Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2


Noma
 
Usijiroge kuondoka Dar labda kama unataka kulima,asikudsnganye mtu ,dar ndio mwanzo wa mrija mkuu wa fedha na ndio mjini kwingine kote vijijini.
Hata wabunge wa Nkasi wanaishi na kfanya shughuli zao Dar. Nkasi wanaenda kuomba kura tu.
 
Biashara za watu wavivu ma wanaotakatisha pesa ila sio ya kumtoa mtu kimaisha.
 
Kweli
 
Biashara za kitoto hizi kibanda umiza na PS

Pamoja na wale wauza movies

Biashara ya ps unayoiita ya kitoto inaniingizia almost 500k per month kwa mtaji wa 1.7M tu[emoji23]..akili ku mkichwa nyie endeleeni kukariri na visalary uchwara vya laki 5 utumishi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
kila wiki ukiwa na uhakika wa kukunja hiyo amount una shida gani..pata picha una ofisi mbili au tatu.
 
Naombeni ushauri Wakuu nina mtaji wa milioni 2 nahitaji kufanya biashara Dar es Salaam, ni biashara gani itayonifanya niweze kupata faida.
Fungua duka la mahitaji ya nyumbani wengine wanaita duka la mangi.

Weka na gesi kwa nje.
 
Sasa hapo kilichomlia hela ni hizo TV 3
 
Mkuu,
Una uhakika kuwa umemaliza UDSM mwaka UHU??
Amemaliza udsm mwaka uhu anataka hrkt za maisha akaanzie dar.

Sasa sijui hiyo UDSM ipo musoma 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.

Na huo uandishi sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…