Ushauri: Michirizi inamsumbua mama watoto, afanye nini iache kumuwasha?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Habari zenyu kwema?

Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2.

Wiki moja haijapita zikamtoa michirizi kidogo akaacha kabisa kupaka, sasa ajabu inakua inamuwasha na inaongezeka kila anapokuna. Je, kuna namna inaweza kusaidia ikaacha hata kumuwasha maana anapata tabu si mchezo?

Msaada wenu kwa wabobezi afanye nini ili tu isiwashe maana naskia michrizi haitokag ikikupata imekupata.
 
Picha pls, tuweze shauri uzuri.
 
Mpeleke hospital akwonane na Dermatologist kabla hali haijawa mbaya
 
Mpeleke hospital akwonane na Dermatologist kabla hali haijawa mbaya
sawa mkuu je ni hosptali gani naweza kumpeleka mkuu unayoifahamu ila sio za ghalama hyo maana hali yetu yenyew pangu pakavu
 
Mm ni wakala wa vipodozi visio kua na kemikali, vya South Africa.
Anaweza kupona kwa kuondoa michirizi, kipindi cha ujauzito alitakiwa kupaka mafuta ili tumbo likirudi lisiache michirizi.
Karibu inbox kama una nia ya kumsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…