Wavisiwani
Member
- Feb 8, 2022
- 13
- 28
Wamefukuzwa uanachama sababu ya kukiuka party position kuhusiana na matokeo ya 2020!! Wala hawajafukuza wabunge!Na wakifungua shauri hilo wanashinda, sheria inawapa wao credit kwasababu CDM wameshindwa kuprove kama orodha hiyo imeghushiwa kwa namna gani.
kwa tarifa za uhakika ni kwamba wapo mahakamani muda huuHalima si mjinga kiasi hicho,hawezi kwenda Mahakamani anajua akienda huko atawaingiza Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi na Bunge mahali pagumu.
Waliomsaidia kutenda uovu lazima wana uwezo wa kumwambia sasa basi. Mungu wa Chato hayupo kupindisha sheria na kuvunja katiba.
Ngongo kwa sasa Uganda.
baraza kuu limewafanyia uhuni vipi?Baraza kuu ndio lishitakiwe kwa kuwafanyia "uhuni".
CCM hatutaki mamluki kama ilivuokuwa kwa akina NGOYAI , SUMAYE ,& NIGUSE NINUKE hatutaki siasa za majibtaka sisiWaende CCM hakuna namna
Karekebisheni katiba ya ccm yenu kwanzaKatiba ya Chadema lazima ifanyiwe marekebisho, Ina matatizo makubwa, tunahitaji katiba mpya ya Chadema kwanza, kabla ya katiba ya nchi, hiki chama kina uonevu sana, na kina unyanyasaji wa kijinsia
WachukueniCCM hatutaki mamluki kama ilivuokuwa kwa akina NGOYAI , SUMAYE ,& NIGUSE NINUKE hatutaki siasa za majibtaka sisi
Hao wasaliti wabaki na usaliti wao uko uko CHM
Kura za wazi ila sio huru,kura huwa ni siri ya mpiga kura.Huo uhuni akaueleze tena kwa evidence sio maneno matupu, ukizingatia kura zilikuwa za wazi.
Nawashauri watulie kwa sasa hata miezi mitatu. Then waandike barua ya kutambua kosa lao na waombe msamaha waombe warudishwe chamani. Aache kulopoka lopokaZama zimeisha,mabinti wadogo,ila walicheza karata vibaya
Ili uhalali wa kile kinachodaiwa kughushi Chadema wakithibishe mahakamani.........!!!!Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Katiba inasemaje kuhusu ubunge na uanachama km sharti la kuwa mbungeAisee hii imekaa kitaalamu sana, ukisimama nchale, ukichuchumaa nchale