Pentamycin
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 210
- 281
Haya yalikua makosa yako kwake, Mbali na Matumizi yake mabovu ya pesa. So Kwanini wewe ulisafiri bila kuaga home na ukarud next day usiku ?"nilikuwa na safari yangu nikiondoka home bila ya kumweleza napokwenda,ila kesho yake usiku nikawa nimerudi."
NopuNyie ni walimu? Nijibu halafu nikushauri kulingana na akili ya taaluma mliyonayo
Akienda naenda zangu Tanga kuoaMwache aende hasira zikiisha ataomba uhamisho mwenyew kimyakimya arudi
Huna ubavu huo šMbembeleze mkeo uliondokaje bila kuaga ila nae ana kisirani Kosa Hilo ndo aondokeAkienda naenda zangu Tanga kuoa
šššIla wewNyie ni walimu? Nijibu halafu nikushauri kulingana na akili ya taaluma mliyonayo
Tena jamaa atakuwa mwalimu mkuu tena wa shule za msingiNyie ni walimu? Nijibu halafu nikushauri kulingana na akili ya taaluma mliyonayo
Au anaishi kwa mwanamke mwenyewe kwahiyo kilichopo ni kujifukuza mwenyewe tuHakuna kubembeleza mwanamke
Fukuza huyo akajifunze adabu kwanza.
mwanamke akitaka kuondoka muache aende usithubutu kumuomba abakiMimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu.
Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa halafu mwisho wa siku mlipaji ni mimi, juzi aliniudhi nilikuwa na safari yangu nikiondoka home bila ya kumweleza napokwenda, ila kesho yake usiku nikawa nimerudi.
Sasa mwenzangu naona amefura anataka kuomba kuhama kmya kmya nibaki peke yangu, Wala haongei na mimi chochote tokea juzi, Sasa kwenye mazingira ya namna hii nifanyeje?
[emoji23]Vikoba vitavunja hiyo ndoa
Saikologia inasema hivi km mtu amekuchoka.Huna ubavu huo šMbembeleze mkeo uliondokaje bila kuaga ila nae ana kisirani Kosa Hilo ndo aondoke