Mkuu Izzo, si masihala. Umezungumza jambo zuri kuliko. Kumbuka jambo fulani kwangu. Naona mwanga mweupe kuliko nyota za angani mbele yangu. Shukrani sana mkuu, sanaaa.Ndugu zangu Watanganyika ni muhimu kama huna degree coz kupata White - collar job kwanza ni ngumu kama bado ujapata PR so unaweza kuanza na kazi ndogo ndogo lakini zinalipa vizuri (pay is good) jifunzeni Construction Worker, QS's, Carpenter, Painter, Plumber trust me hz kazi zipo nying sana na malipo ni mazuri sana
Kingine kuna hii kitu ambao wengi hawajui lakni ni bonge la dili inaitwa Occupational safety and health ni bonge la dili kwani unafanya kazi sehemu yeyote na kazi huwezi kukosa
Nitakuja kuwapa ujanja wa kusoma hii course online na chuo ambacho kipo chini ya U.S. Department of Labor (DOL) na kama ukimaliza hapo unasoma PROFESSIONAL TRAINING PROGRAMS ukitoka hapo course ni miezi 6 mpaka mwaka ukitoka hapo unapata kazi sehemu yeyote duniani kuanzia kwenye makampuni makubwa , viwanda,taasisi na kwenye sector ya mafuta na gesi watu wengi naona wanakwenda kusoma vitu ambayo watu wengi wanasoma siku ikitokea wametangaza ajira interview inafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi mlivyo wengi tatizo tumefungwa ufahamu tumeshindwa kutumia milango sita ya ufahamu nyinyi mnafundishwa kuna milango 5 wenzenu wanafundiswa ni milango sita mpaka 9
Mpaka sasa hv chuo hiki kuna watu laki 3 ndio wamesoma hapa sasa jiulize duniani kuna makampuni mangapi,kuna viwanda vikubwa vingapi kuna nchi ngapi wanachimba gesi na mafuta hakuna kampuni yeyote utakayopeleka cheti cha chuo hiki ukakosa kazi duniani kwani wanafunzi wake wote wapo kwenye data base anachofanya ni kuingia kwenye data base na kuingiza namba zako tu anaona kila kitu so huwezi kufake hata kidogo
Taasisi hii ndio inasimamia maswala ya Safety na Health duniani makampuni na mashirika yote makubwa yanasimamiwa na taasisi hii ambayo iko chini ya U.S. Department of Labor (DOL)
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Shukrani sana Kaka Richard.Orodha ya kazi nchini Australia ambazo zinahitaji wasomi kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania.
Skilled occupations
This information page can be used by potential applicants seeking to nominate skilled occupations which are acceptable for permanent and temporary skilled migration to Australia under these programs:
Skilled Occupation List (SOL)
- SkillSelect
- Employer Nominated Scheme (subclass 186)
- Regional Sponsored Migrations Scheme (subclass 187)
- Temporary Work (Skilled) visa (subclass 457)
- Training visa (subclass 407)
- Temporary Graduate visa (subclass 485) - Graduate Work stream.
The current Skilled Occupation List is relevant for applicants for:
After a review by the Department of Education and Training, a new SOL was introduced on 1 July 2016 with a number of changes to the occupations.
- independent points-based skilled migration who are not nominated by a state or territory government agency
- a Family Sponsored Points Tested visa
- Temporary Graduate visa (subclass 485) - Graduate Work stream.
Occupations added to the SOL on 1 July 2016 were:
Occupations removed from the SOL on 1 July 2016 were:
- Orthotist or Prosthetist (ANZSCO 251912)
- Audiologist (ANZSCO 252711).
The review of the SOL did not impact the composition of the Consolidated Sponsored Occupations List (CSOL).
- Mining Engineer (Excluding Petroleum) (ANZSCO 233611)
- Petroleum Engineer (ANZSCO 233612)
- Metallurgist (ANZSCO 234912)
- Environmental Health Officer (ANZSCO 251311)
- Occupational Health and Safety Adviser (ANZSCO 251312)
- Dental Hygienist (ANZSCO 411211)
- Dental Prosthetist (ANZSCO 411212)
- Dental Technician (ANZSCO 411213)
- Dental Therapist (ANZSCO 411214).
For further information on the review of the 2016-17 SOL see Review of the Skilled Occupations List (SOL).
Consolidated Sponsored Occupation List (CSOL)
The current Consolidated Sponsored Occupation List (CSOL) is relevant for applicants for:
Kwa maelelezo zaidi, tembelea tovuti ifuatayo kutambua kazi hizo.
- points-based skilled migration who are nominated by a state or territory government agency under a State Migration Plan
- the Employer Nomination Scheme (ENS), who must have been nominated by an Australian employer to fill a position in an occupation that appears in the CSOL
- Temporary Work (Skilled) visa (subclass 457)
- Training visa (subclass 407).
Skilled occupations
Safii kabisa. Huu ndio uungwana. Shukrani sana Mkuu Richard.Kazi zinazoweza kukupatia kibali cha kufanya kazi nchini Uingereza.
Kabla ya kuomba kibali cha kwenda kuishi na kufanya kazi nchini Uingereza chini ya utaratibu uitwao "Tier 2 Skilled Worker", unapaswa kufahamu mambo yafuatayo:
1. Unatakiwa uwe umempata mdhamini ambae ni mwajiri wako mtarajiwa na ambae ataweza kukudhamini kwa kipindi chote utakachokuwa ukifanya kazi nchini humo.
2. Mdhamini wako awe na wafanyakazi wasopungua 50 au chini ya hapo.
3. Mdhamini wako awe anaingiza kiasi cha pauni zisizopungua milioni 10.2 kwa mwaka au turnover au chini kidogo ya hapo.
4. Unatakiwa uwe huna rekodi yoyote au taarifa yoyote ya uhalifu kutoka nchini kwako.
Ifuatayo ni orodha kamili ya kazi ambazo unaweza kabisa kuzifanya nchini Uingereza baada ya kupata kibali cha kufanya kazi au "work permit":
1181 - Health services and public health managers and directors
1184 - Social services managers and directors
2211 - Medical practitioners
2212 - Psychologists
2213 - Pharmacists
2214 - Ophthalmic opticians
2215 - Dental practitioners - Hii kwa sasa inalipa kwelikweli kwani unafungua zahanati yako na unakusanya fedha bila shida. Ila unatakiwa uwe tayari umepata makazi ya kudumu.
2217 - Medical radiographers
2218 - Podiatrists
2219 - Health professionals not elsewhere classified
2221 - Physiotherapists
2222 - Occupational therapists
2223 - Speech and language therapists
2229 - Therapy professionals not elsewhere classified
2231 - Nurses - Kama kawaida hii inalipa kwa sasa na haijali wewe ni mwanamke au mwanamme. Kuna unesi wa kuwashughulikia wagonjwa wa akili, wale ambao wanahitaji msaada mkubwa wa kubebwa na wale wanaohitaji uangalizi masaa 24.
2232 - Midwives - Hii nayo kwa sasa ni high valued job
2312 - Further education teaching professionals
2314 - Secondary education teaching professionals
2315 - Primary and nursery education teaching professionals
2316 - Special needs education teaching professionals
2317 - Senior professionals of educational establishments
2318 - Education advisers and school inspectors
2319 - Teaching and other educational professionals not elsewhere classified
2442 - Social workers
2443 - Probation officers
2449 - Welfare professionals not elsewhere classified
NB: zaitwa standard occupation classification (SOC) codes.
Haya basi kama kuna wenye sifa tajwa hapo juu basi anza kuchangamkia fursa hizo.
Vp kwa unskilled labours zpo na kipato chake kipoje ?Safii kabisa. Huu ndio uungwana. Shukrani sana Mkuu Richard.
Mkuu izzo nakufatilia kwa karibu sana ndugu... Usife moyo tafadhari cha kufanya ni kutafuta mtu ataeweza kwenda kuangalia kwa kila mmoja wetu anaehitaj kuhost na kukutumia details za kila mmoja then wewe uta choose watu ambao angalau wanawez kuhost kutokana na mazingira yanayohitajika... Kama utahitaj mtu ambae yuko chap kufatilia na kuleta details even me naweza ila angalia wewe unaeona anafaa...Mkuu unayosema ni 100% Accuracy na wenyewe wanajua waafrica tulivyo na ndo maana wamenipa mtihani mgumu sana wa kuwajibika kwa litakalo tokea yani hapa kichwa kinapata moto tu
Changamoto ni usalama wa watoto wao tu kwani ingekuwa ni taasisi kwamba wote wanafikia kwa mtu mmoja au wanafikia hostel na wanatembezwa pamoja sawa lakni hii ya mtu umekutana nae online tena kwa fake id duh tuombe Mungu tu tufanikiwe kwani nia yetu ni njema mbele ya Mungu
This is very nice idea izzo... Please give us the details we can start even now... And what about charges? Tuambie ni how much and how and what whatever just everything needed cas mda huu tunaoweka mambo sawa wengne we can start that kuongeza confidence cas ukiw umejifunza vitu vingi hata confidence inaongezeka ukifka kweny nnchi za watu.... Just go tell us plsNdugu zangu Watanganyika ni muhimu kama huna degree coz kupata White - collar job kwanza ni ngumu kama bado ujapata PR so unaweza kuanza na kazi ndogo ndogo lakini zinalipa vizuri (pay is good) jifunzeni Construction Worker, QS's, Carpenter, Painter, Plumber trust me hz kazi zipo nying sana na malipo ni mazuri sana
Kingine kuna hii kitu ambao wengi hawajui lakni ni bonge la dili inaitwa Occupational safety and health ni bonge la dili kwani unafanya kazi sehemu yeyote na kazi huwezi kukosa
Nitakuja kuwapa ujanja wa kusoma hii course online na chuo ambacho kipo chini ya U.S. Department of Labor (DOL) na kama ukimaliza hapo unasoma PROFESSIONAL TRAINING PROGRAMS ukitoka hapo course ni miezi 6 mpaka mwaka ukitoka hapo unapata kazi sehemu yeyote duniani kuanzia kwenye makampuni makubwa , viwanda,taasisi na kwenye sector ya mafuta na gesi watu wengi naona wanakwenda kusoma vitu ambayo watu wengi wanasoma siku ikitokea wametangaza ajira interview inafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi mlivyo wengi tatizo tumefungwa ufahamu tumeshindwa kutumia milango sita ya ufahamu nyinyi mnafundishwa kuna milango 5 wenzenu wanafundiswa ni milango sita mpaka 9
Mpaka sasa hv chuo hiki kuna watu laki 3 ndio wamesoma hapa sasa jiulize duniani kuna makampuni mangapi,kuna viwanda vikubwa vingapi kuna nchi ngapi wanachimba gesi na mafuta hakuna kampuni yeyote utakayopeleka cheti cha chuo hiki ukakosa kazi duniani kwani wanafunzi wake wote wapo kwenye data base anachofanya ni kuingia kwenye data base na kuingiza namba zako tu anaona kila kitu so huwezi kufake hata kidogo
Taasisi hii ndio inasimamia maswala ya Safety na Health duniani makampuni na mashirika yote makubwa yanasimamiwa na taasisi hii ambayo iko chini ya U.S. Department of Labor (DOL)
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
This is very nice idea izzo... Please give us the details we can start even now... And what about charges? Tuambie ni how much and how and what whatever just everything needed cas mda huu tunaoweka mambo sawa wengne we can start that kuongeza confidence cas ukiw umejifunza vitu vingi hata confidence inaongezeka ukifka kweny nnchi za watu.... Just go tell us plsNdugu zangu Watanganyika ni muhimu kama huna degree coz kupata White - collar job kwanza ni ngumu kama bado ujapata PR so unaweza kuanza na kazi ndogo ndogo lakini zinalipa vizuri (pay is good) jifunzeni Construction Worker, QS's, Carpenter, Painter, Plumber trust me hz kazi zipo nying sana na malipo ni mazuri sana
Kingine kuna hii kitu ambao wengi hawajui lakni ni bonge la dili inaitwa Occupational safety and health ni bonge la dili kwani unafanya kazi sehemu yeyote na kazi huwezi kukosa
Nitakuja kuwapa ujanja wa kusoma hii course online na chuo ambacho kipo chini ya U.S. Department of Labor (DOL) na kama ukimaliza hapo unasoma PROFESSIONAL TRAINING PROGRAMS ukitoka hapo course ni miezi 6 mpaka mwaka ukitoka hapo unapata kazi sehemu yeyote duniani kuanzia kwenye makampuni makubwa , viwanda,taasisi na kwenye sector ya mafuta na gesi watu wengi naona wanakwenda kusoma vitu ambayo watu wengi wanasoma siku ikitokea wametangaza ajira interview inafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi mlivyo wengi tatizo tumefungwa ufahamu tumeshindwa kutumia milango sita ya ufahamu nyinyi mnafundishwa kuna milango 5 wenzenu wanafundiswa ni milango sita mpaka 9
Mpaka sasa hv chuo hiki kuna watu laki 3 ndio wamesoma hapa sasa jiulize duniani kuna makampuni mangapi,kuna viwanda vikubwa vingapi kuna nchi ngapi wanachimba gesi na mafuta hakuna kampuni yeyote utakayopeleka cheti cha chuo hiki ukakosa kazi duniani kwani wanafunzi wake wote wapo kwenye data base anachofanya ni kuingia kwenye data base na kuingiza namba zako tu anaona kila kitu so huwezi kufake hata kidogo
Taasisi hii ndio inasimamia maswala ya Safety na Health duniani makampuni na mashirika yote makubwa yanasimamiwa na taasisi hii ambayo iko chini ya U.S. Department of Labor (DOL)
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Unskilled labours hazipo kwa wahamiaji wa "work permit route".Vp kwa unskilled labours zpo na kipato chake kipoje ?
nasubr hayo madini mkuu..,siwezi shindwa soma kozi 2 at per..,barikiwa sana mkuu..Ndugu zangu Watanganyika ni muhimu kama huna degree coz kupata White - collar job kwanza ni ngumu kama bado ujapata PR so unaweza kuanza na kazi ndogo ndogo lakini zinalipa vizuri (pay is good) jifunzeni Construction Work , QS's, Carpenter, Painter, Plumber trust me hz kazi zipo nying sana na malipo ni mazuri sana
Kingine kuna hii kitu ambao wengi hawajui lakni ni bonge la dili inaitwa Occupational safety and health ni bonge la dili kwani unafanya kazi sehemu yeyote na kazi huwezi kukosa
Nitakuja kuwapa ujanja wa kusoma hii course online na chuo ambacho kipo chini ya U.S. Department of Labor (DOL) na kama ukimaliza hapo unasoma PROFESSIONAL TRAINING PROGRAMS ukitoka hapo course ni miezi 6 mpaka mwaka ukitoka hapo unapata kazi sehemu yeyote duniani kuanzia kwenye makampuni makubwa , viwanda,taasisi na kwenye sector ya mafuta na gesi watu wengi naona wanakwenda kusoma vitu ambayo watu wengi wanasoma siku ikitokea wametangaza ajira interview inafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi mlivyo wengi tatizo tumefungwa ufahamu tumeshindwa kutumia milango sita ya ufahamu nyinyi mnafundishwa kuna milango 5 wenzenu wanafundiswa ni milango sita mpaka 9
Mpaka sasa hv chuo hiki kuna watu laki 3 ndio wamesoma hapa sasa jiulize duniani kuna makampuni mangapi,kuna viwanda vikubwa vingapi kuna nchi ngapi wanachimba gesi na mafuta hakuna kampuni yeyote utakayopeleka cheti cha chuo hiki ukakosa kazi duniani kwani wanafunzi wake wote wapo kwenye data base anachofanya ni kuingia kwenye data base na kuingiza namba zako tu anaona kila kitu so huwezi kufake hata kidogo
Taasisi hii ndio inasimamia maswala ya Safety na Health duniani makampuni na mashirika yote makubwa yanasimamiwa na taasisi hii ambayo iko chini ya U.S. Department of Labor (DOL)
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe tena na tena. Mimi nataka niombe kusoma masta ila kiwango cha pesa hakipo vizuri. Napambana mpka nipate pesa ya kutosha ili nipate nafasi ya kufika huko. Asante mkuu1. Student Visas - National Long-stay “D” visa ( Viza ya uanafunzi ya muda mrefu)
What is a student visa and how do you apply for it?
Student visas are required for all students travelling to study in or visit Malta. Some nationalities (including EU nationals) only need a student visa for stays of more than three months.
Wanafunzi wote wanaosafiri kwenda Malta kwa ajili ya masomo wanahitaji kuwa na viza. Baadhi ya raia wakiwamo wale wa kutoka nchi za Ulaya tu, wanahitaji viza ya muda mrefu.
Non-EU Nationals
Non-EU nationals need to apply for a visa regardless of the length of time spent in Malta. Contact your embassy for more information. Non-EU students should apply for a Schengen visa as this allows them more freedom of travel in the member states.
Wanafunzi waso raia wa kutoka nchi za Ulaya.
Unahitaji kuwa na viza bila kujali muda gani utakaa nchini Malta. Wasiliana na ubalozi kwa taarifa zaidi. Wanafunzi waso raia wa Ulaya wanatakiwa kufanya maombi ya viza ya Schengen ambayo inawaruhusu kusafiri kwa uhuru katika nchi ambazo ni wanachama wa Schengen.
Application for student visas
When applying for a student visa, you should provide all the necessary information and documents as the Maltese Embassy will not consider half complete applications. The following list provides you with all the necessary documentation that you will need:
Maombi ya viza ya uanafunzi.
1. Your completed application form
Fomu iliyokamilika
2. Your up-to-date and valid passport/travel document.
Pasi ya kusafiria ambayo haijaisha muda wake.
3. Two identical colour passport photos that must be from the last six months and adhere to the Embassy’s photographic requirements.
Picha mbili za rangi za passport ambazo zimechukuliwa si zaidi ya miezi sita ilopita na zinazokidhi vigezo vilivyowekwa na ubalozi.
4. Student Status Letter from your university faculty.
Barua inayoonyesha kusajiliwa chuo
5. Proof of travel insurance to cover the duration of your visit. The insurance company will provide you with a certificate to include in your application
Uthibitisho wa bima ya kusafiria ambayo inagharamia muda wako wote wa safari. Kampuni ya bima itakupatia cheti cha bima ambacho utaambatanisha kwenye maombi yako.
6. Proof of travel plans (flight, ferry or train bookings). The Maltese Embassy insists that you must have pre-booked your travel before you apply for your visa.
Thibitisho wa mipango ya safari yako( ndege., meli, au treni) Ubalozi wa malta unasisitiza lazima uwe umenunua tiketi kabla ya kufanya maombi ya viza.
7. Proof of accommodation
Uthibitisho wa malazi.
8. Proof of financial means. You should have approximately €30 per day available. Bank statements, wage slips from the last 3 months or travellers cheques with the relevant amounts are necessary to prove you meet the financial requirements.
Uthibitisho wa uwezo wa fedha. Unatakiwa uwe na kiasi kisichopungua Euro 33 kwa siku. Taarifa ya benki, Stakabadhi ya malipo ya mshahara ndani ya miezi 3 ilopita, hundi za kusafiria zenye fedha zinazotosha kuonyesha kwamba unatimiza masharti ya mahitaji ya kuwa na fedha.
9. Schengen visas require an application fee. This charge can vary, so it is best to check with the Maltese Embassy to confirm the actual amount and the method of payment. This can be done through the Embassy website.
Schengen Viza ina malipo yake. Malipo haya yanabadilika, hivyo ni muhimu kuwasiliana na ubalozi wa Malta ili kuwa na uhakika wa tozo halisi na jinsi ya kufanya malipo. Hii yote inaweza kufanywa kupitia katika tovuti ya ubalozi.
10. A self addressed special delivery envelope to allow the Embassy to post back your passport/documents when a decision has been made.
Bahasha yenye anuani yako inatakiwa kwa ajili ya kuuwezesha ubalozi kurudisha passpoport yako na taarifa zote ulizoaambatanisha kwenye maombi yako.
11. Photocopies of all the documents provided (you need to send both originals and photocopies).
Unatakiwa utume maombi yako yote yakiwa yamerudufiwa pamoja na passport halisi.
Daah mkuu me malengo yangu nifike Germany ila sijui pa kuanzia kabisa. .yani ni mweupee pee. .so naomba msaada wako mkuu hatua gani za kufuataKwanza unatakiwa kujua dunian hakuna sehemu yenye nidhamu kama jeshini kitu kwa kwanza jeshini ni nidhamu cha pili ni utii wa amri
Kuwa frontline inategemea na mafunzo yako kwani jeshini kuna vikosi vya aina tatu
1 Ground forces ( Infantry)
2 Air Force (Armed Force)
3Navy ( maritime force)
So inapotokea kwenda kwenye mission yanaangaliwa mahitaji tu si ngozi au rangi ya mtu wenzetu nawajitaidi sana kupunguza vifo vya wanajeshi wao ktk war zone ndio maana wanaangaika vita vipiganwe mbali then waingie kukusanya tu mabaki
Kuhusu vigezo ni kuwa mkazi wa nchi za umoja wa Ulaya vigezo vingine siwezi kuviweka hapa kwani mada ni kutoka Africa (Tanganyika) mengine huku huku tutafahamishana
Value jeshini hakuna value value yako ni kutimiza ulichofundishwa na kitimiza wajibu wako wa kulinda mipaka ya nchi dhidi ya threat na uvamizi
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe tena na tena. Mimi nataka niombe kusoma masta ila kiwango cha pesa hakipo vizuri. Napambana mpka nipate pesa ya kutosha ili nipate nafasi ya kufika huko. Asante mkuu
Mkuu visa ya Malta wanataka vigezo gani ???
Kwanza unatakiwa kujua dunian hakuna sehemu yenye nidhamu kama jeshini kitu kwa kwanza jeshini ni nidhamu cha pili ni utii wa amri
Kuwa frontline inategemea na mafunzo yako kwani jeshini kuna vikosi vya aina tatu
1 Ground forces ( Infantry)
2 Air Force (Armed Force)
3Navy ( maritime force)
So inapotokea kwenda kwenye mission yanaangaliwa mahitaji tu si ngozi au rangi ya mtu wenzetu nawajitaidi sana kupunguza vifo vya wanajeshi wao ktk war zone ndio maana wanaangaika vita vipiganwe mbali then waingie kukusanya tu mabaki
Kuhusu vigezo ni kuwa mkazi wa nchi za umoja wa Ulaya vigezo vingine siwezi kuviweka hapa kwani mada ni kutoka Africa (Tanganyika) mengine huku huku tutafahamishana
Value jeshini hakuna value value yako ni kutimiza ulichofundishwa na kitimiza wajibu wako wa kulinda mipaka ya nchi dhidi ya threat na uvamizi
Hahahaha wazungu wengi tu wanashida na watu wa abroad ila hawajiwakilishi na wengine hawajui jinsi ya kupata mtu wa ng'ambo wakiamini hatuwapendi au hatuvutiwi nao nakumbuka niliwahi kua na mtu mweusi kutokka Virginia nilidumu nae sana ila yule aliniambiaga kua "I heard people there hates us" nikawmmwambia no "we love you" akasezidi kusema kua mnatuchukia kwa mambo ya hovyo nnchini kwetu nikamwambia mambo yenu tunayapenda na tunavutiwa nayo na yeye akasema "yani sisi huku wanaume walaghai sana" tyliongea mengi sanaHahahahaa "mbinu za kivita' hizo mkuu. Wadau wajikoki sasa.
-Kaveli-