Ushauri: Michirizi inamsumbua mama watoto, afanye nini iache kumuwasha?

Mkuu hiyo vaseline body oilinafaa kwa mwanaume? If yes ipi ni nzuri kati ya hiyo uliyoweka hapo au ile yenye mfuniko wa bluu? Tafadhali naomba elimu hapa
Ndiyo inawafaa pia
Zote nzuri zingatia tu yenye bubbles ndiyo original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…