Mrike
Senior Member
- Dec 10, 2015
- 102
- 144
Mkuu Izzo, Mimi niko tayari kuwapokea na kukaa nao. Na kuwakabidhi kwa watu salama kabisa chini ya uangalizi wangu pia.Dah wadau naona thread imepoa au watu mmeshasafiri nini????????????
I have good newz for you nimewasiliana na zile taasisi nilizo sema kwenye project number 2
So mwezi wa 5 Tanganyika mnaweza pata ugeni wa vijana wa 5 kutoka nchi pendwa ya Malta wa tatu wadada na wawili ni wakaka sasa kuhusu kuhost natafuta mtu mwaminifu wa kumuunganisha nao wakija yeye ndio awapokee na kuwatafutia host kama itawezekana
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike