Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Mchepuko classic sio grace wa busy asojijua!![emoji1][emoji1][emoji1]
Mchepuko anayejitambua,
Mwanaume Hawez ona hatar kurudisha fadhila kwa jinsi anavyomtreat.

Tatizo linakua pale Mchepuko anapokua hajitambui,hajijali, hajipendi.

Yaan mwanamke anakua Mchepuko afu hajiongezi anatemegemea mwanaume pekee Ndo ashow love na kucontrol mahusiano yote.

Sasa,
Mchepuko wa Hivi anakua mzigo, unakula Mara moja hata ugeuki nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnoooo.

Kuna mwingine aliniambia usipange ile apartment ina uchawi[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mwenye nyumba hataki kutumia tu madalali.

Halafu dalali mwenyew mstaarabu huwezi amini.

Wambea kama nini halafu waongoooo
Ha haaaa haaaa yaani bora amuharibie mwenziwe,kwa uongo kwa kweli nimewapigia salute....Naakitaka kukupanga sasa,utasikia dada we lipa tu,ukilipa tu mwenye nyumba kasema anajenga fance.....sasa ukute unalipa laki 6 tu,itajenga fence gani?Madalali mmmh mmmh
 
Madalali wahuni TU[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kuona Vifo vya Watu wenye michepuko tena Wanayoijengea kabisa Isiwe na Migogoro

Itafikia Hatua Hamzikwi ndugu yangu kila Mmoja Anang'ang'ania Akamzike kwake.

1. Kwanza Hapo Lazima Ujiulize amejuaje mkewe kwamba ana Kiwanja

2. Mkewe anajua mkanda wote

3. Kikubwa Kiwanja kiwe cha mkewe
 
Deep Pond katika ubora wake. [emoji1787][emoji1787]. Eti DeepPond mstarabu hana mchepuko.....ametulia na Familia yake[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Asehhh!!watu mnajua kukea aseehh!!mchepuko anakaa kwenye apartment
 
Heee mambo yenyewe ndio hayo tena?hapo sasa hamjawajengea michepuko mmejengea familia zenu.hii ni sawa na kupewa gari bila kadi halafu dada uko mtaani unavimba...vichekesho
 
Mnoooo.

Kuna mwingine aliniambia usipange ile apartment ina uchawi[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mwenye nyumba hataki kutumia tu madalali.

Halafu dalali mwenyew mstaarabu huwezi amini.

Wambea kama nini halafu waongoooo
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniii
 
Ofcourse not, why would you think so??[emoji23]

Namaanisha wanao honga mpka nyumba, leave alone akulipie kodi appartment ya maana plus mazaga zaga kibao..
Unajua Joannah

Mtu ambae uwezo wake umeishia kwny kuhudumia vocha tu, atakushangaa utakaemlipia Kodi.

Pia Mtu ambae uwezo wake umeishia kwny kuhudumia kodi tu, pia atakushangaa utakaemnunulia nyumba mchepuko.

Kwaiyo tunarudi pae pale,
Kwamba Suala la kumhudumia mwanamke yeyote uliempenda Ni Jambo la levels TU.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa!!!mcheps lazima ajiongeze kidogo
 
Deep Pond katika ubora wake. [emoji1787][emoji1787]. Eti DeepPond mstarabu hana mchepuko.....ametulia na Familia yake[emoji16][emoji16][emoji16]
KABISA mkuu,
Shemej ananiamini sana Sina Mambo Ayo.

Nyie watu wa JF Ndo mnajua Mimi mhuni[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee mambo yenyewe ndio hayo tena?hapo sasa hamjawajengea michepuko mmejengea familia zenu.hii ni sawa na kupewa gari bila kadi halafu dada uko mtaani unavimba...vichekesho
Akikuchoka unaondoka kama ulivyokuja..

Hapo mume huna, mtoto huna, na umri umekutupa mkono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…