Wavisiwani
Member
- Feb 8, 2022
- 13
- 28
So wewe waona utaratibu haukufuatwa? Tatizo Watanzania tumekuwa waumini wa siasa chafu badala ya siasa safi ndo mana tunapigamakitaimu kufikia malengo chanya ya jamii ya wanadamu. Watu wengi wanaikataa siasa safi ambayo ni mojawapo ya mambo ya kutufanya tuendelee. Mtu mzima unakuta anashabikia uovu badala ya wema, giza badala ya nuru, inasikitisha sana. Mtu muungwana hata rafiki yake akikosea atamwambia ukweli na adui yake akifanya jema haoni ukakasi kukiri hivyo.