Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuuu ndugu yangu ukiwa mtu mweusi neno ubaguzi au kubaguliwa kuchulia ni kama sehemu yako tu trust me hakuna sehemu duniani ambayo mtu mweusi yuko safe dhidi ya ubaguzi zaid ya Africa japo napo si 100% kwani wapo wanabaguliwa hata ndani ya Africa mfano wahindi , wachina na makaburu SA so ilo lisikupe tabu

Nchi nying za Ulaya wabaguzi sana sana ni wazee na watoto wadogo na mara nying ni wale wanaokaa mashambani lakini mijini ubaguzi umepungua kwa kiasi kikubwa sana
Nilienda mwaka jana Hamburg Germany nilichokiona ni tofauti na miaka ile ya 90 tukienda... Wajerumani wamebadilika sana!! Sikuamini kuona mitaa walokua hawakanyagi wakuja now mnapita free tuuuu.... Mashirikiano ni makubwa mno... Sera za yule mama zimeibadili sana Germany juu ya Ubaguzi.....
 
Jamaaa mmoja aliliza watu humu jf waliokuwa wataka fursa za kwenda ughaibuni akadai yeye ni agent anaweza msaidia mtu akafika majuu watu wakajikoki amepiga kalibia US$ 670 za wanajamvi shahidi [HASHTAG]#daby[/HASHTAG]
Duh unampaje mtu hela kirahisi hivyo? Mkuu ni vizuri utafute mbinu habari za hela shika kichwa chako.
 
Lusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu.
Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal, Ivory Coast, Mali, Ghana, Ethiopia, .........
Nimezunguka migodi ya nchi hizi nyingi nimekutana na watanzania wengi na wanafanya kazi nzuri na wanalipwa vizuri kwa average ya USD7000 kwa mwezi ambayo ni sawa na 15M ya Tanzania.

Tukiwa na Watanzania 100 wanaliingizia pato Taifa ya USD700,000 kwa mwezi pesa za kigeni
Tukiwa na Watanania 1000 wataingiza USD 7,000,000.
Tukiwa na Watanzania 10,000 wataingiza USD 70M which is possible for now tuache woga
Kuna mtu nilimuita kuna nafasi ya kazi nilipokuwa mgodi mmoja wa Lumwana kule Zambia wakati ule yeye alikuwa anafanya kazi pale TBS akaniambia hawezi kuiacha familia wakati ule dili za mikutano zilikuwa ziko chart mala leo wako movenpick, kesho Kunduchi beach full usanii lakini nilimwambia usitumainie kazi za dili hakunisikia leo hii yuko chali.

Tulenge kufikisha maexpat 100,000 ambao wataletea Taifa fedha za kigeni 700M USD kwa mwezi ambayo ni sawa na 1.5Tillion Tanzanian shs. sidhani kama kuna zao lolote tunao export lenye kuleta hizi pesa kwa mwezi. If we have failed to export products let us export human skills/resources please. mpaka sasa nimeweza kuwaconnect watu 12 kufanya kazi hizi na wengine mpaka sasa wananizidi hata mshahara but I am proud of this, I want Tanzanian to flood Africa as expats in the mining industry, doctors, IT and accounting. Tusibaki kupigana vikumbo Vodacom, TIGO, Airtel, TRA, Bandarini, huko dili hakuna na zilikuwa siyo halali tutachukia watawala bure. Stand up and get out there.

Huku unafanya kazi week 6 site na week 2 uko home unaendeleza miradi yako na ukiwa site hutumii hata shilingi yako vitu vyote unakuwaprovided mshahara unaukuta nyumbani Tanzania kwenye A/C unakusubiri (very clean money, hakuna kutega dili).

Mimi nilipata kazi kwa ku-apply online application kwa mara ya kwanza AngloGold Ashanti na kutokana na uzoefu niliokuwa nimepata hapo TZ wakanikubali and now I am changing from one company to another, country to country within Africa, sitaki kwenda ulaya au America, huko nitakuwa mtumwa. I like my Africa.
Google makampuni then apply na usiamini au usisubiri kutafutiwa apply ukiamini utapata ila ikitokea amejitokeza mdau kukusaidia it is very fine.

Thanks.
 
Nilienda mwaka jana Hamburg Germany nilichokiona ni tofauti na miaka ile ya 90 tukienda... Wajerumani wamebadilika sana!! Sikuamini kuona mitaa walokua hawakanyagi wakuja now mnapita free tuuuu.... Mashirikiano ni makubwa mno... Sera za yule mama zimeibadili sana Germany juu ya Ubaguzi.....
Ninachowapenda wa-Jerumani ni wachapa kazi sana, uchumi wao ndio unaongoza katika Europe.
 
Nakumbuka wakati nafuatilia passport kuna afisa mmoja akaniuliza kwa dharau kwamba unataka passport ya nini!? Na unataka kwenda nchi gani!? Nikamjibu naenda kuolewa na bibi mmoja pamoja na biashara, wote ofisini wakaagua kicheko. Tanzania kuna baadhi wanafikiri kupata passport hadi wazazi wako ni mawaziri.
Hivi kwanini huwa wanapenda sana kuuliza maswali kama hayo maana hata mimi waliniuliza nikwawambia kunamchongo nimeitiwa na brother U.K kumbe lengo niwe na pasport yangu tu.
Dada mmoja akaanza kunirembulia akizani nitamuomba namba wakati mimi nilitaka pasport niende tu botswana hapo jilani na safari yenyewe November.
 
Huo ubaguzi ndiyo unakufanya uwe na malengo, cha kwanza ni sala, sali sana Mungu akusaidie, pili pata elimu yao maana huwezi kuondoka na gunia la pesa na tatu kumbuka kuboresha hali yako ya nyumbani hata ukirudi uwe na pa kuanzia.
Kabisa... Wengi wetu tukifika huko hubadilika.... Badala ya kutimiza malengo tunaishia ku copy life ya wengine... Ndipo hapo mtu huanza kuvaa nguo na perfume za majina... Mikoba na viatu vya majina... Gari kali hadi tunaishia kwenye mikopo!! But kama umeenda kwa lengo la kujiinua huku nyumbani utafanikiwa sana!! Nakumbuka nilienda kule nikiwa tayari afisa mwandamizi huku.... Huwez amini nilishi maisha ya kisela mno yaliyoniwezesha kujenga ghorofa!! Kununua mashine na fuso kadhaa!!

Ukijipanga kutafuta na ukajua umefwata nn habari zavubaguz hazitokusumbua.
 
Wazungu walifikiri kupata cheap labour kutoka iliyokuwa Eastern Block itawasaidia lakini wamegundua wale jamaa ni wezi, si waa minifu.
Hilo limekuwa tatizo kubwa sana kwa wahamiaji na hii imewafanya mpaka wananchi wenyewe kukataa wageni au wahamiaji si serikali kama ilivyokuwa zamani zamani serikali ndio ilikuwa inakataa wahamiaji wananchi wanawataka so ikawa wananchi wanawaficha na kuwakingia vifua mpaka kuwapa michongo ya kufunga ndoa za usaniii sasa hv wananchi ndio hawataki wahamiaji sasa hapo unadhani utajificha wapi usijulikane?

Ndani ya Ujerumani pekee inaitaji nguvu kazi ya 60% wanataka wafanyakazi ndio maana wakaona bora nchi za Ulaya zenyewe zibadilishane raia wakafanye kazi ndani ya nchi yeyote anayotaka ndani ya bara la ulaya lakini kwa mgeni kupata kazi sasa ni ngumu sana lakini kazi zipo sana tena nyingi sana leo Ujerumani kukubali waarabu wote wanaokimbilia Ulaya na yeye kuwapa hifadhi wale wote wanakwenda kuwa cheap labour na bado nchi inaitaji sana wafanyakazi wa kiwango cha kati na cha chini
 
Namibia na Botswana bado zina changamoto tu... Kwa Afrika ni SA tu ndo yenye unafuu!!
Kuna shost mjini hapa alifanikiwa kupata kitu kama $4,000, alaiamua kwenda Namibia kudanga, amefika kule kwenye holiday resort asikutane na engineer wa ki-Namibia. Jamaa amefika mazima kutangaza ndoa sasa hivi ametulia Namibia. Hata wa dada wa mjini ni kheri walikujue hili, ku danga si bongo tu, wengine wananyoosha masafa.
 
Hilo limekuwa tatizo kubwa sana kwa wahamiaji na hii imewafanya mpaka wananchi wenyewe kukataa wageni au wahamiaji si serikali kama ilivyokuwa zamani zamani serikali ndio ilikuwa inakataa wahamiaji wananchi wanawataka so ikawa wananchi wanawaficha na kuwakingia vifua mpaka kuwapa michongo ya kufunga ndoa za usaniii sasa hv wananchi ndio hawataki wahamiaji sasa hapo unadhani utajificha wapi usijulikane?

Ndani ya Ujerumani pekee inaitaji nguvu kazi ya 60% wanataka wafanyakazi ndio maana wakaona bora nchi za Ulaya zenyewe zibadilishane raia wakafanye kazi ndani ya nchi yeyote anayotaka ndani ya bara la ulaya lakini kwa mgeni kupata kazi sasa ni ngumu sana lakini kazi zipo sana tena nyingi sana leo Ujerumani kukubali waarabu wote wanaokimbilia Ulaya na yeye kuwapa hifadhi wale wote wanakwenda kuwa cheap labour na bado nchi inaitaji sana wafanyakazi wa kiwango cha kati na cha chini
HIV pia imetuharibia sana katika nchi za Africa, fikiria ARV zile bora zinacost mpaka £1,000-2,000 kwa mwezi alafu unazigharamia kwa mtu atakaeshi miaka 30-40 ijayo. Niger Faraghe alikataa kabisa hii kitu ya foreigners.
 
Scandinavia ni pazuri lakin kuna changamoto zake lazima ujifunze lugha yao,mie niko sweden hapa,lugha na kupata permanent residence ni mziki,kabla ya kuja unatakiwa kujipanga sana,ujue wapi unafikia ukiwa na mwenyejj mzuri unatoboa maisha kilaini saana,lkn wabongo ulaya ni shidaa sio wote lkn tuna mambo ya ajabu saana kusaindiana,lkn sometime naelewa unaweza kumsaidia mtu kumbe akili yake ni kuuza drugs end of the day anakuweka matatani ,wabongo wengj wako jela kwa hiyo kitu hapa Europe.
 
Lusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu.
Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal, Ivory Coast, Mali, Ghana, Ethiopia, .........
Nimezunguka migodi ya nchi hizi nyingi nimekutana na watanzania wengi na wanafanya kazi nzuri na wanalipwa vizuri kwa average ya USD7000 kwa mwezi ambayo ni sawa na 15M ya Tanzania.

Tukiwa na Watanzania 100 wanaliingizia pato Taifa ya USD700,000 kwa mwezi pesa za kigeni
Tukiwa na Watanania 1000 wataingiza USD 7,000,000.
Tukiwa na Watanzania 10,000 wataingiza USD 70M which is possible for now tuache woga
Kuna mtu nilimuita kuna nafasi ya kazi nilipokuwa mgodi mmoja wa Lumwana kule Zambia wakati ule yeye alikuwa anafanya kazi pale TBS akaniambia hawezi kuiacha familia wakati ule dili za mikutano zilikuwa ziko chart mala leo wako movenpick, kesho Kunduchi beach full usanii lakini nilimwambia usitumainie kazi za dili hakunisikia leo hii yuko chali.

Tulenge kufikisha maexpat 100,000 ambao wataletea Taifa fedha za kigeni 700M USD kwa mwezi ambayo ni sawa na 1.5Tillion Tanzanian shs. sidhani kama kuna zao lolote tunao export lenye kuleta hizi pesa kwa mwezi. If we have failed to export products let us export human skills/resources please. mpaka sasa nimeweza kuwaconnect watu 12 kufanya kazi hizi na wengine mpaka sasa wananizidi hata mshahara but I am proud of this, I want Tanzanian to flood Africa as expats in the mining industry, doctors, IT and accounting. Tusibaki kupigana vikumbo Vodacom, TIGO, Airtel, TRA, Bandarini, huko dili hakuna na zilikuwa siyo halali tutachukia watawala bure. Stand up and get out there.

Huku unafanya kazi week 6 site na week 2 uko home unaendeleza miradi yako na ukiwa site hutumii hata shilingi yako vitu vyote unakuwaprovided mshahara unaukuta nyumbani Tanzania kwenye A/C unakusubiri (very clean money, hakuna kutega dili).

Mimi nilipata kazi kwa ku-apply online application kwa mara ya kwanza AngloGold Ashanti na kutokana na uzoefu niliokuwa nimepata hapo TZ wakanikubali and now I am changing from one company to another, country to country within Africa, sitaki kwenda ulaya au America, huko nitakuwa mtumwa. I like my Africa.
Google makampuni then apply na usiamini au usisubiri kutafutiwa apply ukiamini utapata ila ikitokea amejitokeza mdau kukusaidia it is very fine.

Thanks.
Mkuu Ufunuo wa Yohana

Asante kwa ku share hiki nasi.... Nimeupenda huu mchango wako na taratibu uzi huu unaanza kuwa mtamu!!
Mkuu naomba uendelee ku share mengine kwaajili ya wenzsko...

Wakenya wanainuka sana coz wanainuana mnooo.... Kama usemavyo nr of kenyans nje ni kubwa na wanachangia sana pato la kwao....

Mkuu usisite kutoa ramani kwa wengine hapa.

Barikiwa!!
 
Hivi kwanini huwa wanapenda sana kuuliza maswali kama hayo maana hata mimi waliniuliza nikwawambia kunamchongo nimeitiwa na brother U.K kumbe lengo niwe na pasport yangu tu.
Dada mmoja akaanza kunirembulia akizani nitamuomba namba wakati mimi nilitaka pasport niende tu botswana hapo jilani na safari yenyewe November.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna shost mjini hapa alifanikiwa kupata kitu kama $4,000, alaiamua kwenda Namibia kudanga, amefika kule kwenye holiday resort asikutane na engineer wa ki-Namibia. Jamaa amefika mazima kutangaza ndoa sasa hivi ametulia Namibia. Hata wa dada wa mjini ni kheri walikuje hili, ku danga si bongo tu, wengine wananyoosha masafa.
Hahahah huyo aliokota pochi kwenye maandamano.
 
New Zealand...Ireland.. Pazuri..kuna Dada mmoja pale analea vizee tu..kazi YAKE ni kuwatoa nje na kuwanywesha uji tu...hapo bongo ana majumba kadhaa...yupo Ireland..pale bado watu weusi hawajapaaribu bia migrants wengi sio rahisi kufika kule...
New Zealand mbali sana mkuu... Hata kupata mchongo wa kwenda kule ni ngumu sana!!
 
Scandinavia ni pazuri lakin kuna changamoto zake lazima ujifunze lugha yao,mie niko sweden hapa,lugha na kupata permanent residence ni mziki,kabla ya kuja unatakiwa kujipanga sana,ujue wapi unafikia ukiwa na mwenyejj mzuri unatoboa maisha kilaini saana,lkn wabongo ulaya ni shidaa sio wote lkn tuna mambo ya ajabu saana kusaindiana,lkn sometime naelewa unaweza kumsaidia mtu kumbe akili yake ni kuuza drugs end of the day anakuweka matatani ,wabongo wengj wako jela kwa hiyo kitu hapa Europe.
Kati ya nchi zote za scandic Sweden ndo ana masharti mepesi ya uhamiaji... Denmark amekaza kiaina....

Wengi huanzia hapo kisha address anahamishia Denmark...
 
New Zealand...Ireland.. Pazuri..kuna Dada mmoja pale analea vizee tu..kazi YAKE ni kuwatoa nje na kuwanywesha uji tu...hapo bongo ana majumba kadhaa...yupo Ireland..pale bado watu weusi hawajapaaribu bia migrants wengi sio rahisi kufika kule...
Niunganishe anipe namna ya kutia maguu huko
 
Back
Top Bottom