Thou nimetumia hiyo ya 195/65/15 nimepiga nayo trip kadhaa Dar Ars ni tairi nzuri mno. Mnooo185/70/R14 Hazijaandika
195/70/R14 Hazijaandikwa
195/65/R15 Hazijaandikwa
205/65/R15 Hazijaandikwa
205/55/R16 Hazijaandikwa
215/60/R16 Hazijaandikwa
Hizi zote ni Dunlop chini ya Sumitomo rubber south africa
Jaribu pale Manjis kwa wale wahindi..wana tairi aina nyingi sana.
Karibu sana mkuu...Mkuu, nikushukuru.
Nimewasiliana na hao Manjis Arusha. Wanazo tyre ninazohitaji: GOODYEAR 'Efficient Grip' 185/65/15 made in South Africa.
Thanks mkuu
Sina kijana wa boda niliyemzoea kwa kazi kama hiyoMkuu Boeing 747 , nahitaji kununua tyre at Manjis, na zinifikie Kahama by Bus. Ila Manjis naona wana poor customer care, hawawezi kunitumia.
Una mdau yeyote maeneo hayo ya Manjis, hasa mtu wa bodaboda nikamlipa akazichukua tyre na kuzipeleka Stand ya mabus Arusha akazituma to Kahama? I would highly appreciate that.
Sina kijana wa boda niliyemzoea kwa kazi kama hiyo
Kwa sababu I am almost around the city, I can do a favour for you.
Cha msingi kama.kuna basi specific ambalo ungependa kusafirishia, waweza kuniunganisha naye nikakusaidia kuzipakia.
Karibu SanaThanks in advance Mkuu. Nakuja pm for further touches and arrangements.
Huna muda mrwfu ukiwa na gari rudi kwa eliyekupatia. Anyway tumejua una gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea "si" mi farasiWewe ni fallah
[emoji23][emoji23]Tanzania rahaOngezea "si" mi farasi
Vuta subira...watakuja tuMwenye uzoefu na Tyres
Nimeona reviews za tairi za kichina zinazoitwa Kapsen ni nzuri kuliko Goodride. Goodride imelalamikiwa na watumiaji
Mwenye kuzijua please
225/70r16 dunlop unauzaje?Aisee!! Kweli Dunlop ya Sumitomo hawaandiki hivyo vituView attachment 1743877View attachment 1743876
Michelin zinapatikana ila sio za miaka ya karibuniNatafuta Michelin size 225/55R17 nishatafuta sana Dar sipati nani anazo
Kwenye tyre za kichina, goodride inashika no 1 kwa uboraMwenye uzoefu na Tyres
Nimeona reviews za tairi za kichina zinazoitwa Kapsen ni nzuri kuliko Goodride. Goodride imelalamikiwa na watumiaji
Mwenye kuzijua please
Ngoja kesho kuna agent wa michelin nitakuulizia kama anazo za mwaka huuDah sasa naona kama bora niagize Amazon au Ebay
Agents ni Superdoll.Natafuta Michelin size 225/55R17 nishatafuta sana Dar sipati nani anazo
Poapoa asanteAgents ni Superdoll.
Wacheki hao.
Nimekutana na tyre inaitwa Boto na hii nayo vipPoapoa asante