Pre GE2025 Ushauri: Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Primary target ya ujasusi was Tanzania ilikua katiba mpya!na chadema ilipaswa kuwa sauti hiyo!

Wao wakazimishwa na nusu mkate yaani wakafika bei hii ikaleta hasira kali na kutokuaminika Kwa mbowe Toka Kwa wale jamaa wanaopigania katiba!!

Nadhani plan ya katiba kabla ya uchaguzi imefeli coz mwenyekiti was CCM ame was outsmart wale jamaa wa Dola!Sasa nadhani wata execute plan B:-

1.Uchaguzi 2025 uvurugike mabaka wakachukua Dola!

2.Damage ya kisiasa Kwa mtia Nia was urais mapema ambae no mwenyekiti was ccm,nadhani wamefanikiwa coz hakuna mwananchi was kawaida kabisa anaemkubali kihivyo has Hulu bara tumebaki sisi chawa wa mchongo tukiziimba nyimbo zake Ili kufurahia ugali na teuzi zake!!

Lengo ni kumuingiza mgombea mwingine 2025 na sie huyu !

3.Hii mbaya sana!I have a feeling ni kuwindana Hadi viwanja vya ndege ili apewe mwingine!!

Watumishi wanaomba mungu haha yasitokee!

Hoi inachagizwa na Ile "original plan in and out""!!!

Ngoja tuone!!!

Mbowe kafeli coz hajui no Dola ilishinikiza atolewe mahabusu Kwa kesi ile Ili apiganie katiba Sasa yeye kalamba asali plus nusu mkate!!!
Pia inawezekana no plan ya mbowe kurudisha Imani ya wanachama kwake baada ya kuvurunda,Kwa kuitisha maandamano!!

Ngoja nisubiri!!!
Hiyo namba 3 hiyo 3 hiyo 3 hiyo 3! Chumamamayozakombwawee
 
1. Ukisikia ndoto za mchana ndiyo hizi.

2. Ndoto za hivi ni za kina kibwetere huko.

3. Sisi baka au awaye yote CCM huko anatuhusu nini?

4. Muhimu kwetu ni hapa:

Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

5. CCM si rangi, unaweza kuwa CCM bila kujijua na bila kujali wadhifa wako popote.
 
Kajidhalilisha..na ukute lina watoto kabisa wanaliita mama!

1. Yako humu kundini:

FutD12pWIAEjDDU.jpeg

2. Machawa ya kulipwa ya yule bwana.

3. Bila yeye mkono hauendi kinywani.

4. Hapo protege kaguswa, yamefura kwa hasira.

5. Yanadhani Chadema ni Mali binafsi.

6. Eti kuwa yenyewe ni Chadema zaidi kuliko wengine.

Bure kabisa.
 
Pia Mbowe aliwakwamisha viongozi wa Sauti ya Watanzania, huyu jamaa ana laana shujaa
 
Habari Wana JF. Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samiah.

Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu kuingia maridhiano na CCM hakusikia kabisa. Nakumbuka kwenye mkutano wa CHADEMA Mwanza, tarehe 21/1/2023, Mbowe alidai hatamsema vibaya mama Samiah , Leo inakuwaje ndio anashtuka muda umeenda? na kudai anajuta kumwamini Mama Samiah?.

Pia nakumbuka kwenye mkutano wake na diaspora wa Marekani tarehe 11/12/2022, Mh Mbowe alidai kuwa hatarudi nyuma kwenye mazungumzo, na kudai anaweka maslahi ya nchi mbele na sio CHADEMA, Leo inakuwaje anajutia kumwamini Rais Samiah.

Mh. Mbowe anajua yaliyotokea Zanzibar na alitakiwa kuchukua Kama fundisho. Kwamba pamoja na maridhiano, CCM wakaiweka CUF ya maalim kwenye mtego mpaka leo imekuwa historia. Mwishoni maalim ikabidi akimbilie ACT baada ya Msajili kutumika kumfustrate. Hii ilitosha kumfundisha Mbowe aache kujikomba kwa Mh Samiah na CCM yake. Ilitakiwa ajifunze kutoka kwa Maalim. Kwamba pamoja na Maalim kujishusha na kukubali maridhiano , CCM wakakivunja chama chake Cha CUF na pia kumfanyia unyama 2020.

Sasa Kutokana na kauli ya Mh Mbowe ya Jana, Naomba nishauri yafuatayo:

1. Kwakuwa Mh. Mbowe alilazimisha Maridhiano na yeye kujiweka mbele Kama kiongozi wa maridhiano, basi kwa kuwa maridhiano yameshindikana, nashauri aachie ngazi mara moja. Maana kashindwa kutimiza hayo maridhiano aliyo lazimisha.

2. Kwa kuwa Mh. Mbowe alidharau sauti za wanachama wa CHADEMA kumkataza kuendelea na hayo maridhiano, na kwa kuwa hakufanikiwa na hayo maridhiano aombe Radhi wanachama kwa maamuzi hayo ambayo hayakufanikiwa na yaliyoiweka CHADEMA rehani.

3. Kwa kuwa Mh. Mbowe ameshindwa kutimiza approach yake ya diplomacy , itakuwa ujinga akiendelea kuongoza approach nyingine dhidi ya serikali au CCM maana haaminiki Tena. Hivyo ajiuzulu kupisha uchaguzi wa mwenyekiti mpya ambaye atatumia approach nyingine kabisa kuliko ya Mbowe.

4. Kwamba, kwakuwa imeonekana maridhiano sio njia sahihi ya kutatua malalamiko ya CHADEMA kutokana na kiburi Cha CCM na serikali yake, nashauri CHADEMA waachane na approach ya maridhiano watafute approach nyingine.

5. Kwa kuwa inaonekana maoni ya CHADEMA kwenye mswada ya sheria yamekataliwa na Kamati ya kudumu ya bunge ya Katiba na Sheria, nashauri CHADEMA watangaze rasmi kutoshiriki chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Naomba kuwasilisha.
Kwani Erythrocyte anasemaje?
 
KwaninE
Ahahahahaha!
 
Kila jambo na wakati wake, kitabu kimesomeka kwa utulivu na kukielewa, namanisha kulitakiwa kutulia na kuusoma mchezo wa ccm, kwa kipindi kile kujitoa kwenye maridhiano hakukua na tija yoyote , ni mda sasa kusonga mbele mbwai mbwai ,hakuna sababu ya hoja yako
 
Habari Wana JF. Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samiah.

Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu kuingia maridhiano na CCM hakusikia kabisa. Nakumbuka kwenye mkutano wa CHADEMA Mwanza, tarehe 21/1/2023, Mbowe alidai hatamsema vibaya mama Samiah , Leo inakuwaje ndio anashtuka muda umeenda? na kudai anajuta kumwamini Mama Samiah?.

Pia nakumbuka kwenye mkutano wake na diaspora wa Marekani tarehe 11/12/2022, Mh Mbowe alidai kuwa hatarudi nyuma kwenye mazungumzo, na kudai anaweka maslahi ya nchi mbele na sio CHADEMA, Leo inakuwaje anajutia kumwamini Rais Samiah.

Mh. Mbowe anajua yaliyotokea Zanzibar na alitakiwa kuchukua Kama fundisho. Kwamba pamoja na maridhiano, CCM wakaiweka CUF ya maalim kwenye mtego mpaka leo imekuwa historia. Mwishoni maalim ikabidi akimbilie ACT baada ya Msajili kutumika kumfustrate. Hii ilitosha kumfundisha Mbowe aache kujikomba kwa Mh Samiah na CCM yake. Ilitakiwa ajifunze kutoka kwa Maalim. Kwamba pamoja na Maalim kujishusha na kukubali maridhiano , CCM wakakivunja chama chake Cha CUF na pia kumfanyia unyama 2020.

Sasa Kutokana na kauli ya Mh Mbowe ya Jana, Naomba nishauri yafuatayo:

1. Kwakuwa Mh. Mbowe alilazimisha Maridhiano na yeye kujiweka mbele Kama kiongozi wa maridhiano, basi kwa kuwa maridhiano yameshindikana, nashauri aachie ngazi mara moja. Maana kashindwa kutimiza hayo maridhiano aliyo lazimisha.

2. Kwa kuwa Mh. Mbowe alidharau sauti za wanachama wa CHADEMA kumkataza kuendelea na hayo maridhiano, na kwa kuwa hakufanikiwa na hayo maridhiano aombe Radhi wanachama kwa maamuzi hayo ambayo hayakufanikiwa na yaliyoiweka CHADEMA rehani.

3. Kwa kuwa Mh. Mbowe ameshindwa kutimiza approach yake ya diplomacy , itakuwa ujinga akiendelea kuongoza approach nyingine dhidi ya serikali au CCM maana haaminiki Tena. Hivyo ajiuzulu kupisha uchaguzi wa mwenyekiti mpya ambaye atatumia approach nyingine kabisa kuliko ya Mbowe.

4. Kwamba, kwakuwa imeonekana maridhiano sio njia sahihi ya kutatua malalamiko ya CHADEMA kutokana na kiburi Cha CCM na serikali yake, nashauri CHADEMA waachane na approach ya maridhiano watafute approach nyingine.

5. Kwa kuwa inaonekana maoni ya CHADEMA kwenye mswada ya sheria yamekataliwa na Kamati ya kudumu ya bunge ya Katiba na Sheria, nashauri CHADEMA watangaze rasmi kutoshiriki chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Naomba kuwasilisha.
Naunga mkono. Hoja zako siyo personal zimejikita kwenye accountability which is part and parcel ya democracy.
 
Back
Top Bottom