Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Dah wadau naona thread imepoa au watu mmeshasafiri nini????????????

I have good newz for you nimewasiliana na zile taasisi nilizo sema kwenye project number 2

So mwezi wa 5 Tanganyika mnaweza pata ugeni wa vijana wa 5 kutoka nchi pendwa ya Malta wa tatu wadada na wawili ni wakaka sasa kuhusu kuhost natafuta mtu mwaminifu wa kumuunganisha nao wakija yeye ndio awapokee na kuwatafutia host kama itawezekana

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Mkuu Izzo, Mimi niko tayari kuwapokea na kukaa nao. Na kuwakabidhi kwa watu salama kabisa chini ya uangalizi wangu pia.
 
Mkuu izzo uko sawia sana hapa ni mkakati maalum wa namna ya kutoka kupitia option no2. Na hicho ndio kipaumbele chetu kwa sasa (sio uselfish kweli huu🙁)
Daby waweza kutana na mrembo wa Malta ukasahau habari za scandnavia ujue...
Mkuu niliona umeandika unatafuta Scholarship je umepata ? kama bado unataka ya nchi gani? na kiwango gani cha elimu unataka kusomea?
 
Hahahahaaahaaa mkuu ww hutaki mchumba bali unataka njia na njia ni kuhost then unatengeneza connection

Kwa nini unadhani nimesema ww uhitaji mchumba ww unataka njia ww nia yako ni kufika Denmark na Sweden so siwezi kukutafutia mtoto wa kimalta akainvest mapenzi na rasilimali zake kwako kumbe ww una akili zako za kwenda kwingine ukaja kuzingua wazungu wana true love si huko mna fake love so unapomfanyia uhuni unamweka ktk wakati mgumu kihisia tena kwa kipindi kirefu
Mkuu mimi nipo hapa nitachukua nafasi yake.
 
pia watakao taka shotcut wasisahau kupita kigoma ili achukue makaratasi ya UNHCR ukiwa nayo unakua safe zaidi yani unakua international protected kama mkimbizi wa congo au burundi
Mkuu hiyo imekaaje yale makaratasi nayapaje kwa maana naona kama hiyo nayo ni idea nzuri sana.
Nifanyie mchakato niyapate...wewe ulipataje?
 
mkuu Izzo mimi ni verified host ninatumia Airbnb kupokea wageni.nina nyumba ya vyumba vitano na usafiri wa uhakika.naomba unifikirie

izzo, kindly put this lady into consideration kuhusu HOSTING, coz anasema ni verified one in that regard, na usafiri anao. So nayeye atakuwa anapasisha wageni wawili watatu kwa wadau wengine baada ya kufanya ukaguzi physically wa eneo husika.

Mie binafsi kwenye hii host project najitoa kwenye kinyang'anyiro, maana daaah sie wengine still tumepanga geto za uswazini sana, geto zenyewe zinavuja na mvua ndo zinaanza... majanga plus! Lol.

Madam Caro Lynah... zangu dua uipate hii fursa. Mie nitaleta kwako aplikesheni letta ya udereva tu niwasomeshe mitaa ya jiji hao 'watasha'.

-Kaveli-
 
Mkuu niliona umeandika unatafuta Scholarship je umepata ? kama bado unataka ya nchi gani? na kiwango gani cha elimu unataka kusomea?
izzo asante kwa kuuliza, bado sijapata ndio kwanza niko kwenye mchakato wa kutafuta kwa kiwango cha uzamili. Ukweli sina nchi specific kuwa ni lengo mahususi natafuta tu kwa ujumla ni kule patakapotiki. Ila napenda Japan, south korea na nchi za scandnavia. Lakini huu uzi umeniongezea wigo wa nchi nyingi zaidi ambazo sikuzifikiria hapo kabla.
 
Na mchumba awe mchumba kweli siyo mkuu izzo alete sampo za ajabu ili hata kwenye ukoo wangu nitengeneze rekodi...
Au mkuu unaniambiaje?
Haha...ila shida ni mbaya saana mkuu. Unaweza pewa mtoto wa watu ukawa na mahisia naye kisa shida za kupata kibali cha kuishi.

Baada ya kukipata ukapanda jeuri kubwa. It's bad sometimes kumwangusha mtu aliyekusaidia kwenye shida
 
izzo asante kwa kuuliza, bado sijapata ndio kwanza niko kwenye mchakato wa kutafuta kwa kiwango cha uzamili. Ukweli sina nchi specific kuwa ni lengo mahususi natafuta tu kwa ujumla ni kule patakapotiki. Ila napenda Japan, south korea na nchi za scandnavia. Lakini huu uzi umeniongezea wigo wa nchi nyingi zaidi ambazo sikuzifikiria hapo kabla.
Japan zipo za PhD South korea mpaka nicheki na wadau

Scandnavia Zipo za Denmark
Norway
Sweden

America zipo za Canada na US

Kiwango cha elimu kusomea ni Masters na PhD

Sharti ufanye mtihani wa kingereza score ni kuanzia 70%

Ni full Scholarship kuanzia nauli ya kwenda na kurudi kwenu kwa mwaka mara mbili maradhi na pocket money kila mwezi
 
Hahahahaaahaaa mkuu ww hutaki mchumba bali unataka njia na njia ni kuhost then unatengeneza connection

Kwa nini unadhani nimesema ww uhitaji mchumba ww unataka njia ww nia yako ni kufika Denmark na Sweden so siwezi kukutafutia mtoto wa kimalta akainvest mapenzi na rasilimali zake kwako kumbe ww una akili zako za kwenda kwingine ukaja kuzingua wazungu wana true love si huko mna fake love so unapomfanyia uhuni unamweka ktk wakati mgumu kihisia tena kwa kipindi kirefu
Mkuu Izzo mimi niunganishe na mrembo wa kutoka malta hakika sitokuangusha
 
pia watakao taka shotcut wasisahau kupita kigoma ili achukue makaratasi ya UNHCR ukiwa nayo unakua safe zaidi yani unakua international protected kama mkimbizi wa congo au burundi
sijakuelewa mkuu... unaweza ielezea vizuri hii...
 
Haha...ila shida ni mbaya saana mkuu. Unaweza pewa mtoto wa watu ukawa na mahisia naye kisa shida za kupata kibali cha kuishi.

Baada ya kukipata ukapanda jeuri kubwa. It's bad sometimes kumwangusha mtu aliyekusaidia kwenye shida
Nakuapia mkuu siwezi kumtenda mtoto wa kizungu nahakikisha nitatunza penzi lake..
 
Mkuu vipi Bahamas maisha yakoje pale? Je kazi zinapatikana kwa urahisi?
 
sasa izzo una zani atakuwa na jicho baya katika kuchagua wakati ana leta vitu vizuri watu tuna kubari... usiwe muoga bro... alafu nimechek pesa yao ukija iweka naya tz... unakuwa MO ghafla... hivi vinchi vidogo vidogo vina pesa kali sana...
Dr naona unachangamkia fursa.

Mkuu inabidi ujipange kwenye hili suala la kuletewa mchumba unaweza haribu au kutengeneza maisha yako usipokuwa makini
 
Japan zipo za PhD South korea mpaka nicheki na wadau

Scandnavia Zipo za Denmark
Norway
Sweden

America zipo za Canada na US

Kiwango cha elimu kusomea ni Masters na PhD

Sharti ufanye mtihani wa kingereza score ni kuanzia 70%

Ni full Scholarship kuanzia nauli ya kwenda na kurudi kwenu kwa mwaka mara mbili maradhi na pocket money kila mwezi
Asante mkuu hapo scandnavia pananifaa sana ngoja nikaze huku nikisindikiza na maombi iko siku itawezekana. Baraka tele kwako
 
izzo asante kwa kuuliza, bado sijapata ndio kwanza niko kwenye mchakato wa kutafuta kwa kiwango cha uzamili. Ukweli sina nchi specific kuwa ni lengo mahususi natafuta tu kwa ujumla ni kule patakapotiki. Ila napenda Japan, south korea na nchi za scandnavia. Lakini huu uzi umeniongezea wigo wa nchi nyingi zaidi ambazo sikuzifikiria hapo kabla.

Utapata tu madam Prishaz, naonaga scholarship avenues for such edu level zipo nyingi sana. Utaipata tu... just maximize on desk research, and keep browsing.

Mie nimezisaka sana scholarships for undergraduate level, ila dooh mpaka nimesurrender, eventually nimeamua tu nianze kulima mchicha. Lakini nina ndoto kubwa ya kwenda 'mbele' kubukua... one day in future if things unfold.

-Kaveli-
 
Utapata tu madam Prishaz, naonaga scholarship avenues for such edu level zipo nyingi sana. Utaipata tu... just maximize on desk research, and keep browsing.

Mie nimezisaka sana scholarships for undergraduate level, ila dooh mpaka nimesurrender, eventually nimeamua tu nianze kulima mchicha.

-Kaveli-
Asante kwa kunitia moyo Kaveli, hata mimi ni mkulima mwenzio lakini nakutia moyo usikubali kusurrender tafuta hicho unachokihitaji mpaka kionekane. Kama siyo leo utapata kesho...kila la kheri.
 
Dah wadau naona thread imepoa au watu mmeshasafiri nini????????????

I have good newz for you nimewasiliana na zile taasisi nilizo sema kwenye project number 2

So mwezi wa 5 Tanganyika mnaweza pata ugeni wa vijana wa 5 kutoka nchi pendwa ya Malta wa tatu wadada na wawili ni wakaka sasa kuhusu kuhost natafuta mtu mwaminifu wa kumuunganisha nao wakija yeye ndio awapokee na kuwatafutia host kama itawezekana

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike

Mkuu, tupo tunaendelea kujifunza, tunawakaribisha.

Kaka ...
 
Back
Top Bottom