SAUL BERENSON
Senior Member
- Jan 31, 2017
- 150
- 154
bado mnaendeleoa kupeana info?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja na sisi tuje huko tutayavumilia hayo magumu kama wewe unavyoumiliaMuda wake utapita tu, vumilieni
ngoja nikuanze mimiSegito najaribu kukutumia pm zinagoma
Hiyo inawezekana hasa kwa wasio na Elimu ila kwa sisi tuliosoma ni waoga mnoo wakuthubutu na kuwaza risk kibao.......pia tunapenda sana kupita legal ways ambazo kikawaida ndizo huchelewesha safariHuyu jamaa apewe nishani...Dar -Nairobi -Kampala -Juba-Khatourm-Port Al saed -Syria -Turkey hadi Denmark si mchezo.
Mimi nipo Tanzania,sema nilishawahi kuishi nje kidogo,niliona wanavyohangaika wageni ila ukipata makaratasi mambo yanakuwa mazuri.Ngoja na sisi tuje huko tutayavumilia hayo magumu kama wewe unavyoumilia
Mkuu tuko page ya 153.bado mnaendeleoa kupeana info?
Kama uko tz na ulikuwa nje na ukashindwa maisha ni wewe. Kila mmoja ameandikiwa njia yake na sehemu yakubarikiwa na kufanikiwa. Kukata tamaa hakutakiwi.Mimi nipo Tanzania,sema nilishawahi kuishi nje kidogo,niliona wanavyohangaika wageni ila ukipata makaratasi mambo yanakuwa mazuri.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.Kama uko tz na ulikuwa nje na ukashindwa maisha ni wewe. Kila mmoja ameandikiwa njia yake na sehemu yakubarikiwa na kufanikiwa. Kukata tamaa hakutakiwi.
Mkuu Izzo nahitaji scholarship za Masters, Paper ya kiingereza sio issue sana ntakomaa nachoJapan zipo za PhD South korea mpaka nicheki na wadau
Scandnavia Zipo za Denmark
Norway
Sweden
America zipo za Canada na US
Kiwango cha elimu kusomea ni Masters na PhD
Sharti ufanye mtihani wa kingereza score ni kuanzia 70%
Ni full Scholarship kuanzia nauli ya kwenda na kurudi kwenu kwa mwaka mara mbili maradhi na pocket money kila mwezi
Mkuu kama huna mpango wa kusepa TZ nenda MMU tuachie uzi watu.![]()
Nyuzi kama hizi ni sawa na kuwafundisha Waafrika kuwa Watumwa bila minyororo.
Mnatukumbusha kauli za Kamuzu Banda na Mabutu Seseseko, leo hii Malawi ndio imetoa wafanyakazi wa nyumbani wa kiume (foreign male domestic workers) kuliko nchi nyingine Afrika.
DRC ni katika nchi tajiri Afrika hii lakini waangalie Wakongo wengi walipo, zaidi ya wanaume kukata viuno jukwaani, kuimba na kujichubua. Leo Wakongo sio watu wakula mbwa na nyani.
Hii Tanzania yetu, unaweza kutimiza ndoto yako, hata kuanzia mchimba mkaa mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa. Why not? Right here in Tanzania
Tunawapeleka watu wetu kwenda kuosha vyombo, choo na vinyeshi huko barani Ulaya wakati ardhi zetu zina rutuba ya kukutosha na tunaweza kuishi na kuendesha maisha yetu kupitia kilimo?
Tunayajua hayo yote lakini tunahitaji kizazi ambacho kitakachojilipua hapa hapa barani Afrika, kijitoe muhanga na sadaka kwa ajili ya kizazi kipya yaani tutumie muda wetu wote kufanya mapinduzi ya kiuchumi hapa hapa Afrika kama vile wazee wetu walitumia muda wao wote kutukomboa kwenye minyororo ya Wakoloni.
Wakoloni, waliishi vipi na kufanikisha maisha yao hapa Afrika?
Mapinduzi ya Kiuchumi yanahitajika. Hatuondoki Afrika.
Mwache aendelea kukaa bongo wakati watoto wa viongozi wanaishi London. Watuache tukale bata CopenhagenEti mtu anasema haondoki africa anahisi akijifungia africa ndio atapata maendeleo. Haya muulize tangu huo uhuru wa bendera wa africa kuna kiwanda cha smartphone? Anavaa majani ya mpapai au jeans from usa? Anakula kwa vijiko vya china au anatumia visu vya tameco?
Anaendesha gari ya nyumbu au toyota ya mjapan? Anapanda bajaji za muhindi au baiskeli za miti za wasukuma? Hata pedi tunaagiza kutoka nje utasema kwenda alaya ni ukoloni si yaleyale tu
Vipi kuhusu za postgraduate mkuuJapan zipo za PhD South korea mpaka nicheki na wadau
Scandnavia Zipo za Denmark
Norway
Sweden
America zipo za Canada na US
Kiwango cha elimu kusomea ni Masters na PhD
Sharti ufanye mtihani wa kingereza score ni kuanzia 70%
Ni full Scholarship kuanzia nauli ya kwenda na kurudi kwenu kwa mwaka mara mbili maradhi na pocket money kila mwezi
Umemaliza yote.Mwache aendelea kukaa bongo wakati watoto wa viongozi wanaishi London. Watuache tukale bata Copenhagen
Wewe ni zaidi ya mpumbavuu.![]()
Nyuzi kama hizi ni sawa na kuwafundisha Waafrika kuwa Watumwa bila minyororo.
Mnatukumbusha kauli za Kamuzu Banda na Mabutu Seseseko, leo hii Malawi ndio imetoa wafanyakazi wa nyumbani wa kiume (foreign male domestic workers) kuliko nchi nyingine Afrika.
DRC ni katika nchi tajiri Afrika hii lakini waangalie Wakongo wengi walipo, zaidi ya wanaume kukata viuno jukwaani, kuimba na kujichubua. Leo Wakongo sio watu wakula mbwa na nyani.
Hii Tanzania yetu, unaweza kutimiza ndoto yako, hata kuanzia mchimba mkaa mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa. Why not? Right here in Tanzania
Tunawapeleka watu wetu kwenda kuosha vyombo, choo na vinyeshi huko barani Ulaya wakati ardhi zetu zina rutuba ya kukutosha na tunaweza kuishi na kuendesha maisha yetu kupitia kilimo?
Tunayajua hayo yote lakini tunahitaji kizazi ambacho kitakachojilipua hapa hapa barani Afrika, kijitoe muhanga na sadaka kwa ajili ya kizazi kipya yaani tutumie muda wetu wote kufanya mapinduzi ya kiuchumi hapa hapa Afrika kama vile wazee wetu walitumia muda wao wote kutukomboa kwenye minyororo ya Wakoloni.
Wakoloni, waliishi vipi na kufanikisha maisha yao hapa Afrika?
Mapinduzi ya Kiuchumi yanahitajika. Hatuondoki Afrika.
Among other factors, nadhani baadhi ni:
- Uoga wa maisha. We are extremely fearful of life. We can't take risk ktk utafutaji, tunasahau kwamba there's nothing risk-free in life struggle.
-Lack of international exposure kwa wazazi wetu. Most of us tumezaliwa na kukulia kwenye families ambazo hazikuwa 'global goers'. As such, na sisi tunaishia in the same circle... mtu anapanda Ngorika all the way from sitimbi to Darisalamu, then hiyo ndo maximum exposure ya ndoto zake... kutia maguu Daresalamu.
-language barrier. Hili liko wazi. Wabongo wengi 'kutema yai' ni shuhuli nzito. English is amongst of international languages that highly connect the world. Sisi tumekomaa na kiswahili, lugha ambayo bado haijatoboa kimataifa even at regional level. So ni ngumu sana kujichanganya kwenye international avenues za kutafuta maisha. Mfano tu, jaribu kupitia international forums kwenye social media, wabongo hawasogezi pua huko, utawakuta wachache sana.
Mfano mwingine, mtu ni Masters holder lakini spoken English ni zero! Hawezi kutema 'yai'. Mtu huyu anaogopa na hawezi kuapply kazi at International entities like NGOs, UN Agencies, etc. Human personnel from East africa to UN Agencies... Kenya na Uganda make the majority. Intl languages competence bado ni shida kubwa kwa watanzania.
-Poor education. Wabongo wengi tunaenda class kukaririshwa vitu, na sio kueleweshwa materials. Hivyo inakuwa ngumu sana kupenya abroad under 'professional job' umbrella.
Kuna mtu namfahamu kabisa personally ... kahitimu Bachelor Degree mwaka jana. Cha kushangaza sasa... hajuwi jinsi ya kufungua/kuandika email na kuweka attachment. Hawezi kabisa! So mtanzania kama huyu, anaweza ku-compete kwenye international professional jobs/opportunities?
Nadhani hizo ni miongoni mwa factors zinazosababisha wabongo tusiwe courageous wala aggressive kufukuzia international money.
Wacha tuendelee kulima mchicha ili kupata hela ya dona na rent ya chumba uswazini. Ila ukipata viza, then pasua anga. Bongo hakuna mwanga. Waya mkali mbuzi analamba reli.
Baby don't cry, keep ya head up until the end of time. Life goz'on.
-Kaveli-
Asante kwa taarifa mkuu...Jamani Ndg Watanzania Japan imetoa schoralship kwa Watanzania nafasi 5 kusoma vyuo huko
Kwa watakaosoma degree Ya kwanza wawe wamezaliwa mwaka 1996 hadi 2001 mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 26/05/2017
Ni kwa ajili Ya muhula WA masomo 2018/2019
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti Ya ubalozi wa japani
Ukipata Habari hii hata jirani yako amuombee mwanaye hata Kama wewe umri umekutupa Mkono toa usiwe na roho Ya nongwa..
Asante..!!
Mkuu ww upo Gaborone au umeishi huko?