Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

jamani watanzania shambulieni nafasi za masomo nchi ya Mauritius kila mwaka huwa wanatoa kwa nchi zote za Afrika, hii haina masharti mengi siyo lazima uwe umefuzu mtihani wa lugha, ni uhakika hii kupata
unachotakiwa kufanya nikuomba nafasi katika chuo chochote cha serikali cha nchi hiyo ya Mauritius, ukipata acknolgment letter kutoka chuo husika kuna fomu utaipeleka wizara ya mambo ya nje utaonana na mkurugunzi msaidizi wa mambo ya nje anaitwa Ms Mwakiwago anakusainia na kukupitisha hapo then yeye atatuma huko kwenye nchi husika haina complicated inshi nyingi sana.
Mwisho wa maombi ni tarehe 31 mwezi huu
mara nyingi hizi nafasi kwa Tanzania huwa zinarudi bila watu kuomba tafafadhali changamkia hii nafasi
Mshirikishe hata jirani yako aombe iyo lazima uwe wewe, nimesikia malalamiko eti humu kuna roho za korosho
http://ministry-education.govmu.org...Documents/tertiary/2017/Application Form .pdf
google Mauritius scholarship 2017 utaziona na vyuo vya serikali vipo ni vinne tu
Utakuwa unalipiwa garama za chuo ambzo ni takiribani sh MUR 100,000 ambazo ni sawasawa na Tzs milioni sita na nusu na ushee,
na pesa ya matumizi kila mwezi MUR 8,300 sawasawa na LAki 5 na ushee
ni kiinchi kidogo lakini uchumi wake ni mkubwa sana kipo kisiwani

Nauli utajilipia ya kwenda daraja la Economy ukifika huko utaonyesha ticketi yako na kurudishiwa pesa yote uliyotumia kwa nauli

PM HAZIRUHUSIWI
Ziko fresh sana nimezicheki mkuu.. Ila ni kwa undergraduate!
 
Kwa hyo ukipata admission form cha chuo, ndio utaijaza uipeleke pale wizarani au pamoja na Ile fomu ya schorship una ambatanisha.
 
Baada Ya kupata admission
Unajaza hiyo fomu Ya schoralship unapeleka Wizarani pamoja na admission letter ukiwa pamoja na certified copy ya vyeti vyako kikiwamo na cha kuzaliwa...!!
 
Mauritius..!?
 
Mkuu...
Nataka nijaribu bahati yangu kwenye zile scholarship zinazotolewa na JAPAN...
Niko hapa UDSM nachukua bachelor ya uchumi..!
Swali langu,kwenye education background nijaze na UDSM..?
Pia issue ya recommendation letter,ni nani anaweza kuniandikia hii..!?
Je,niko sahihi kuomba scholarship hizi wakati huo huo niko UDSM..?
NAOMBA KUTOLEWA UJINGA KATIKA MASWALI HAYA
Cc
izzo
lusungo
Tokyo40
Lizarazu
mgogoone
 
Mkuu mwenyewe nataka nianze kufanya japo kwa dogo. Wewe unajifanyia je umezaliwa kuanzia 1996?

Ok hiyo recomme.. andikiwa na mkuu wa shule/academic master wa shule uliyomaliza advance au diploma itakuwa nzuri zaidi.

Background : kwani umemaliza! maana tunajaza background kwa uthibitisho wa cheti ulichonacho. Kama unacheti cha kuthibitisha background jaz.
 
Mashimba Son samahani ninaswali.
Katika kupitia hii form ya scholarship za Japan nimekutana na issue ya TOEFL na IELTS na katika maelezo yao naona lugha ya kufundishia ni Japan na hakuna sehemu waliyosema lazima uwe na hizo mambo. Je kwa ufahamu wako kwa mtu ambaye hajafanya hii mitihani ata qualify kuendelea kuapply. Au nikiacha wazi haina neno.
 
Mazakafaaaa...!
😀 😀 😀 😀
Kaka Daby nilikua sijaona hapo kwenye age requirement..!
Ila hayo maswali ni vyema yakajibiwa,ili yawasaidie wengine..!
 
Mashimba Son samahani ninaswali.
Katika kupitia hii form ya scholarship za Japan nimekutana na issue ya TOEFL na IELTS na katika maelezo yao naona lugha ya kufundishia ni Japan na hakuna sehemu waliyosema lazima uwe na hizo mambo. Je kwa ufahamu wako kwa mtu ambaye hajafanya hii mitihani ata qualify kuendelea kuapply. Au nikiacha wazi haina neno.
Anaqualify kuomba kaka...
Ila atakapoenda Japan atasoma LUGHA mwaka mzima..!
 
Mkuu...
Nataka nijaribu bahati yangu kwenye zile scholarship zinazotolewa na JAPAN...
Niko hapa UDSM nachukua bachelor ya uchumi..!
Swali langu,kwenye education background nijaze na UDSM..?
Pia issue ya recommendation letter,ni nani anaweza kuniandikia hii..!?
Je,niko sahihi kuomba scholarship hizi wakati huo huo niko UDSM..?
NAOMBA KUTOLEWA UJINGA KATIKA MASWALI HAYA
Cc
izzo
lusungo
Tokyo40
Lizarazu
mgogoone
unamaliza lini maana unatakiwa kuanza masomo japan mwezi wa nne, kama unamaliza kabla ya mda huo jaza
 
DABY lugha siyo kigezo jaza hayo mengine maana masomo yatafundishwa kwa kijapani
halafu kingine pale ulipoikuta fomu ya undergraduate kuna link za makosa amayo watu hufanya wakiomba pia naomba uyapitie mfano tu fomu haitakiwi ijazwe na mkono n.k
Yes nimeiona aseeh..

Ngoja nijaribu kujaza kwa umakini kabisa. Asante.
 
Back
Top Bottom