kimya kwa sababu nakamilisha baadhi ya mambo kuhusu project yetu changamoto inayonikuta ni kuweza kuwashawishi juu ya usalama wa wageni wkati mm sipo eneo la tukio yani wanakaa miezi 3 Africa then mm sipo eneo la tukio kumbuka wanaokuja ni kati ya miaka 18 - 25 so ni bado watoto au vijana pili inatakiwa nijiCommit mm kuwa Responsible kwa lolote

Kumekuwa na watu wanazungumzia vigezo mm ninavyojua ni

1 Kuwa eneo salama (Kiafya na Kiusalama)
2 Kujua lugha ya mawasiliano ambayo ni kingereza
3 kuanzia vyumba viwili yani chumba na sebure
4 Kama unafamilia basi wasizidi watu 5 ikiwamo na ww
5 Choo kizuri na kisafi
6Kuwepo na mtu wa kushinda na kumtembeza mgeni sehemu mbalimbali


Vigezo ni hvyo vya kuanzia vinaweza kubadilika kutokana na mahitaji coz Wageni wanaokuja ni kutoka familia za middle class so unaweza kujiuliza middle class za ulaya ni kipato aina gani kwa mwezi au mwaka wengi ni wanafunzi wa vyuo na wafanyakazi lakini project hii tunaanza na wageni vijana umri miaka 18-25 na wanatoka Malta , Canada na USA next round itakuwa Denmark ,Norway na Sweden

Changamoto inayonikabili ni hyo niliyoeleza hapo juu

Kuhusu namba za simu nimezipata kwa wale waliotuma na zinafanyiwa kazi hili kujiridhisha

Sasa niwaulize nyinyi Project hii ilikuwa ni kwa ajili ya watu walio Single kwa ajili ya kutengeneza mahusiano kumbuka wazungu ukishamwambia umeoa au unamahusiano tu bhasi hato kuwa karibu na ww kwani wanaheshimu sana ndoa za watu
na mahusiano ya watu

So kwa wale wenye mahusiano itabidi wachukue jinsia yao kwa maana kama ni mwanaume utachukua mwanaume mwenzio kama ni mwanamke chukua mwanamke mwenzio

Note ;Si lazima muwe na mahusiano ya kimapenzi hata mahusiano ya kirafiki yanatosha sana kwa kuanzia

Pia watanganyika ni mabingwa wa kuwa wabishi pale unapotongoza na kukataliwa mna mtindo wa kulazimisha naomba huduma hyo isiwepo hata kidogo kama kakupenda atakwambia mwenyewe aina ulazima wa kulazimisha kitu

update.....
Kuna group la Whats app na Telegram la Kazi na kupeana michongo ya kazi ,vyuo na mambo yote kuhusu kusafiri na kwenda kusoma au kufanya kazi kwa Ulaya , America na Ocenia ni group la watu wa huku huku nje na linawanachama zaid ya 1000 kutoka nchi nilizozitaja so nitaomba ruhusa ya Admn kama wanaweza kuadd watu kutoka Africa kama akinikubalia nitaweka namba hapa then mtajoin




kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
 
Naomba msaada wako wa namna ya kupata schalarship za msters degree
Mkuu izzo naomba msaada wako wa namna ya kupata scholarship sweden
 
Mkuu izzo kwa wanaohost wageni ni vyema wajiandae kwa baadhi ya changamoto hasa wanapowatembeza wageni.
Mara nyingi kwenye vivutio vyetu vya ndani akienda mgeni na wakajua huyu ni mgeni anapigwa pesa ndefu saana . Nina experience na hili Arusha ukienda na mzungu snake park..pale crater..maasai camp na kanjiro boma za karibu wakiona haupo makini anaweza kupigw pesa ndefu. Hivyo ni vyema mnaohost mkajifunza/dadisi haya mambo ili mpate exposure juu ya haya mambo kabla wageni hawajaja. Maana mgeni atakuambia nipeleke snake park n.k

Nitatolea mfano wa mzungu aliyeuziwa line usd 2000 pale stand arusha isingekuwa host wake pesa ilikuwa inaenda.

Hivyo ndugu mnaohost wageni jipangeni vizuri STUNTER Dr. Adams faida na wengine.
 
Mkuu hio web ya visa ya Malta ktk Italy embassy nimeingia nimekuta ki italiano kitupu ko sielewi
 
Kwakweli sijawahi kuuza maua pori,ila kuna jamaa yangu aliniambia kua maua pori ni dili sana endapo ukipata soko.lakini pia akaniambia wateja wao wenyewe ndo watakutumia picha ya maua wanayotaka,wengine watakupa na location ya kwenda kuyachukua(mashina ya maua) then unawatumia kulingana na package wanayohitaji...
 
Izzo mimi nitafutie host wa Mifugo na bustani nije kujitolea,mana kilimo na ufugaji navipenda sana,nahitaji nipade uzoefu zaidi kwa vitendo ili nikiludi bongo nifanye mapinduzi ya ufugaji,...!
 
Mm naongeza mkuu kidogo kuwaonya ndugu zangu. Showoff zakupiga mapicha nankuyasabaza facebook na insta muangalie sana. Sio kila dakika umekunja uso na katoto ka watu unashindana na hamorapa kutwaa ynamuanuka mwanangwa insta.

Umbea wakibongo muuache msianzr kutembrza mabango mwanangu sholi nimehost mwakani nasanzuka, unaweza ukala zongo lakisambaa mkavimbiwa wewe na mtoto wa watu.

Ulimbukeni sio fresh. BTW wabongo hatupendani so chunga sana
 
Kuna host mmoja alikuja dar kutoka Arusha akiwa na wazungu wawili, jamaa alizubaa kidogo tu mitaa ya Jmo wageni wake waliibiwa pesa zote, aliwaacha wageni kubadilishana pesa na wenyeji bundle kubwa la pesa nyekundu kumbe ndani makaratasi. Ilikuwa kilio
 
Haya mambo tusiyachukulie simple japo naamini ndugu zangu hawa wataweza saana. Ni vyema wageni wakikaribia kuja watakao pata bahati ya kuhost wajipange hata kupeana elimu juu ya hilo suala.
 
Dah mkuu ni kweli ndugu yangu kwani wengi wanatoka kwenye familia za kistarabu dah kunachangamoto nying sana za kujadili dah natamani kama kungekuwa na platform ambayo tungekuwa kama na semina ya kuelekezana Do en don't
 
Daah, japo it pains ila nimecheka hiyo ya sepenga
 
Hahaha, kama paradise vile
Umeua mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah mkuu ni kweli ndugu yangu kwani wengi wanatoka kwenye familia za kistarabu dah kunachangamoto nying sana za kujadili dah natamani kama kungekuwa na platform ambayo tungekuwa kama na semina ya kuelekezana Do en don't
Kabla ya wsgeni kufika ni vizuri host mkutane pamoja mpeane semina, bila hivo mnaweza kuharibu kwa kutokujua na project ikaingia doa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…