Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Siku hizi ni mwendo wa psychological torture tu. Wiki tu mtu anakondaHapa cha kufanya
Ni kumpiga mashambulizi ya kihisia
Aanze na hiyo mimba amfanyie psychological torture mpk anyooke[emoji41]
Wavizie uwafumanie ukiwa na mashahidi, then mfungulie mwanaume kesi ya madai akulipe fidia ya kutosha kumfilisi, na mke mpe talaka.Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.
Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Kwa hiyo mkuu ww ukimfumania mkeo live na njemba likimtia ndani ya nyumba yako ndani ya chumba chako kwenye kitanda chako utaendelea kuwa naye kisa mna watoto?Hata Kama una watoto nae bro?
Acha ujinga wanaume wa aina yako ndo wamesababisha wanawake wa siku hizi waonekane hawana heshima kumbe nyinyi wenyewe ndo mna matatizo.Unaropokaa maana hajakukutaa
Siku yakikukutaaa utajinyongaa nivyokujuaaa.
TUTAIMBA RIP
Mwambie warudiane tuNimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.
Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Pole inawezekana wanazungumzia kuhusu MTOTO wao mtarajiwa anayekuja, kuwa makini bro.Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.
Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Nilishamwagiaga mke wangu nimeacha wote nimekuoa wew kwako ni mwaminifu Sina mchepuko wowote siku nikikufuma hapo hapo red card Mimi sigegedi nje kwanini ugegedwe njeAmeshaipata ndoa hana wasiwasi,na huo ni mwanzo tu wa mapichapicha,utashuhudia mengi sana,ila akishajikuta yuko nje katemwa ndio akili itamrudia,ataanza kukujia akiomba misamaha na machozi juu akidai ilikuwa ni shetani...