Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Uko sahihi mkuu. Nashauri jambo, fanya upembuzi yakinifu kumfahamu kila anayetaka kuishi na mgeni. Hii itasaidia kuiweka vyema kabisa akili yako. Pia unaweza kubaliana na mmoja wetu, akachukua jukumu la kuwafuatilia na kuonana na wote wanataka kuishi na wageni. Ili upate usahihi wa usalama mzuri wa wageni. Na pia kwa wapokea wageni. Ni vyema kujitambua haraka kuliko tunavyo jielewa.

Najua mapokeo ya vijana hapa, mara baada ya kusoma habari ya wageni. Kuwa na mhemko kwa kudhani ni kama kufumba macho na kufumbua. Baadhi ya vijana wenzangu hapa nchini maigizo yamezidi, na hasa kwa hali ya sasa iliyopo, hatujielewi elewi.
 
Au kama kuna website yoyote naomba mtupie humu ili tuingie ndungu zenu tafaadhali sana
 
Ni kweli kabisa mkuu @ izzo.
Cha msingi tunatakiwa kujiewa tuu. Pia nashauri kwa watakao boronga zaidi wawajibishwe ipasavyo ili kujenga NIDHAMU. Vilevile kwa tunaoomba kuhost wagen ningeomba kuwe na utaratibu WATAMBULIKE RASMI ili iwe rahisi kuwawajibisha,,,,, coz mtu anaweza kuboronga then anasepa zake.
nawasilisha..,
 
Kweli mkuu Izzo hapa umebeba dhamana kubwa sana kwaajil ya watanganyika wenzako cha muhimu mkuu tufanye mchakato wa kupata hawa host mapema. Then kufahamiana sehemu wanazoishi, wanaishi na kina nani, nyumba watakayofikia wageni, neighborhood ilivyo , accessibility ya transport kufika town hapa na maanisha miundombinu,....Ila wengine kwenye nia ya kuwa host kama Mimi cha muhimu kwanza tufahamiane mapema sana kwa ID zetu za kweki , mahali tulipo na kwa kusaidia Mkuu Izzo naomba kabisa kusisitiza kwa hili kwa wale ambao Bahati nzuri wapo mkoa mmoja wakutane physically kufahamiana ili hata tatizo likitokea inakuwa rahisi katika ufatiliaji


Cc Izzo, Dr Adam, kavelli , wiseboy na wakuu wenzangu wote hapa jukwaa pendwa
 
Sir I salute u [emoji41]
 
Kuna Jamaa yangu yupo Uholanzi yeye alipata binti WA huko akamuoa kanipa maelezo kidogo yamepunguza speed yangu.
"Kutafuta Shule huku cha mhimu nikutafuta scholarship.Ingawa siku hizi zimepungua siyo kama miaka ya nyuma.

Maisha ya huku nitofauti sana na kwetu.kupata pesa mpaka uwe unafanya kazi tu.Ukiwa na kazi nzuri ndo unapata pesa nyingi vinginevyo uanzishe biashara.

Kuanzisha biashara inatakiwa uwe na professional ya hiyo biashara na experience kwenye hiyo sector ili iwe rahisi kufanya marketing yake."
 
 
Aahahaha papuchi lazima inahusika
 
Mungu atashusha rehema zake.
 
Daaa mkuu mm nimepat Admission University of Twente, hapo uholanzi. nineomba scholarahip za jj/world bank nasubiria maamuzi yao. Nakesha kuomba
 
Kwanza unatakiwa kujua dunian hakuna sehemu yenye nidhamu kama jeshini kitu kwa kwanza jeshini ni nidhamu cha pili ni utii wa amri

Kuwa frontline inategemea na mafunzo yako kwani jeshini kuna vikosi vya aina tatu

1 Ground forces ( Infantry)
2 Air Force (Armed Force)
3Navy ( maritime force)

So inapotokea kwenda kwenye mission yanaangaliwa mahitaji tu si ngozi au rangi ya mtu wenzetu nawajitaidi sana kupunguza vifo vya wanajeshi wao ktk war zone ndio maana wanaangaika vita vipiganwe mbali then waingie kukusanya tu mabaki

Kuhusu vigezo ni kuwa mkazi wa nchi za umoja wa Ulaya vigezo vingine siwezi kuviweka hapa kwani mada ni kutoka Africa (Tanganyika) mengine huku huku tutafahamishana

Value jeshini hakuna value value yako ni kutimiza ulichofundishwa na kitimiza wajibu wako wa kulinda mipaka ya nchi dhidi ya threat na uvamizi
 
Mkuu naomba utafasiri kwa kiswahili ili tuelewe vizuri mkuu.

1. Student Visas - National Long-stay “D” visa ( Viza ya uanafunzi ya muda mrefu)

What is a student visa and how do you apply for it?

Student visas are required for all students travelling to study in or visit Malta. Some nationalities (including EU nationals) only need a student visa for stays of more than three months.

Wanafunzi wote wanaosafiri kwenda Malta kwa ajili ya masomo wanahitaji kuwa na viza. Baadhi ya raia wakiwamo wale wa kutoka nchi za Ulaya tu, wanahitaji viza ya muda mrefu.

Non-EU Nationals
Non-EU nationals need to apply for a visa regardless of the length of time spent in Malta. Contact your embassy for more information. Non-EU students should apply for a Schengen visa as this allows them more freedom of travel in the member states.

Wanafunzi waso raia wa kutoka nchi za Ulaya.
Unahitaji kufanya maombi ya viza bila kujali muda gani utakaa nchini Malta. Wasiliana na ubalozi kwa taarifa zaidi. Wanafunzi waso raia wa Ulaya wanatakiwa kufanya maombi ya viza ya Schengen ambayo inawaruhusu kusafiri kwa uhuru katika nchi ambazo ni wanachama wa Schengen.

Application for student visas
When applying for a student visa, you should provide all the necessary information and documents as the Maltese Embassy will not consider half complete applications. The following list provides you with all the necessary documentation that you will need:
Maombi ya viza ya uanafunzi.

1. Your completed application form

Fomu iliyokamilika

2. Your up-to-date and valid passport/travel document.

Pasi ya kusafiria ambayo haijaisha muda wake.

3. Two identical colour passport photos that must be from the last six months and adhere to the Embassy’s photographic requirements.

Picha mbili za rangi za passport ambazo zimechukuliwa si zaidi ya miezi sita ilopita na zinazokidhi vigezo vilivyowekwa na ubalozi.

4. Student Status Letter from your university faculty.

Barua inayoonyesha kusajiliwa chuo

5. Proof of travel insurance to cover the duration of your visit. The insurance company will provide you with a certificate to include in your application

Uthibitisho wa bima ya kusafiria ambayo inagharamia muda wako wote wa safari. Kampuni ya bima itakupatia cheti cha bima ambacho utaambatanisha kwenye maombi yako.

6. Proof of travel plans (flight, ferry or train bookings). The Maltese Embassy insists that you must have pre-booked your travel before you apply for your visa.

Thibitisho wa mipango ya safari yako( ndege., meli, au treni) Ubalozi wa malta unasisitiza lazima uwe umenunua tiketi kabla ya kufanya maombi ya viza.

7. Proof of accommodation

Uthibitisho wa malazi.

8. Proof of financial means. You should have approximately €30 per day available. Bank statements, wage slips from the last 3 months or travellers cheques with the relevant amounts are necessary to prove you meet the financial requirements.

Uthibitisho wa uwezo wa fedha. Unatakiwa uwe na kiasi kisichopungua Euro 33 kwa siku. Taarifa ya benki, Stakabadhi ya malipo ya mshahara ndani ya miezi 3 ilopita, hundi za kusafiria zenye fedha zinazotosha kuonyesha kwamba unatimiza masharti ya mahitaji ya kuwa na fedha.

9. Schengen visas require an application fee. This charge can vary, so it is best to check with the Maltese Embassy to confirm the actual amount and the method of payment. This can be done through the Embassy website.

Schengen Viza ina malipo yake. Malipo haya yanabadilika, hivyo ni muhimu kuwasiliana na ubalozi wa Malta ili kuwa na uhakika wa tozo halisi na jinsi ya kufanya malipo. Hii yote inaweza kufanywa kupitia katika tovuti ya ubalozi.

10. A self addressed special delivery envelope to allow the Embassy to post back your passport/documents when a decision has been made.

Bahasha yenye anuani yako inatakiwa kwa ajili ya kuuwezesha ubalozi kurudisha passpoport yako na taarifa zote ulizoaambatanisha kwenye maombi yako.

11. Photocopies of all the documents provided (you need to send both originals and photocopies).

Unatakiwa utume maombi yako yote yakiwa yamerudufiwa pamoja na passport halisi.
 
Weka vyombo mkuu
 
Goo
Good idea
 
Reactions: Qj_
Mkuu naomba utafasiri kwa kiswahili ili tuelewe vizuri mkuu.

1. Visa for Malta

Viza ya Malta

What documents will be required?

Visa applications must be in writing, giving all details required on the Visa Application Form which can be acquired free of charge from Malta’s diplomatic missions and consular posts.

The Visa Application Form must be wholly and legibly completed, and signed by the applicant, and accompanied by:

o a valid travel document (passport) validity of which must not be less than three (3) months;

o two (2) passport-size photographs, in colour and taken against a white background, with face clearly visible;

o the visa fee

What documents will be required?

Maombi ya viza yanatakiwa yawe yamefanywa kwa uandishi maelezo yote yakitolewa kwenye fomu ya mbombiambao inapatikana bure kutoka kwenye ofisi za Ubalozi na uwakilishi wa Malta.

Fomu ya maombi ya viza inatakiwa iwe imejazwa yote na iliyojitosheleza, iliyosainiwa na mwombaji na inayoambatanishwa pamoja na:

Passport ambayo haijaisha muda wake ambayo haipo chini ya miezi mitatu.

Picha mbili za za rangi na mbazo zina weupe nyuma yake zikiwa na uso unaonekana vizuri.

Ada ya viza.

These supporting documents include:

o supporting documents regarding the purpose of the visit shall mean, for example:

o a letter of invitation

o a summons

o a certificate of enrolment

o an organised trip.

Nyaraka zinazosaidia maombi yako.

Barua ya mwaliko

Barua ya kuitwa shaurini

Barua ya kukubaliwa chuo ka masomo

Mango mzima wa safari.

Supporting documents regarding means of transport, for example:

o a valid return ticket or

o a certificate of a reserved and prepaid journey

o supporting documents regarding means of subsistence.

Nyaraka zinazosaidia maombi zinazohusiana na safari kwa mfano:

Tiketi ya safari ya kwenda na kurudi.

Cheti au stakabadhi inayoonyesha malipo ya safari

Nyaraka zinazoonyesha kwamba wewe una fedhaya kutosha (mpunga) una kitabu cha hundi, una akaunti ya fedha za kigeni, una credit card au aina yoyote ya fwedha ambazo zinaweza kukusaidia katika safari yako.

The following may be accepted as proof of means of subsistence:

o cash in convertible currency

o traveller’s cheques

o cheque books for a foreign currency account

o credit cards

o or any other means that guarantees funds in hard currency.

The level of means of subsistence shall be proportionate to the length and purpose of the stay, and to the amount of € 48 per day.

Uwezo huu wa kifwedha ni ule ambao unakidhi mahitaji yako yote ya fwedha ukiwa safarini kiasi cha Euro 48 kwa siku.

Supporting documents regarding accommodation

The following documents inter alia may be accepted as proof of accommodation:

o hotel reservation or reservation for a similar establishment

o documents proving the existence of a lease or a title deed, in the applicant’s name, to a property situated in the country to be visited

o where a third-country national states that he/she shall stay at a person’s home or in an institution, the applicant must present a written declaration by the host which vouches for the host’s commitment to accommodate. The diplomatic mission and consular posts will verify such declarations, where such checks are necessary;

o or by requiring that a certificate be presented which vouches for the commitment to accommodate, in the form of a harmonised form filled in by the host/institution and stamped by the competent authority in Malta, according to the provisions laid down in its national legislation.

In addition, in support of an application for a short-term or travel visa, applicants must show that they are in possession of adequate and valid individual or group Travel Medical Insurance to cover any expenses which might arise in connection with repatriation for medical reasons, urgent medical attention and/or emergency hospital treatment. The insurance must be valid throughout the Schengen Member States and cover the entire period of the person’s stay. The minimum coverage is of € 30,000.

Visa Types & Validity

Aina ya viza na uhalali wake.

There are three types of visa for travelling to Malta, depending on the type of journey you intend to make:

Kuna aina tatu za viza za kuingia Malta kulingana na aina safari yako.

Airport Transit Visa (ATV)


Viza ya kupita/ kuunganisha safari

These visas allow the holder to cross the international transit zone of Malta’s International Airport. Nationals from countries included in the list of countries with the obligation to carry an Airport Transit Visa must be in possession of this visa.

Viza hizi zinamruhusu msafiri apite katika katika uwanja wa ndege wa Malta katika eneo la kimataifa. Raia kutoka inchi ambazo ziko kwenye orodha ya kupatiwa aina hii ya viza ni lazima wawe na viza hii.

Short-stay “C” visa (Schengen)

Viza ya muda mfupi ya dara C au schengen

These visas allow the holder to transit through or remain in the territory of Malta and all other Schengen Member States for a maximum period of three months (90 days) within a period of six months (180 days) from the entry date into the Schengen area.

Aina hii ya viza inamruhusu mwenye nayo kupita ndani ya eneo la kujidai la Malta na nchi zote zilizoko kwenye eneo la Schengen kwa muda wa miezi isopungua mitatu (siku 90) katika kipindi cha miezi sita (siku 180) tangu tarehe aliyoingia ndani ya eneo la Schengen.

The validity period of a Schengen (short-term) visa is determined in accordance with the length of travel, for a maximum of 5 years. According to expected number of stays, Schengen (short-term) visa may be issued as follows:

Uhalali wa viza ya Schengen (ya muda mfupi) unategemea na muda wa safari kwa muda usopungua miaka mitano. Kwa mujbu wa siku utazokaa, viza ya Schengen ( (ya muda mfupi) inaweza kutolewa kama ifuatavyo:

single entry - entitles to a single uninterrupted stay during the period stipulated in the visa, which may not exceed than 3 months;

Kuingia mara mojaunaruhusiwa kuingia mara moja katika muda wote unaoonyeshwa katika viza na inaweza isizidi miezi miezi mitatu.

double entry visa - entitles to two stays during the period stipulated in the visa, while the sum of the lengths of stay may not exceed (3) three months within a half-year;

Kuingia zaidi ya mara moja Unaruhusiw akuingia zaidi ya mara moja na kukaa katika kipindi kichoelezwa katika viza lakini bila kuzidi miezi mitatu.

multiple entry visa - entitles to multiple stays during the period stipulated in the visa, while the sum of the lengths of stay may not exceed (3) three months within a half-year.

Kuingia kila mara Unaruhusiwa kuingia ndani ya Malta na nchi ya Schengen kila mara katika muda wote wa viza ulopewa ambao hauzidi miezi mitatu ndani ya nusu mwaka.

National Long-stay “D” visa

Viza ya taifa ya muda mrefu viza D

These visas allow the holder to stay in the territory of Malta for periods longer than three months (90 days). All third-country nationals who wish to enter Malta in order to work and/or study must be in possession of this type of visa.

Applications for long-term or “D” visas are not subject of representation arrangements and the applicants should contact the Central Visa Unit for further information as to which of Malta’s diplomatic missions and consular posts would accept their visa applications.

Viza hizi zinamruhusu mwenye nayo kukaa ndani ya eneo la kujidai la Malta kwa kipindi cha miezi zaidi ya mitatu au siku 90. Raia wa nchi zisizo za kutoka barani Ulaya wanapaswa kuwa na aina hii ya viza.

Maombi ya viza ya muda mrefu ya D hawana haki ya kuwakilishwa katika kufanya maombi yao na wanapaswa kuwasiliana na kitengo cha Central Visa kwa taarifa zaidi katika ofisi za ubalozi wa Malta zilizopo karibu nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…