Ushauri: Mgombea wa CCM aongezewe ulinzi!

Umenitoa hilo mdomoni a.k.a kidaka tonge, ushajiuliza mzee Makaidi alivyosepeshwa? huyu si aliingia mgogoro na wenzie Ukiwa? alafu ikawaje? nini kilifuata? we acha bwana, ameanza kuwatoa woote asiowapenda lakini kwa Magufuri ataisoma ..akae mbali make anaweza akajuuuuta
 
Uchochezi sio mzur
 
Mtafanya mengi ili kumchafua mwisho wa siku ukweli utajulikana. Mmeshaambiwa hazuiliki!!!!
 
Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.

Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote.

Ni ukweli usio na shaka kuwa kuna wanaoombea apate ajali iwe ya kimazingira au kimazingara.

Ukweli huo usipuuzwe na CCM ichukue hatua kwa kuongeza ulinzi kwa rais mtarajiwa ikiwa ni pamoja na timu ya mafundi watakaokuwa wanalikaguwa gari la mgombea kila mara.

All in All Jembe la vita lisiwe na wasiwasi na liendelee na kazi tu!

FalaLao
 
Tulipaswa kuendelea kumlinda sana Mwamba J.P.M
 
Back
Top Bottom