Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Lusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu.
Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal, Ivory Coast, Mali, Ghana, Ethiopia, .........
Nimezunguka migodi ya nchi hizi nyingi nimekutana na watanzania wengi na wanafanya kazi nzuri na wanalipwa vizuri kwa average ya USD7000 kwa mwezi ambayo ni sawa na 15M ya Tanzania.

Tukiwa na Watanzania 100 wanaliingizia pato Taifa ya USD700,000 kwa mwezi pesa za kigeni
Tukiwa na Watanania 1000 wataingiza USD 7,000,000.
Tukiwa na Watanzania 10,000 wataingiza USD 70M which is possible for now tuache woga
Kuna mtu nilimuita kuna nafasi ya kazi nilipokuwa mgodi mmoja wa Lumwana kule Zambia wakati ule yeye alikuwa anafanya kazi pale TBS akaniambia hawezi kuiacha familia wakati ule dili za mikutano zilikuwa ziko chart mala leo wako movenpick, kesho Kunduchi beach full usanii lakini nilimwambia usitumainie kazi za dili hakunisikia leo hii yuko chali.

Tulenge kufikisha maexpat 100,000 ambao wataletea Taifa fedha za kigeni 700M USD kwa mwezi ambayo ni sawa na 1.5Tillion Tanzanian shs. sidhani kama kuna zao lolote tunao export lenye kuleta hizi pesa kwa mwezi. If we have failed to export products let us export human skills/resources please. mpaka sasa nimeweza kuwaconnect watu 12 kufanya kazi hizi na wengine mpaka sasa wananizidi hata mshahara but I am proud of this, I want Tanzanian to flood Africa as expats in the mining industry, doctors, IT and accounting. Tusibaki kupigana vikumbo Vodacom, TIGO, Airtel, TRA, Bandarini, huko dili hakuna na zilikuwa siyo halali tutachukia watawala bure. Stand up and get out there.

Huku unafanya kazi week 6 site na week 2 uko home unaendeleza miradi yako na ukiwa site hutumii hata shilingi yako vitu vyote unakuwaprovided mshahara unaukuta nyumbani Tanzania kwenye A/C unakusubiri (very clean money, hakuna kutega dili).

Mimi nilipata kazi kwa ku-apply online application kwa mara ya kwanza AngloGold Ashanti na kutokana na uzoefu niliokuwa nimepata hapo TZ wakanikubali and now I am changing from one company to another, country to country within Africa, sitaki kwenda ulaya au America, huko nitakuwa mtumwa. I like my Africa.
Google makampuni then apply na usiamini au usisubiri kutafutiwa apply ukiamini utapata ila ikitokea amejitokeza mdau kukusaidia it is very fine.

Thanks.
Shukrani mkuu mm dream zangu nikuja kufanya kama international expat katika international companies. Je kama mtu hauna work experience yoyote kweli unaweza kupata kazi kwenye hayo makampuni?
 
Kwa wasafiri wanaotaka kukaa katika hostel kupunguza gharama.

Nenda YMCA, kaombe kadi ya uanachama. Si lazima uwe Mkiristo.

Anuani ya YMCA Tanzania.

Arusha
YMCA Hostel
India Street
P.O. Box 658 Arusha
Phone:+255-27-2544032
E-mail: ymcatanzania@gmail.com
Website: www.tymca.co.tz

Dar Es Salaam
YMCA Hostel Upanga
Upanga Rd
P.O. Box 767
DAR ES SALAAM
Tel./ Fax: + 225-22-2121196
E-mail: ymcatanzania@gmail.com
Website:www.tymca.co.tz

Moshi
Kilimanajro Rd YMCA Hostel
Kilimanjaro Road
P.O. Box 865 Moshi
Phone: +255 - 27-2751754
Email:ymcatanzania@gmail.com
Website: www.tymca.co.tz

Pangani
YMCA Hostel Mkomabay
Pangani
P.O. Box 84
Pangani
Phone: +255-736-204-762
Email:ymcatanzania@gmail.com
Website: www.tymca.co.tz

Faida ya uanachama ni kuweza kulala katika hostel zao duniani kote kwa bei nafuu kuliko hotelini.

Gharama ni kama €15 -50 kwa siku kwa nchi nyingi.

YMCA hostel za Ulaya ni safi na hazina tofauti na hoteli za 3 star.

Tovuti hii inaonyesha hosteli zao duniani kote.

YMCA International - World Alliance of YMCAs: YMCA Hotels
 
mimi najua ulaya marekani hata asia wapo wa tz wengi mno lakini hata kutuonesha njia kwa kutafuta taasisi zitakazo saidia wandugu bongo, kutusaidia wale tunaopenda kuandika maandiko ya miradi na hii ni kutuunganisha na taasisi husika kama kuna ugumu tujadiliane katika baadhi ya mambo ikiwezekana iundwe taasisi na kusajiliwa kisheria ili wanachama wake waweze kutambulika na kuwa rahisi hata kuwapata pale watendapo mambo kinyume na taratibu... hapa ni kufanya mambo yaende kwa kurasimishwa na sio kienyeji ndio maaana naisi mliopo majuu mnakuwa na hofu... na hata katika hili la kuhost kwanini kusisajiliwe taasisi ya kulink tz na wakina [HASHTAG]#izzo[/HASHTAG] ili mlio abroad mjue mnafanya kazi na watu wa aina gani

ni mawazo tu wadau... dunia inabadilika sio mmoja mmoja tena ni kushirikiana, tuelekee kale umoja ni nguvu...

Mkuu unayosema NI kweli tupu.Matatizo yanatokea pale mtu anasaidiwa mpaka anapata kazi:baada ya kupata kazi hasaidii kulipia nyumba au kununua chakula.Akiambiwa utasikia "unanisimanga" Watu kama hawa wako wengi ndio wanao funga milango Kwa WaTanzania wengi.Miaka ya 80 nilipata bahati ya kusoma L.A(Los Angeles) wakati huo mambo ya uhamiaji hayakuwa magumu.Unapata kibali cha kuendesha gari,unapata namba ya "Social security" ilikuwa inapigwa muhuri "marufuku kufanya kazi"
Kazi zilikuwa nyingi.Watanzania wengi tulikuwa tunaishi pamoja Kwa amani Na furaha.
Mimi Na waomba WaBongo wanao bahatika kwenda nje TAFADHALI msiwe mizigo Kwa wenyeji wenu mtafanikiwa sanaaaaa tu.
Saidia matumizi kama umepata kazi kama huna pesa Saidia kupika,kufua Na kazi zozote zinazo hitajika.Hayo mambo ndio "interview" yako Kwa wenyeji.
Kila la kheri
 
Mkuu naandaa mfumo mzuri wa kufanya swala hili kwani project ni mwezi wa 6 namba nilisema nianze kutumiwa mwezi wa 4 bt mpaka sasa nimepata namba kama saba tu bt ktk watu 7 niliopata namba zao watu watatu hawafai kutokana na sababu za usalama wa wageni bt kwenye project ya mwezi wa 6 tutaitaji host kama 20 hv

kavel kavel vp mbona kimya toka juzi maneno 400 bado????? duh
Sifa za kua host ni zipi kiongozi..
 
Hiyo msosi tulikua tunaiita stuff!!
Kuna mbongo mmoja hivi tupo Norway anademu wake Ni mkenya wanauza hizi fresh flowers wanazitoa Arusha,jamaa mpaka akanunua apt ya vyumba3 na mkewe kachukua uraia WA kule.anakwambia pesa yangu now haina kazi because watoto wanasoma free schools na anakaa kwake.Anafurahia sana maisha aise.
Kaka huyo jamaa unaweza kumuuliza kuhusu biashara ya maua ya porini (fresh wild flowers) ikoje huko norway.
 
Nianze kwa kuomba samahani kama itakuwa kinyume na UZI huu... ila ni tangazo la ajira wale tunaotaka kwenda nje sio haba tukianza na hapa ili kuelekea kule kwenye ndoto zetu...

Rais Magufuli Akubali Ombi La Kuipatia Kenya Madaktari 500

Tanzania imekubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 watakaoisaidia nchi hiyo kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari katika vituo vyake vya tiba hasa baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekubali kutoa madaktari hao leo tarehe 18 Machi, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenya.

Kiongozi wa ujumbe huo ambaye ni Waziri wa Afya wa Kenya Mhe. Dkt. Cleopa Mailu amemueleza Mhe. Rais Magufuli kuwa baada ya kutokea mgomo wa madaktari pamoja na uamuzi wa nchi hiyo kugatua madaraka katika sekta ya afya, imebainika kuwa nchi hiyo ina upungufu mkubwa wa madaktari ambao hauwezi kumalizwa kwa kutegemea madaktari wanaosomeshwa nchini humo bali kupata madaktari kutoka nje ya nchi.

Mhe. Jack Ranguma amesema Kenya ipo tayari kuwalipa stahili zote madaktari 500 watakaopatiwa kutoka Tanzania ikiwa ni pamoja na mishahara na nyumba za kuishi.
Nae Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii nchini Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu amesema Wizara yake ipo tayari kutoa madaktari hao haraka iwezekanavyo kwa kuwa Tanzania inao madaktari wengi wazuri ambao wamemaliza masomo yao na hawajapata ajira, na wengine wamemaliza mikataba yao ya kazi na bado wana uwezo wa kufanya kazi.

“Kwa hiyo nitoe wito kwa madaktari wote Tanzania ambao hawapo katika utumishi wa umma, hawapo katika hospitali teule na ambao hawapo katika hospitali za mashirika yasiyo ya kiserikali wanaolipwa na Serikali, waombe nafasi hizi.

Vigezo vikubwa ambavyo tutaviangalia ni kwanza awe amemaliza mafunzo ya vitendo (Internship) na pili awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari la Tanganyika, kwa hiyo leo hii tutatoa tangazo na tumefurahi sana kwa sababu tunao madaktari wa kutosha ndani ya nchi na tunaweza kuwapeleka Kenya” amesema Mhe. Ummy Mwalimu.

Kwa upande wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Magufuli amesema Tanzania imekubali ombi hilo kwa kuwa Kenya ni ndugu, jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania na amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe. Ummy Mwalimu kuharakisha mchakato wa kuwapata madaktari hao ili wawahi kwenda Kenya kutekeleza jukumu hilo.

“Matatizo ya Kenya ni matatizo ya Tanzania, tutawapatia madaktari hao 500 ili wakatoe huduma ya matibabu kwa ndugu zetu waliopo Kenya, na kwa kuwa mmenihakikishia kuwa madaktari wangu mtawalipa mishahara inavyotakiwa, mtawapa nyumba za kuishi, na mtahakikisha wanafanya kazi katika mazingira mazuri na salama mimi sina tatizo na naamini mambo yatakwenda vizuri” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
18 Machi, 2017
 
Nimefarijika sana kukutana na huu uzi huku jamii forum! Naomba niwe host wa mgeni mmoja tafadhali niko Arusha
 
mimi najua ulaya marekani hata asia wapo wa tz wengi mno lakini hata kutuonesha njia kwa kutafuta taasisi zitakazo saidia wandugu bongo, kutusaidia wale tunaopenda kuandika maandiko ya miradi na hii ni kutuunganisha na taasisi husika kama kuna ugumu tujadiliane katika baadhi ya mambo ikiwezekana iundwe taasisi na kusajiliwa kisheria ili wanachama wake waweze kutambulika na kuwa rahisi hata kuwapata pale watendapo mambo kinyume na taratibu... hapa ni kufanya mambo yaende kwa kurasimishwa na sio kienyeji ndio maaana naisi mliopo majuu mnakuwa na hofu... na hata katika hili la kuhost kwanini kusisajiliwe taasisi ya kulink tz na wakina [HASHTAG]#izzo[/HASHTAG] ili mlio abroad mjue mnafanya kazi na watu wa aina gani

ni mawazo tu wadau... dunia inabadilika sio mmoja mmoja tena ni kushirikiana, tuelekee kale umoja ni nguvu...
Uko sahihi kabisa mkuu Chillah. Nimekuelewa vizuri sana, sana, sana.
 
Nianze kwa kuomba samahani kama itakuwa kinyume na UZI huu... ila ni tangazo la ajira wale tunaotaka kwenda nje sio haba tukianza na hapa ili kuelekea kule kwenye ndoto zetu...

Rais Magufuli Akubali Ombi La Kuipatia Kenya Madaktari 500

Tanzania imekubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 watakaoisaidia nchi hiyo kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari katika vituo vyake vya tiba hasa baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekubali kutoa madaktari hao leo tarehe 18 Machi, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenya.

Kiongozi wa ujumbe huo ambaye ni Waziri wa Afya wa Kenya Mhe. Dkt. Cleopa Mailu amemueleza Mhe. Rais Magufuli kuwa baada ya kutokea mgomo wa madaktari pamoja na uamuzi wa nchi hiyo kugatua madaraka katika sekta ya afya, imebainika kuwa nchi hiyo ina upungufu mkubwa wa madaktari ambao hauwezi kumalizwa kwa kutegemea madaktari wanaosomeshwa nchini humo bali kupata madaktari kutoka nje ya nchi.

Mhe. Jack Ranguma amesema Kenya ipo tayari kuwalipa stahili zote madaktari 500 watakaopatiwa kutoka Tanzania ikiwa ni pamoja na mishahara na nyumba za kuishi.
Nae Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii nchini Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu amesema Wizara yake ipo tayari kutoa madaktari hao haraka iwezekanavyo kwa kuwa Tanzania inao madaktari wengi wazuri ambao wamemaliza masomo yao na hawajapata ajira, na wengine wamemaliza mikataba yao ya kazi na bado wana uwezo wa kufanya kazi.

“Kwa hiyo nitoe wito kwa madaktari wote Tanzania ambao hawapo katika utumishi wa umma, hawapo katika hospitali teule na ambao hawapo katika hospitali za mashirika yasiyo ya kiserikali wanaolipwa na Serikali, waombe nafasi hizi.

Vigezo vikubwa ambavyo tutaviangalia ni kwanza awe amemaliza mafunzo ya vitendo (Internship) na pili awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari la Tanganyika, kwa hiyo leo hii tutatoa tangazo na tumefurahi sana kwa sababu tunao madaktari wa kutosha ndani ya nchi na tunaweza kuwapeleka Kenya” amesema Mhe. Ummy Mwalimu.

Kwa upande wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Magufuli amesema Tanzania imekubali ombi hilo kwa kuwa Kenya ni ndugu, jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania na amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe. Ummy Mwalimu kuharakisha mchakato wa kuwapata madaktari hao ili wawahi kwenda Kenya kutekeleza jukumu hilo.

“Matatizo ya Kenya ni matatizo ya Tanzania, tutawapatia madaktari hao 500 ili wakatoe huduma ya matibabu kwa ndugu zetu waliopo Kenya, na kwa kuwa mmenihakikishia kuwa madaktari wangu mtawalipa mishahara inavyotakiwa, mtawapa nyumba za kuishi, na mtahakikisha wanafanya kazi katika mazingira mazuri na salama mimi sina tatizo na naamini mambo yatakwenda vizuri” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
18 Machi, 2017
 
Nianze kwa kuomba samahani kama itakuwa kinyume na UZI huu... ila ni tangazo la ajira wale tunaotaka kwenda nje sio haba tukianza na hapa ili kuelekea kule kwenye ndoto zetu...

Rais Magufuli Akubali Ombi La Kuipatia Kenya Madaktari 500

Tanzania imekubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 watakaoisaidia nchi hiyo kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari katika vituo vyake vya tiba hasa baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekubali kutoa madaktari hao leo tarehe 18 Machi, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenya.

Kiongozi wa ujumbe huo ambaye ni Waziri wa Afya wa Kenya Mhe. Dkt. Cleopa Mailu amemueleza Mhe. Rais Magufuli kuwa baada ya kutokea mgomo wa madaktari pamoja na uamuzi wa nchi hiyo kugatua madaraka katika sekta ya afya, imebainika kuwa nchi hiyo ina upungufu mkubwa wa madaktari ambao hauwezi kumalizwa kwa kutegemea madaktari wanaosomeshwa nchini humo bali kupata madaktari kutoka nje ya nchi.

Mhe. Jack Ranguma amesema Kenya ipo tayari kuwalipa stahili zote madaktari 500 watakaopatiwa kutoka Tanzania ikiwa ni pamoja na mishahara na nyumba za kuishi.
Nae Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii nchini Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu amesema Wizara yake ipo tayari kutoa madaktari hao haraka iwezekanavyo kwa kuwa Tanzania inao madaktari wengi wazuri ambao wamemaliza masomo yao na hawajapata ajira, na wengine wamemaliza mikataba yao ya kazi na bado wana uwezo wa kufanya kazi.

“Kwa hiyo nitoe wito kwa madaktari wote Tanzania ambao hawapo katika utumishi wa umma, hawapo katika hospitali teule na ambao hawapo katika hospitali za mashirika yasiyo ya kiserikali wanaolipwa na Serikali, waombe nafasi hizi.

Vigezo vikubwa ambavyo tutaviangalia ni kwanza awe amemaliza mafunzo ya vitendo (Internship) na pili awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari la Tanganyika, kwa hiyo leo hii tutatoa tangazo na tumefurahi sana kwa sababu tunao madaktari wa kutosha ndani ya nchi na tunaweza kuwapeleka Kenya” amesema Mhe. Ummy Mwalimu.

Kwa upande wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Magufuli amesema Tanzania imekubali ombi hilo kwa kuwa Kenya ni ndugu, jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania na amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe. Ummy Mwalimu kuharakisha mchakato wa kuwapata madaktari hao ili wawahi kwenda Kenya kutekeleza jukumu hilo.

“Matatizo ya Kenya ni matatizo ya Tanzania, tutawapatia madaktari hao 500 ili wakatoe huduma ya matibabu kwa ndugu zetu waliopo Kenya, na kwa kuwa mmenihakikishia kuwa madaktari wangu mtawalipa mishahara inavyotakiwa, mtawapa nyumba za kuishi, na mtahakikisha wanafanya kazi katika mazingira mazuri na salama mimi sina tatizo na naamini mambo yatakwenda vizuri” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
18 Machi, 2017

Ni fursa ila ni usaliti pia [emoji23]
 
Kwa wasafiri wanaotaka kukaa katika hostel kupunguza gharama.

Nenda YMCA, kaombe kadi ya uanachama. Si lazima uwe Mkiristo.

Anuani ya YMCA Tanzania.

Arusha
YMCA Hostel
India Street
P.O. Box 658 Arusha
Phone:+255-27-2544032
E-mail: ymcatanzania@gmail.com
Website: www.tymca.co.tz

Dar Es Salaam
YMCA Hostel Upanga
Upanga Rd
P.O. Box 767
DAR ES SALAAM
Tel./ Fax: + 225-22-2121196
E-mail: ymcatanzania@gmail.com
Website:www.tymca.co.tz

Moshi
Kilimanajro Rd YMCA Hostel
Kilimanjaro Road
P.O. Box 865 Moshi
Phone: +255 - 27-2751754
Email:ymcatanzania@gmail.com
Website: www.tymca.co.tz

Pangani
YMCA Hostel Mkomabay
Pangani
P.O. Box 84
Pangani
Phone: +255-736-204-762
Email:ymcatanzania@gmail.com
Website: www.tymca.co.tz

Faida ya uanachama ni kuweza kulala katika hostel zao duniani kote kwa bei nafuu kuliko hotelini.

Gharama ni kama €15 -50 kwa siku kwa nchi nyingi.

YMCA hostel za Ulaya ni safi na hazina tofauti na hoteli za 3 star.

Tovuti hii inaonyesha hosteli zao duniani kote.

YMCA International - World Alliance of YMCAs: YMCA Hotels
Shukrani sana mkuu Tokyo. Huu ndio uungwana.
 
Nianze kwa kuomba samahani kama itakuwa kinyume na UZI huu... ila ni tangazo la ajira wale tunaotaka kwenda nje sio haba tukianza na hapa ili kuelekea kule kwenye ndoto zetu...

Rais Magufuli Akubali Ombi La Kuipatia Kenya Madaktari 500

Tanzania imekubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 watakaoisaidia nchi hiyo kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari katika vituo vyake vya tiba hasa baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekubali kutoa madaktari hao leo tarehe 18 Machi, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenya.

Kiongozi wa ujumbe huo ambaye ni Waziri wa Afya wa Kenya Mhe. Dkt. Cleopa Mailu amemueleza Mhe. Rais Magufuli kuwa baada ya kutokea mgomo wa madaktari pamoja na uamuzi wa nchi hiyo kugatua madaraka katika sekta ya afya, imebainika kuwa nchi hiyo ina upungufu mkubwa wa madaktari ambao hauwezi kumalizwa kwa kutegemea madaktari wanaosomeshwa nchini humo bali kupata madaktari kutoka nje ya nchi.

Mhe. Jack Ranguma amesema Kenya ipo tayari kuwalipa stahili zote madaktari 500 watakaopatiwa kutoka Tanzania ikiwa ni pamoja na mishahara na nyumba za kuishi.
Nae Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii nchini Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu amesema Wizara yake ipo tayari kutoa madaktari hao haraka iwezekanavyo kwa kuwa Tanzania inao madaktari wengi wazuri ambao wamemaliza masomo yao na hawajapata ajira, na wengine wamemaliza mikataba yao ya kazi na bado wana uwezo wa kufanya kazi.

“Kwa hiyo nitoe wito kwa madaktari wote Tanzania ambao hawapo katika utumishi wa umma, hawapo katika hospitali teule na ambao hawapo katika hospitali za mashirika yasiyo ya kiserikali wanaolipwa na Serikali, waombe nafasi hizi.

Vigezo vikubwa ambavyo tutaviangalia ni kwanza awe amemaliza mafunzo ya vitendo (Internship) na pili awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari la Tanganyika, kwa hiyo leo hii tutatoa tangazo na tumefurahi sana kwa sababu tunao madaktari wa kutosha ndani ya nchi na tunaweza kuwapeleka Kenya” amesema Mhe. Ummy Mwalimu.

Kwa upande wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Magufuli amesema Tanzania imekubali ombi hilo kwa kuwa Kenya ni ndugu, jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania na amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe. Ummy Mwalimu kuharakisha mchakato wa kuwapata madaktari hao ili wawahi kwenda Kenya kutekeleza jukumu hilo.

“Matatizo ya Kenya ni matatizo ya Tanzania, tutawapatia madaktari hao 500 ili wakatoe huduma ya matibabu kwa ndugu zetu waliopo Kenya, na kwa kuwa mmenihakikishia kuwa madaktari wangu mtawalipa mishahara inavyotakiwa, mtawapa nyumba za kuishi, na mtahakikisha wanafanya kazi katika mazingira mazuri na salama mimi sina tatizo na naamini mambo yatakwenda vizuri” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
18 Machi, 2017
Inamana nchi yetu tuna madaktari wengi sana kwenye hospitali zetu mpaka tumeamua kugawa ama tumekoswa pesa za kuwalipa hapa kwetu?
Je utaratibu wa kupata ajira hizo ukoje ama ndo watapeana chance hizi kwa kujuana?
Napatwa wasiwasi hivi wakenya watakubali kweli ajira zao zitupwe kwa tz?
 
Kwanza napenda kutoa pongezi za dhati kwa aliyeaanzisha huu uzi, nafarijika sana kuona kwa wenzeti ni kiasi gani wanawajali binadamu wenzao,kwa mfano wadau hapo juu wameelezea namna ambavyo wanalipwa tena kwa muda maalumu,kwa kweli nmevutiwa sana,yaani mtu unafanya kazi ukijua kuwa kila muda unaofanya kazi unalipwa stahiki husika,hivyo niko tayari kuwa host wa hao wageni niko Kilimanjaro,na kwa fursa ya kazi yoyote huko nje tunaomba tuwe tunajulishana,maana huku maisha magumu,unaweza Fanya kazi za serikalini miaka mia na ukafa maskini ni bora tukimbie kwa muda
 
Inamana nchi yetu tuna madaktari wengi sana kwenye hospitali zetu mpaka tumeamua kugawa ama tumekoswa pesa za kuwalipa hapa kwetu?
Je utaratibu wa kupata ajira hizo ukoje ama ndo watapeana chance hizi kwa kujuana?
Napatwa wasiwasi hivi wakenya watakubali kweli ajira zao zitupwe kwa tz?
wanadai kuna upungufu huko kenya wa madaktari hata kama waliogoma watarudi kazini... wameona kuboresha huduma bora wawe na ratio nzuri kati ya mgonjwa na daktari... ni mawazo yangu ktk kuchambua taarifa iliyotolewa na mamlaka husika....
 
Back
Top Bottom