Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Muulize yeye mwenyewe kua anataka kufanya nini kwenye maisha yake? Unaweza kumpeleka sehemu kisha huko napo asiweke bidii,
Kama hajui anataka nini
Huyo kama kusoma hataki hata usimpeleke VETA, mtafutie gereji akajifunze maisha huko. Au mtafute fundi ujenzi mkabidhi afundishwe kazi apige na vibarua vya zege.
Notisi zipi za kabla kuwasha gari ucheki ,oil na maji na Mafuta na upepo kwenye matairi na kuchora alama za barabarani au Wakati Kwa macho tu waweza zikariri Kuna Nini kikubwa kwenye course ya udereva kinachohitaji Hadi uwe na daftari la kuandika kubadili gia mlimani,kupaki au kuovertake ? Kipi Cha kuandika notisi Kwa course ya udereva?Wanaandika Mzee wewe udereva umesoma wapi? Lazima uchukue notice
Basi utapewa kitiniNotisi zipi za kabla kuwasha gari ucheki ,oil na maji na Mafuta na upepo kwenye matairi na kuchora alama za barabarani au Wakati Kwa macho tu waweza zikariri Kuna Nini kikubwa kwenye course ya udereva kinachohitaji Hadi uwe na daftari la kuandika kubadili gia mlimani,kupaki au kuovertake ? Kipi Cha kuandika notisi Kwa course ya udereva?
Sahihi pia Kuna kazi kama vibarua wa ujenzi kama wabeba nzege au mizigo masokoni nk ,wasukuma mikokoteni,waosha magari na bodaboda,makondakta ,wapiga debe ,watembeza mitumba mitaani,wauza magenge,mama nitilie ,baba nitilie nk kama shule hataki kazi ziko nyingi za hao wagoma shule mtu hutakiwi kuumiza kichwaWatu kama hao wanahitajika sana, katika uzalishaji wa viwandani hasa zile kazi za kutumia nguvu.
Unaweza pia kumpeleka kwenye karakana ya uchomeleaji, gereji, useremala n.k. au kwenye mafunzo ya ulinzi; kwa ujumla zile kazi za kutumia nguvu tu.
Sounds like a compliment but it’s actually an insult… haya bhanaKumbe unaakili saa zingine
Sounds like a compliment but it’s actually an insult… haya bhana
Nipeni mawasiliano yake ataenda shule tuMleta mada kasema hataki Shule kabisa ushauri ulenge uelekeo huo wa asiyetaka shule
Mtafutie shamba,mpe jembe.Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+.
Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha veta kinachotoa fani husika.
Location yake ni Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Musoma au Geita.
Nawasilisha
Hata wao cheti cha form four kwanzaHakuna mitihani mtihani ni practical wa kuendesha tu na kujua alama za barabarani tu Huwa hakuna wa kuandika
Nilikuwa nimeshaanza kulengwa na machozi😊😊
Nakuzingua Mrembo wangu. Usije ukawa umemaind 😉
Nilikuwa nimeshaanza kulengwa na machozi
Ili niweze kupambana na uchoyo na ubahili wa watibeli😂😄
Pole Mwaya!
Lazima nikufundishe moyo mkakamavu ili uweze kuhimili ya duniani
Ili niweze kupambana na uchoyo na ubahili wa watibeli😂