USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

Pentamycin

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
210
Reaction score
281
Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu.

Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa halafu mwisho wa siku mlipaji ni mimi, juzi aliniudhi nilikuwa na safari yangu nikiondoka home bila ya kumweleza napokwenda, ila kesho yake usiku nikawa nimerudi.

Sasa mwenzangu naona amefura anataka kuomba kuhama kmya kmya nibaki peke yangu, Wala haongei na mimi chochote tokea juzi, Sasa kwenye mazingira ya namna hii nifanyeje?
 
Simama nafasi yako kama mwanaume, na kaa kimya endelea na mambo mengine. Kuna kila dalili kuna marafiki au mtu wake wa karibu anamshika masikio. Kama mwanamke ameshindwa kukusikiliza wewe mumewe na kila siku ubishi, hata akitoa mguu kuondoka wala usihangaike endelea na mishe zako.

Kama majukumu yako ya unyumba unatimiza sawasawa basi elewa huyo hakuheshimu na hakuna upendo wowote kutoka kwake au ameshakuona anakuweza sana na anaamua vyovyote atakavyo.
 
Unahangaika sana kama vile ulizaliwa kwa ajili yake....

Wapo wengi bwana muache aondoke
 
Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu.

Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa halafu mwisho wa siku mlipaji ni mimi, juzi aliniudhi nilikuwa na safari yangu nikiondoka home bila ya kumweleza napokwenda, ila kesho yake usiku nikawa nimerudi.

Sasa mwenzangu naona amefura anataka kuomba kuhama kmya kmya nibaki peke yangu, Wala haongei na mimi chochote tokea juzi, Sasa kwenye mazingira ya namna hii nifanyeje?
mwanamke akitaka kuondoka muache aende usithubutu kumuomba abaki
 
Unamuendekeza ...muache ahame kwanza ...akalipe madeni ya watu mwenyewe atarudi na heshima na hela..

Au endelea kulea ujinga mbembeleze na ulipe madeni
 
Huna ubavu huo 😀Mbembeleze mkeo uliondokaje bila kuaga ila nae ana kisirani Kosa Hilo ndo aondoke
Saikologia inasema hivi km mtu amekuchoka.
1.anamipango mingine nje ya alipo
2.amejiandaa kimaisha na anauhakika hata usipokuwepo ataidshi tu.
3.anakukomoa kwakua anajua unampenda hivyo utamfuata nakumbembeleza
4.anamsela mwingine pembeni anaefikisha tenakuliko ww
 
Back
Top Bottom