Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

Asante Mkuu
Natamani ningeshiriki kwenye cancelling na kumhoji vizuri nini kimejiri, naomba sana ukiweza wakifungua chuo tafuta classmates wake kama 6, 3girls na 3boys uulize tabia zake on and off campus social na academic uwe na ABC aibu ya kweli hutibu jeraha au tatizo.
 
DUCE na alikuwa anapiga BSED
KE
Nashauri arudie ila mpe ushauri ajue anahitajika kufanya nini. Chuo hakuna masomo magumu tena hasa hiyo programu. Nimesoma na watu wachache kichwani ila walikuwa wanafaulu hivyo hivyo kwa kupambana. Tatua shida zake na mjue lifestyle yake chuo kama ilikuwa sahihi. Msiogope kufeli chuo kuna nafasi ya kurudia kuliko ngazi nyingine kabla
 
Asante mkuu
 
Hii nimeipenda sana...sasa hao walimu wawe na utu kweli...ukute ulikuwa ww ndio lijeuri sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…