Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
asante...sijui unaweza kuzielezea kidogo ni kitu gani hasa kizuri..mf hazivimbi, kashata nk
Daah....tutaifikia kweli ile nchi ya viwanda kwa uwepo wa watu kama wewe...???Huna muda mrwfu ukiwa na gari rudi kwa eliyekupatia. Anyway tumejua una gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko vizuri kila idara hasa kashata zake pia hazipasuki kirahisiasante...sijui unaweza kuzielezea kidogo ni kitu gani hasa kizuri..mf hazivimbi, kashata nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu na zeetex za Indonesia ni laki na sitiniasante...sijui unaweza kuzielezea kidogo ni kitu gani hasa kizuri..mf hazivimbi, kashata nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah....tutaifikia kweli ile nchi ya viwanda kwa uwepo wa watu kama wewe...???
Anyway. asanye kwa kuongeza coments
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko na problemee mingi kwa kichwaSawa . Njoo na uzi mwingine ukitaka kufanya service. Huu ndio muelekeo wa uchumi wa kati 2025. Uko ktk right track
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe Made in USAHapo goodride inafunika zote ila baba lao zooote nchi nzima nunua BF GOODRICH ukatembeze gari dunia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kanishauri Dunlop za South Afeica pia zipo poa kwa safari za kawaida na hazivimbi.. na pia zinaweza kuendana na bajeti niliyonayo..ushauri kwa aliyewahi kuzitumia?
Hizo ni tairi za kukusukuma siku mbili tatu town trips. Tairi za masafa Firrestone, BF goodrickKuna mtu kanishauri Dunlop za South Afeica pia zipo poa kwa safari za kawaida na hazivimbi.. na pia zinaweza kuendana na bajeti niliyonayo..ushauri kwa aliyewahi kuzitumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok coz gari yenywe muda mwingi ni town trip na kazini...safari ya mbali ni Arusha to Dar kwa mwaka mara mojaHizo ni tairi za kukusukuma siku mbili tatu town trips. Tairi za masafa Firrestone, BF goodrick
Sent using Jamii Forums mobile app