Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

Ulipiga kamishen 800k?
 
Nenda pembezoni mwa jiji....fungua duka genge...pombe za kienyeji....mishkaki....kibanda umiza.....na chennji inabaki m+
Kibanda umiza Kama anasehemu kabisa sawa lakini Kama ndio ajenge kwa makuti standard haitoshi

Mimi Kuna jamaa huku amejenga Banda la makuti of standard kabisa na tv tatu za nchi 55, imemlia 7m

Sema siku hakuna Mechi ni mwendo wa ps tu yaani itamlipa tu
 
Ulipiga kamishen 800k?

Yah,nilikua stand ya daladala nafanya miamala ikifka saa12 naanza kufuta hapo kufunga saa4 usku kaz ilkua inapgwa kuanzia tarehe 1 had 31[emoji28] haina mapumzko

Miamala midgomidgo ndio unahela hiyo mikubwa kama huna mtaji n kichefuchefu tu

Mtu akitoa 200k kamishen 1200 akitoa 10k kamishen 300 sasa si bora upge hyohyo

Ilkua tigo kamishen 300 had 400

Mpesa 150 had 200(voda wanakamishen za kishenz sana)

Airtel 200

Halopesa 100
 
Unanipa funzo kubwa Sana mkuu
 
Vip kuhusu Lipa namba nayo
 
Swala stress free sio kwel,kila biashara Kuna kipind utaptia stress hata iwe imekomaa kias gan
Naposema Stress free namanisha kwamba fedha yako kwa asilimia kubwa haina risk ya kupotea compared to other biznes ambao unaweza kununua product ukakuta price ime depreciate ukala loss ama kufilisi mtaji wote kabisa.

Kwa case ya Uwakala ni kiasi tu cha wewe kuwa makini na miamala usije pigwa kwa miamala hewa basi. Mleta mada ukiwa tayari nipo tayari uniajiri kwa malipo ya 300k tu per month nikufanyie kazi yako kwa uhakika zaidi.
 
Kwamba ni kuajiri na utakuwa unalipa 300k per month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…