Daa mchunguze Ila Kuna kipindi nilikuwa nafundisha shule moja Ivi Sasa tukawa tunaishi kwenye Kota za shule na tulikuwa tuna tabia za kutembeleana walimu mahome baada ya vipindi , Sasa siku moja wakati vipindi vinaendelea Kuna syllabus ilikuwa kwa mwalimu mmoja Ivi ikabidi anielekeze nikaichukue alipoiweka na muda wa chakula Cha mchana umekaribia ,Sasa Mimi nikaenda mbio nikijua home kwake huyo teacher hayupo mtu kumbe bila kujua mke wake alikuwepo Sasa nikasukuma mlango bila hata ya hodi daa [emoji23][emoji23] yule mama alishtuka sijapata kuona kumbe Kuna vidawa alikuwa anavichanganya kwenye chakula Cha mmewe kwenye mboga aisee nilivoona nikajifanya sijaona kabisa na kusema shida yangu chap then nikasepa na kweli yule ticha alikuwa zobe Sana kwa mkewe yaani alishikwa hatari jamaa Hadi kuni alikuwa anaenda kuokota [emoji23][emoji23] mshahara anaubudget mke ,na mengine mengi ya ajabu
So huyo mke wako bila kupepesa macho anakuandalia bomu Cha kufanya na ww kula hotelini akikuuliza mbona huli chakula mwambie mbona na wew huli akisema amekula na ww mwambie pia mm nimekula fanya hivo wiki baadae atanyooka tu
[emoji23][emoji23][emoji23]usikute anakuwekea zile damu za siku zake ko yey anaona kinyaa kula(my opinion)