Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenitoa hilo mdomoni a.k.a kidaka tonge, ushajiuliza mzee Makaidi alivyosepeshwa? huyu si aliingia mgogoro na wenzie Ukiwa? alafu ikawaje? nini kilifuata? we acha bwana, ameanza kuwatoa woote asiowapenda lakini kwa Magufuri ataisoma ..akae mbali make anaweza akajuuuuta

Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote.
Ni ukweli usio na shaka kuwa kuna wanaoombea apate ajali iwe ya kimazingira au kimazingara.
Ukweli huo usipuuzwe na CCM ichukue hatua kwa kuongeza ulinzi kwa rais mtarajiwa ikiwa ni pamoja na timu ya mafundi watakaokuwa wanalikaguwa gari la mgombea kila mara.
All in All Jembe la vita lisiwe na wasiwasi na liendelee na kazi tu!