Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

Location unayo??
 
Biashara za kitoto hizi kibanda umiza na PS

Pamoja na wale wauza movies
 
Maswali mawili tu .
1. Wewe ni unaishi mazingira gani halafu halafu ushauriwe.

Maana huwezi fanya mazao na huku umekulia ushuwani lazima ufungue biashara ya wakala wa kutoa pesa
 
Naombeni ushauri Wakuu nina mtaji wa milioni 2 naitaji kufanya biashara Dar es Salaam, ni biashara gani itayonifanya niweze kupata faida.
Vp mkuu umeshapata muongozo au uje hapa pweza tufungue mawazo. Ideas na maono ya biashara yanapatikana bar only. Imagine umepoa na mtoto mzuri halafu wana wanaangusha ideas mbali mbali lazima utoboe.
 
Maswali mawili tu .
1. Wewe ni unaishi mazingira gani halafu halafu ushauriwe .

Maana huwezi fanya mazao na huku umekulia ushuwani lazima ufungue biashara ya wakala wa kutoa pesa
Kwasasa nipo Songea ila nimemaliza Chuo juzi Kat hapa udsm pale ila Nia yangu ni kuanza hrkt za maisha Dar
 
Vp mkuu umeshapata muongozo au uje hapa pweza tufungue mawazo. Ideas na maono ya bishara yanapatikana bar only. Imagine umepoa na mtoto mzuri alafu wana wanaangusha ideas mbali mbali lazima utoboe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pesa hapo itapepea kama upepo nashukur watu wa jamii forum ni vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…