Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hakika, aweke picha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, aweke picha...
Mkuu hiyo vaseline body oilinafaa kwa mwanaume? If yes ipi ni nzuri kati ya hiyo uliyoweka hapo au ile yenye mfuniko wa bluu? Tafadhali naomba elimu hapa
Ndiyo inawafaa piaMkuu hiyo vaseline body oilinafaa kwa mwanaume? If yes ipi ni nzuri kati ya hiyo uliyoweka hapo au ile yenye mfuniko wa bluu? Tafadhali naomba elimu hapa
Ooh ahsantee dear!! [emoji120][emoji120]35k mama nanii..
Kuna moja iko chini kidogo nadhani ni hayo ya kampuni ya Palmer's.
Ahsantee sanaaVaseline ni 35k
Hiyo Palmers hata 25 unapata
Well notedNdiyo inawafaa pia
Zote nzuri zingatia tu yenye bubbles ndiyo original