Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Si lazima ukasome.... Unaweza kwenda tafuta maisha mkuu.
NDIO NATAFUTA jinsi gani niondoke huku bado tunapambana, ma agents bongo hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si lazima ukasome.... Unaweza kwenda tafuta maisha mkuu.
Kaka mi nahitaji passport nisaidie mchakato wake ukoje.nisaidieUsingechoma mkuu.... Ungetafuta msaada zaidi... Kama bado unahotaji passport naweza kukusaidia ukaipata.
Asante nawasanganye maana mi nataka niimilik tuu muda wowote najilipua..na sijui gharama zakeNenda ofisi za uhamiaji zilizo karibu nawe utasaidiwa ndugu.
Mkuu tenga fungu lako kama unahitaji haraka. Then uende pale uhamiaji Dar....ndani ya siku 4 au 5 unaipata.Kaka mi nahitaji passport nisaidie mchakato wake ukoje.nisaidie
Mkuu fungu kiasi gani..Mkuu tenga fungu lako kama unahitaji haraka. Then uende pale uhamiaji Dar....ndani ya siku 4 au 5 unaipata.
Wakuu ..Nchi za Nordic ndio zp hizo.samahan kama swali litawakwazaMkuu hata nchi za Nordic English sio ishu kama utaingia kwa mlango wao.
Kwa bongo sasa hivi pass zinazingua saana kupata ni mpaka uwe na safari ya uhakika na uwe na vithibitisho.Mkuu fungu kiasi gani..
Poa asante..mkuuKwa bongo sasa hivi pass zinazingua saana kupata ni mpaka uwe na safari ya uhakika na uwe na vithibitisho.
Ila unaweza tumia njia za nyuma kuipata japo siyo nzuri ila kuna muda inabidi tuzitumie.
Tenga kilo 150 ila kiuhalali ni 50 tu kuna watu wanafanya hii nenda na viambatanisho vyako vyote ndani ya wiki una pass yako Mkononi.
Ukihitaji nicheki nikudirect..Poa asante..mkuu
Mm toka mwezi wa 10 mwaka jana natafuta mtu wa kunisaidia kuweza kusoma South Afrika hawajitokezi tena nisaidiwe kuelekezwa tuuu sio kusomeshwaaa lakini kimyaaaaaa.....Japo mtu aniambie andaa bajeti kiasi fulani kwa mwaka lakini kimyaaani mara yangu ya kwanza kuona mtanzania anatoa njia kwa wenzake kwenda nje...watanzania wengi n wabnafs wakishafankiwa wao hawatak wenzao wafankiwe
The Julius Nyerere Masters Scholarships | The University of EdinburghMie nina ndoto ya kwenda UK kimasomo, then najilipua to Scandinavia country.
Bongo mufilis. Bongo nyoso.
-Kaveli-
Daah mkuu umenikumbusha mbali na huu mji... Binafsi niliupenda mno pamoja na Malmo....
Mkuu ngoja nikipata time nitakuja na ramani yote ya vita kazi itabaki kwenu wenyewenilianza purukushani za kwenda USA, UNIVERSITY OF WASHINGTON, nilimeet criteria zote hadi bank statement (ya kukodi) tayari nilikua nayo mkononi walitaka NATIONAL ID kama huna pass,nikawapa, ishu ikaja mitihani yao ya kiingereza hicho tu kikanikwamisha
mitihani miwili TOEFL na GRE hapo inakutoka 1.3M nakufeli kupo kwenye hiyo mitihani nikatulia.
saivi sitaki kusikia kitu kwenda kusoma, elimu nimeiweka kapuni niikitegemea kunitajirisha NITAUMIA. mnaotaka scholarships mjue kuna mitihani ya kiingereza uwe nanyo kwanza tena upate 6.5 out of 9
nasaka kwenda nje kama mtu asie na elimu, kama itatumika, itatumika nje nikifika
Nilichagua nchi ya Luxermburg, ila Malta naona inanivutia sababu ya kiingereza najua nikifanikiwa 6months inatosha kujua lugha tu competent level
mkuu IZZO kama unajua agents niunge nae
Tomb huyu jamaa akileta ramani uniite.nilianza purukushani za kwenda USA, UNIVERSITY OF WASHINGTON, nilimeet criteria zote hadi bank statement (ya kukodi) tayari nilikua nayo mkononi walitaka NATIONAL ID kama huna pass,nikawapa, ishu ikaja mitihani yao ya kiingereza hicho tu kikanikwamisha
mitihani miwili TOEFL na GRE hapo inakutoka 1.3M nakufeli kupo kwenye hiyo mitihani nikatulia.
saivi sitaki kusikia kitu kwenda kusoma, elimu nimeiweka kapuni niikitegemea kunitajirisha NITAUMIA. mnaotaka scholarships mjue kuna mitihani ya kiingereza uwe nanyo kwanza tena upate 6.5 out of 9
nasaka kwenda nje kama mtu asie na elimu, kama itatumika, itatumika nje nikifika
Nilichagua nchi ya Luxermburg, ila Malta naona inanivutia sababu ya kiingereza najua nikifanikiwa 6months inatosha kujua lugha tu competent level
mkuu IZZO kama unajua agents niunge nae
Mkuu ngoja nikipata time nitakuja na ramani yote ya vita kazi itabaki kwenu wenyewe
Sana, ktk miji ya Sweden niliupenda mno Malmo...Malmo safi sana.
Mimi nilifika wakati pasi zetu tulikuwa tunapewa viza miezi mitatu uwanjani, na ukiingia nchi moja ya Nordic, unaruhusiwa zote.
Nikajikuta juu huko Lapland mpaka Trondheim, Norway na Kuopio, Finland.
Good memories.
Hao hao watanzania ukiwasaidia wanakuwa Nyoka tu...ni mara yangu ya kwanza kuona mtanzania anatoa njia kwa wenzake kwenda nje...watanzania wengi n wabnafs wakishafankiwa wao hawatak wenzao wafankiwe