issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.