Ushauri: Mimi mwajiriwa Serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

mimi nilishawai kuchukua hela nssf bila ku resign zama za JK...

hawa waajiri wananyanyasa sana watu ndio maana wanawababua tu

Kuna mdada alikopa milion 20 ofisini baada ya week toka kuipata akatimkia zake USA alishakua na process za kuondoka kimya kimya, akiwa huko akaandika barua ya kuresign ndani ya masaa 24 nilibaki nacheka tu watu wamechoka!!
 
Umenikumbusha kituu...

Jamaa mmoja ( X )..akajenga nyumba yake safi kwatofali zakuchoma ,,ila ilikua Kubwa sanaa,, akailemba freshi ...alitumia km milion 60-70 .

Jamaaa alivyoona yafaa kwa makazi ..akaenda CRDB akachukua mkopo wa milioni 250 dhamana ninyumbaaa ...CRDB walivyocheki ule mjengo wakasema sawaa...wakampaaa.

Jamaa MPKA waleo hajulikani alipo....CRDB walishajaribu kuuza nyumba wamekoswa mteja maana imekuka julikana nyumba niyatofaul za kuchoma.
 
Asee 250 million.
 
mimi nilishawai kuchukua hela nssf bila ku resign zama za JK...

hawa waajiri wananyanyasa sana watu ndio maana wanawababua tu
Bora uliwahi kuna muda unaona kama kufanya kazi ni utumwa hela zako mwenyewe ila unapewa masharti kuchukua
 
Asee 250 million.
Yaah kilichowapoteza CRDB kwanza hawakutaka kuwashirikisha watu wapale japo wapewe historia.. Alafu jamaa urembo alokua ameuweka kwaufupi ule Mgeto kwa macho ni matata sanaa. Ndio maana aliwapoteza.

Sasa jamaa alivyopotea ndo wao kuja kupiga mnada , mnunuzi akifika majiran wanamwambia nyumba iyo niyatofali za kuchoma. Wanaachaa...

Hii dunia isikie aiseee kuna watu akili zinafikiria mbali mno.
 
Huo mkopo unabeba bila shida na hakuna mwajiri wa kukutafta,
Na wala hakuna benki au taasisi hasa hawa bayport,
Faidika and the likely kukutafta.
Ninao ushahd Wa watu.
Na Hiyo mikopo Ina bima kwa risk kama hizo,
We beba endelea na mishe zako wakufute kazi wenyewe kwa utoro,
Hiyo hela haina dhambi.
Usisikilize ya wasiojua kitu hapo juu.
BT be careful uendako,
Biashara ndugu yangu Ina ups and down nyingi sn hadi kuja kusimama.
Utamudu kusimama?
Hasa wkt huu ambapo vimekaza????
 
Kimsingi.. Kaka unaweza ujachukua kama Mimi nalifanya kazi miaka 8 sijanunua hata kiwanja Lakn nikachukue mkopo 12m. Nikasepa walinikata kwenye pension ila ilikuwa gvnt. Kazi
 
Mshahara wako ni shilingi ngapi ?
Kwa nini unataka ukope lakini usilipe.Hata ukiacha kazi wajibu wa kulipa deni unabaki palepale,Kama unataka kukopa kopa na uwe na uhakika kuwa hiyo dili yako inaweza kulipa hilo deni.Pembeni ya hapo naona una mawenge tu.Umefanya kazi miaka mingapi na je ni kataba au permanent?
 
Usimtishe mkuu,hakuna wa kumtafuta.Mshaur achukue kiasi kikubwa akaanze maisha mapya. Maisha ya kuajiriwa na serikali ya Tz ni magumu mno hasa kwa mwanaume.
Aende achukue CRDB wako vizur then ondoka kimyakimya
mimi nilishawai kuchukua hela nssf bila ku resign zama za JK...

hawa waajiri wananyanyasa sana watu ndio maana wanawababua tu
 
Chukua hiyo m5 then omba ruhusu hata miezi sita kazini au tafuta documents kuonyesha kuwa wewe ni mgonjwa unatakiwa kwenda kupata matibabu kwa muda flani, ukifanikiwa nenda kwenye deal lako kwa huo muda soma mchezo kama mambo yatakuwa poa naukaona umepata faida rudi bank lipa deni lako halafu andika barua ya kuacha kazi hapo nazani utakuwa huru.
 
Kwa nini usikope halafu uendelee na ajira? Kukopa na kikimbia ni wizi wa kukusudia
 
Umenikumbusha jamaa yangu alikuwa ameajiriwa Serikalini mkoani Tanga. Akajikusanya ndani ya miaka miwili akawa ameweka akiba ya 3mil. Aliniambia tu oya naacha kazi. Nikadhani masihara. Kweli jamaa alicha kazi akaanza kufanya biashara ya kuuza vyombo vya plastic, madishi, mabakuli, etc.

Ana miaka mitatu sasa kwenye kazi hiyo mpya tayari anamiliki nyumba yake na ana bonge duka la maana la vyombo mchanganyiko. Hela anayokusanya kwa mwezi ni mara tatu ya salary aliyokuwa analipwa per month. Yupo free kwa biashara yake na naona utofauti mkubwa kati yake na wenzake aliowaacha kazini

Huna haja ya kuiba, tafuta namna nzuri ya kupata hiyo hela
 
True huwezi ukawa milionare kwa kazi ya kuajiliwa tena serikalini ni majanga mshahara utaishia kula tu huwezi kufanya mambo makubwa ya maendeleo. Lazima uwe na uthubutu wa kuanzisha miradi yako binafsi
 
Wakuu..
Nimepitia comments zenu zote naona wengi mnakurupuka kunipa ushauri bila kusoma Maelezo yangu....

Mnasema nisiache Kazi, niendelee na hiyo business yangu mdogo mdogo. Kumbukeni nimewaambia kuwa Kazi ndio inanifanya nikose muda wa Kudeal na business yangu. Ndio maana nataka niache Kazi.

Mara mnasema nidundulize kidogo kidogo.
Mnajua kuwa muda ni Mali. Hiyo opportunity nishaifanyia intensive analysis. Najua potential profit na loss zake.
Changamoto ni Time and capital.

Suala langu lilikua nikikopa pesa kisha nikaacha ajira inawezekana???
Suala la kuwa ni kosa, sijui sio ustaarabu namie najua.
Mkuu, tukutane pm, mm ni muumin wa wazo
KILA LA HERI
 
Eng. Unakosa milion 5???
Ebu save kweny extra duty huko, posho n.k
Zifike 3 then kopa 2 anza biashara
Hutosikia maumivu
Usiache kazi rfk
Forex imegoma, kupata 5mln shughuli, mshahara wako ndo maisha yako.
Usiache
 
Wakuu..
Nimepitia comments zenu zote naona wengi mnakurupuka kunipa ushauri bila kusoma Maelezo yangu....

Mnasema nisiache Kazi, niendelee na hiyo business yangu mdogo mdogo. Kumbukeni nimewaambia kuwa Kazi ndio inanifanya nikose muda wa Kudeal na business yangu. Ndio maana nataka niache Kazi.

Mara mnasema nidundulize kidogo kidogo.
Mnajua kuwa muda ni Mali. Hiyo opportunity nishaifanyia intensive analysis. Najua potential profit na loss zake.
Changamoto ni Time and capital.

Suala langu lilikua nikikopa pesa kisha nikaacha ajira inawezekana???
Suala la kuwa ni kosa, sijui sio ustaarabu namie najua.
Sawa
Kopa 5mlns ukaanze biashara
 
Huo mkopo unabeba bila shida na hakuna mwajiri wa kukutafta,
Na wala hakuna benki au taasisi hasa hawa bayport,
Faidika and the likely kukutafta.
Ninao ushahd Wa watu.
Na Hiyo mikopo Ina bima kwa risk kama hizo,
We beba endelea na mishe zako wakufute kazi wenyewe kwa utoro,
Hiyo hela haina dhambi.
Usisikilize ya wasiojua kitu hapo juu.
BT be careful uendako,
Biashara ndugu yangu Ina ups and down nyingi sn hadi kuja kusimama.
Utamudu kusimama?
Hasa wkt huu ambapo vimekaza????
1. napenda kapicha prfl
2. Ushauri timamu.
 
Back
Top Bottom