Kuna mdada alikopa milion 20 ofisini baada ya week toka kuipata akatimkia zake USA alishakua na process za kuondoka kimya kimya, akiwa huko akaandika barua ya kuresign ndani ya masaa 24 nilibaki nacheka tu watu wamechoka!!
Asee 250 million.Umenikumbusha kituu...
Jamaa mmoja ( X )..akajenga nyumba yake safi kwatofali zakuchoma ,,ila ilikua Kubwa sanaa,, akailemba freshi ...alitumia km milion 60-70 .
Jamaaa alivyoona yafaa kwa makazi ..akaenda CRDB akachukua mkopo wa milioni 250 dhamana ninyumbaaa ...CRDB walivyocheki ule mjengo wakasema sawaa...wakampaaa.
Jamaa MPKA waleo hajulikani alipo....CRDB walishajaribu kuuza nyumba wamekoswa mteja maana imekuka julikana nyumba niyatofaul za kuchoma.
Bora uliwahi kuna muda unaona kama kufanya kazi ni utumwa hela zako mwenyewe ila unapewa masharti kuchukuamimi nilishawai kuchukua hela nssf bila ku resign zama za JK...
hawa waajiri wananyanyasa sana watu ndio maana wanawababua tu
Yaah kilichowapoteza CRDB kwanza hawakutaka kuwashirikisha watu wapale japo wapewe historia.. Alafu jamaa urembo alokua ameuweka kwaufupi ule Mgeto kwa macho ni matata sanaa. Ndio maana aliwapoteza.Asee 250 million.
Usimtishe mkuu,hakuna wa kumtafuta.Mshaur achukue kiasi kikubwa akaanze maisha mapya. Maisha ya kuajiriwa na serikali ya Tz ni magumu mno hasa kwa mwanaume.Mshahara wako ni shilingi ngapi ?
Kwa nini unataka ukope lakini usilipe.Hata ukiacha kazi wajibu wa kulipa deni unabaki palepale,Kama unataka kukopa kopa na uwe na uhakika kuwa hiyo dili yako inaweza kulipa hilo deni.Pembeni ya hapo naona una mawenge tu.Umefanya kazi miaka mingapi na je ni kataba au permanent?
mimi nilishawai kuchukua hela nssf bila ku resign zama za JK...
hawa waajiri wananyanyasa sana watu ndio maana wanawababua tu
True huwezi ukawa milionare kwa kazi ya kuajiliwa tena serikalini ni majanga mshahara utaishia kula tu huwezi kufanya mambo makubwa ya maendeleo. Lazima uwe na uthubutu wa kuanzisha miradi yako binafsiUmenikumbusha jamaa yangu alikuwa ameajiriwa Serikalini mkoani Tanga. Akajikusanya ndani ya miaka miwili akawa ameweka akiba ya 3mil. Aliniambia tu oya naacha kazi. Nikadhani masihara. Kweli jamaa alicha kazi akaanza kufanya biashara ya kuuza vyombo vya plastic, madishi, mabakuli, etc.
Ana miaka mitatu sasa kwenye kazi hiyo mpya tayari anamiliki nyumba yake na ana bonge duka la maana la vyombo mchanganyiko. Hela anayokusanya kwa mwezi ni mara tatu ya salary aliyokuwa analipwa per month. Yupo free kwa biashara yake na naona utofauti mkubwa kati yake na wenzake aliowaacha kazini
Huna haja ya kuiba, tafuta namna nzuri ya kupata hiyo hela
Mkuu, tukutane pm, mm ni muumin wa wazoWakuu..
Nimepitia comments zenu zote naona wengi mnakurupuka kunipa ushauri bila kusoma Maelezo yangu....
Mnasema nisiache Kazi, niendelee na hiyo business yangu mdogo mdogo. Kumbukeni nimewaambia kuwa Kazi ndio inanifanya nikose muda wa Kudeal na business yangu. Ndio maana nataka niache Kazi.
Mara mnasema nidundulize kidogo kidogo.
Mnajua kuwa muda ni Mali. Hiyo opportunity nishaifanyia intensive analysis. Najua potential profit na loss zake.
Changamoto ni Time and capital.
Suala langu lilikua nikikopa pesa kisha nikaacha ajira inawezekana???
Suala la kuwa ni kosa, sijui sio ustaarabu namie najua.
KILA LA HERI
SawaWakuu..
Nimepitia comments zenu zote naona wengi mnakurupuka kunipa ushauri bila kusoma Maelezo yangu....
Mnasema nisiache Kazi, niendelee na hiyo business yangu mdogo mdogo. Kumbukeni nimewaambia kuwa Kazi ndio inanifanya nikose muda wa Kudeal na business yangu. Ndio maana nataka niache Kazi.
Mara mnasema nidundulize kidogo kidogo.
Mnajua kuwa muda ni Mali. Hiyo opportunity nishaifanyia intensive analysis. Najua potential profit na loss zake.
Changamoto ni Time and capital.
Suala langu lilikua nikikopa pesa kisha nikaacha ajira inawezekana???
Suala la kuwa ni kosa, sijui sio ustaarabu namie najua.
1. napenda kapicha prflHuo mkopo unabeba bila shida na hakuna mwajiri wa kukutafta,
Na wala hakuna benki au taasisi hasa hawa bayport,
Faidika and the likely kukutafta.
Ninao ushahd Wa watu.
Na Hiyo mikopo Ina bima kwa risk kama hizo,
We beba endelea na mishe zako wakufute kazi wenyewe kwa utoro,
Hiyo hela haina dhambi.
Usisikilize ya wasiojua kitu hapo juu.
BT be careful uendako,
Biashara ndugu yangu Ina ups and down nyingi sn hadi kuja kusimama.
Utamudu kusimama?
Hasa wkt huu ambapo vimekaza????