Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

Asante Mkuu
Natamani ningeshiriki kwenye cancelling na kumhoji vizuri nini kimejiri, naomba sana ukiweza wakifungua chuo tafuta classmates wake kama 6, 3girls na 3boys uulize tabia zake on and off campus social na academic uwe na ABC aibu ya kweli hutibu jeraha au tatizo.
 
DUCE na alikuwa anapiga BSED
KE
Nashauri arudie ila mpe ushauri ajue anahitajika kufanya nini. Chuo hakuna masomo magumu tena hasa hiyo programu. Nimesoma na watu wachache kichwani ila walikuwa wanafaulu hivyo hivyo kwa kupambana. Tatua shida zake na mjue lifestyle yake chuo kama ilikuwa sahihi. Msiogope kufeli chuo kuna nafasi ya kurudia kuliko ngazi nyingine kabla
 
Asante mkuu
 
Hapao kwenya masomo 12 amepata sup masomo 6. Kipindi tupo chuo ilikua kama umepata disco unaangalua umefeli masomo mangapi kama ni 7 kati ya 12 unachangua masoma matatu a
Ambayo waalimu sio complicated unawafata unawaambia ukweli nime disco alafu unawaomba uende uka appeal masomo yao wakati wa kutudia kusahisha mitihani akupe tu Marks za kupass labda C baada ya hapo matokeo ya appeal yakitoka maka hawa waalimu wame kupitisha na toka kwenye disco mpama sup za kawaida. Unafanya sup unachomoa unaendelea mwaka mwingine
Hii nimeipenda sana...sasa hao walimu wawe na utu kweli...ukute ulikuwa ww ndio lijeuri sasa.
 
Back
Top Bottom