Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

Kwanza ata iyo mimba sio yako .acha uboya wewe peleka kwao iyo mbuzi
 
Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.

Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Wavizie uwafumanie ukiwa na mashahidi, then mfungulie mwanaume kesi ya madai akulipe fidia ya kutosha kumfilisi, na mke mpe talaka.
 
[emoji848]dhambi inayoweza kuvunja ndoa ni uzinzi .
Hebu endelea kufanya uchunguzi mkuu
 
Hata Kama una watoto nae bro?
Kwa hiyo mkuu ww ukimfumania mkeo live na njemba likimtia ndani ya nyumba yako ndani ya chumba chako kwenye kitanda chako utaendelea kuwa naye kisa mna watoto?
 
Unaropokaa maana hajakukutaa

Siku yakikukutaaa utajinyongaa nivyokujuaaa.

TUTAIMBA RIP
Acha ujinga wanaume wa aina yako ndo wamesababisha wanawake wa siku hizi waonekane hawana heshima kumbe nyinyi wenyewe ndo mna matatizo.
Ukiruhusu mkeo kuingilia mamlaka yako ndo hayo madhara yaliyo mkuta mtoa mada.

Shariti la kwanza kwa mwana mke kuingia kwenye ndoa ni kumtii mmewe ,hata vitabu vyote vya dini vimesema hivyo.

Mwana mke akipoteza utii kwa mmewe huyo hafai kuwa mke .

Sasa uwamuzi uko mikononi mwake, amtimue mkewe au asubiri kuletewa watoto wa huyo x wa mkewe alee.
 
Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.

Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Mwambie warudiane tu
 
Mwanamke alienda kugongwa na x wake huwa anaachia barabara zote, yaani wanajiachia bila hata chembe ya aibu. Halafu discussion humo chumbani Ni ubahili wa mumewe, kibamia Cha mumewe, uhanisi wa mumewe, uchoyo, uchawi yaani kila kitu kibaya Ni huyo mume anayepigiwa.
Niliwahi kutembea na mke wa jirani, aisee niliambiwa matatizo yoote ya yule mwamba kuanzia dakika zake mbili, kutokujua mapenzi, wivu, nk.
(Fanya ufanyalo usije tembea na mke wa jirani)
 
Kabla ya ujaanza kuishi naye ebu kumbuka kwanza mlikutana wapi na maongezi yenu yalikuwaje,
Isikute umeshakuwa x bila kujijua!
 
Toka juu ya mawe kwanza sio kuzuri
Screenshot_20221215-142317~2.jpg
 
Next time ukipata changamoto usikimbilie kufungua nyuzi humu mkuu,search apo utakutana na inshu zako zishawah kujadiliwa umu na utakutana na mawazo ya watu walotulia na wameshiba kipind cha JK uko,sio leo njaa kali afu mtu anakutana na uzi km huu umeletwa na mtu mzima kabsa tena uskute una ndevu kabsa na vinyweleo mwili mzima lkn unashindwa kutatua nshu ndg km hii,shenz kabsa
 
mkeo na huyo jamaa wana mtoto? I mean ulioa single mother?
 
Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.

Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Pole inawezekana wanazungumzia kuhusu MTOTO wao mtarajiwa anayekuja, kuwa makini bro.
 
Ameshaipata ndoa hana wasiwasi,na huo ni mwanzo tu wa mapichapicha,utashuhudia mengi sana,ila akishajikuta yuko nje katemwa ndio akili itamrudia,ataanza kukujia akiomba misamaha na machozi juu akidai ilikuwa ni shetani...
Nilishamwagiaga mke wangu nimeacha wote nimekuoa wew kwako ni mwaminifu Sina mchepuko wowote siku nikikufuma hapo hapo red card Mimi sigegedi nje kwanini ugegedwe nje
 
Back
Top Bottom