Ushauri: Michirizi inamsumbua mama watoto, afanye nini iache kumuwasha?

Ushauri: Michirizi inamsumbua mama watoto, afanye nini iache kumuwasha?

Apakae a lot of moisturizer kama pesa unayo nunua products za palmers cocoa butter apate Bio Oil pia kuna dada anaitwa Instagram phoebe_cosmeticsc mcheck pia ale health balance diet mboga mboga matunda haswa yenye vitamin A na C asisahau kunywa maji lita 2 Kwa siku njia nyingine kuzifanya zi fade away ni diet kupungua mwili mazoezi ku firm skin.
 
Habari zenyu kwema?

Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2.

Wiki moja haijapita zikamtoa michirizi kidogo akaacha kabisa kupaka, sasa ajabu inakua inamuwasha na inaongezeka kila anapokuna. Je, kuna namna inaweza kusaidia ikaacha hata kumuwasha maana anapata tabu si mchezo?

Msaada wenu kwa wabobezi afanye nini ili tu isiwashe maana naskia michrizi haitokag ikikupata imekupata.
Weka picha tukushauri kitaalamu
 
Mchukulie vaseline body oil ya au body oil ya Palmers
Ila awe mvumilivu itaisha tu
Michirizi inahitaji uvumilivu sana kuisha
Akipaka hiyo oil itaacha kuwasha
sawa ila samahan mkuu unaweza kunionesha picha yke
 
Hizo zamfaa mkeo
 

Attachments

  • Screenshot_20240530-151931.png
    Screenshot_20240530-151931.png
    825.6 KB · Views: 15
Back
Top Bottom