Ushauri: Michirizi inamsumbua mama watoto, afanye nini iache kumuwasha?

Ushauri: Michirizi inamsumbua mama watoto, afanye nini iache kumuwasha?

Habari zenyu kwema?

Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2.

Wiki moja haijapita zikamtoa michirizi kidogo akaacha kabisa kupaka, sasa ajabu inakua inamuwasha na inaongezeka kila anapokuna. Je, kuna namna inaweza kusaidia ikaacha hata kumuwasha maana anapata tabu si mchezo?

Msaada wenu kwa wabobezi afanye nini ili tu isiwashe maana naskia michrizi haitokag ikikupata imekupata.
Andika kwa kiinglish na wengine tuelewe
 
Michirizi naonaga kama hainaga dawa itapungua tu mng'ao lakini haiishi,......pia asitumie vipodozi ivyo cheap zipo set za vipodozi nzuri tu na bei chee
Nb:set sabuni, serum,shower gel,Lotion
 
Back
Top Bottom