Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Hata mm natarajia kwenda kuishi japan. Thou inabidi nioe kule mke wa kijapani. By mwez wa 4 naondoka. Nabeba mikuyati yangu ya kutosha naanza maisha ya kijapani
Mkuu huo mchongo wa japan kuna mdau amekuunganishia na je gharama zake mpaka kusepa ni kiasi gani aise?
 
Mkuu usiumize kichwa Ku host wageni ni jambo la kawaida na mfumo wa mda mrefu na upo zaidi maeneo yanayofanya utalii mf.mikoa ya kaskazin host wanalala mpaka kwenye mahema (camping site) nje kwenye uwanja wa nyumba yako cha muhimu ni usalama wao na vitu vyao.

Kuna baadhi ya maeneo wamewajengea hostels so wakija wanaishi apo wanaletewa wapishi na mambo mengine. Wakiwa wengi like 50+ wanaishi tu kama chuoni au wanafunzi

Ukienda lushoto mkoa wa Tanga ni mfumo wa kawaida na wananchi wameshazoea kuishi nao hasa wafinlands.

Kinachohitajika sio chama ama organization kwa kuwa unakaa na host kama ndugu ama rafiki yako hivyo ni yule anaekupatia hosts kujiridhisha na wewe pamoja na mazingira unayoishi yani hivyo tu.

Kuhusu maandiko hivyo hivyo kukiwa kuna uhitaji wa kuunda kikundi tutaunda kulingana na uhitaji. Ama kama ni NGO hivyo hivyo...unaweza sajili NGO ya mambo ya utamaduni then kunatokea uhitaji wa andiko LA mambo ya elimu ama kilimo unakuwa NGO yako haifiti ..!!! Chakufanya Hapa ikitokea fursa na kama inauhitaji wa taasis ama NGO iliyosajiliwa ni kutafuta shirika ama NGO inayodeal na iyo mambo then tunawatumia na sisi tunafaidika wote kwa pamoja.

Muhimu zaidi ni tupate taarifa za izo fursa na connection.
 
Haya mambo ndo tunayataka jamani...lol bora yameletwa hapa ..kama mimi wapendwa natafuta fursa ya kujilipua Sweden ndani ya huu mwaka
 
Mkuu ni kweli... Uhamiaji hawatoi passport bila reason.... Nafikiri tungebadili huu utaratibu tuwe kama wenzetu ambao passport kwao ni haki ya msingi na unaweza miliki tu.
Nilishawahi kusikia japo sikulifuatilia passport sheria inasema ukifika miaka 18 kama mtanzania una haki ya kupata ...passport sasa hizi mambo zingine wanaibuaga kutoka wapi??
 
Malengo safi sana aisee
Blessing kwao
 
mm naitaji kwenda Iceland , Malta au Sweden, nipeni contact niweze kupata Barua ya mwaliko tu, mambo mengine yote nitasimamia mwenyewe bila wasi wasi wowote maana nimejipanga vyakutosha .
Tatizo ni hilo tu, Barua ya mwaliko.
Kutia nia tu, bravo mkuu
 
lol! Chai ya peponi hahahahaha!

 
Mkuu una nikumbusha kigoma wale watu wanapiga sana uyoga... kipindi cha mvua wanakubali kunyeshewa ili wavune hiyo kitu kuna muda una waona kabisa jinsi wanavyoula mbichi ule mteke mteke alafu wa njano ya binzari
I wondered mkuu, first day niko wilaya ya uvinza nakuta uyoga wa kumwaga sokoni tena very cheap, i took a week msosi lazima uwe na uyoga maana tunakotoka mpaka ule uyoga lazima uwe na senti za kitosha mfukoni [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
I wondered mkuu, first day niko wilaya ya uvinza nakuta uyoga wa kumwaga sokoni tena very cheap, i took a week msosi lazima uwe na uyoga maana tunakotoka mpaka ule uyoga lazima uwe na senti za kitosha mfukoni [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi ule uyoga wao haunaga mchanga? Napenda uyoga ila mchanga ndo huwa unanishinda!!
 
Pole na hongera mkuu
We learn something from u
 
Asante for sharing mkuu
Nimejinza aisee [emoji120] [emoji120]
 
Umetufungua sana mkuu Izzo, naomba usinisahau plan B please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…