Ushauri: Matairi ya gari

Ushauri: Matairi ya gari

185/70/R14 Hazijaandika
195/70/R14 Hazijaandikwa
195/65/R15 Hazijaandikwa
205/65/R15 Hazijaandikwa
205/55/R16 Hazijaandikwa
215/60/R16 Hazijaandikwa
Hizi zote ni Dunlop chini ya Sumitomo rubber south africa
Thou nimetumia hiyo ya 195/65/15 nimepiga nayo trip kadhaa Dar Ars ni tairi nzuri mno. Mnooo
 
Jaribu pale Manjis kwa wale wahindi..wana tairi aina nyingi sana.

Mkuu Boeing 747 , nahitaji kununua tyre at Manjis, na zinifikie Kahama by Bus. Ila Manjis naona wana poor customer care, hawawezi kunitumia.

Una mdau yeyote maeneo hayo ya Manjis, hasa mtu wa bodaboda nikamlipa akazichukua tyre na kuzipeleka Stand ya mabus Arusha akazituma to Kahama? I would highly appreciate that.
 
Sina kijana wa boda niliyemzoea kwa kazi kama hiyo

Kwa sababu I am almost around the city, I can do a favour for you.

Cha msingi kama.kuna basi specific ambalo ungependa kusafirishia, waweza kuniunganisha naye nikakusaidia kuzipakia.
 
Thanks in advance Mkuu. Nakuja pm for further touches and arrangements.
 
Mwenye uzoefu na Tyres
Nimeona reviews za tairi za kichina zinazoitwa Kapsen ni nzuri kuliko Goodride. Goodride imelalamikiwa na watumiaji
Mwenye kuzijua please
 
Natafuta Michelin size 225/55R17 nishatafuta sana Dar sipati nani anazo
 
Mwenye uzoefu na Tyres
Nimeona reviews za tairi za kichina zinazoitwa Kapsen ni nzuri kuliko Goodride. Goodride imelalamikiwa na watumiaji
Mwenye kuzijua please
Kwenye tyre za kichina, goodride inashika no 1 kwa ubora
 
Back
Top Bottom