Mkeo anatakiwa aelewe tabia zako, na wewe unapaswa kuelewa tabia zake, itakuwa ngumu sisi kujudge jambo kwa kusikiza upande mmoja tu...
Mke kwa mume ni rafiki kama ilivyo mume kwa mke, hivyo kuna mambo huwa yanapaswa yaende kwa kuelewana kama unavyoelewana na rafiki zako...
Mke si mtumwa wa mume bali ni msaidizi tu, na pia ni mtu mwenye nafsi yake, anapokuwa down ni kama tu wewe unavyokuwa down, asipopenda kitu fulani ni kama wewe tu usivyopenda kitu fulani...
Mwisho siku nyingine uwe unatoka naye out kwenda kula restaurants, hotel n.k, kama kunguru tu huwa anabadili jalala si zaidi ninyi lovebirds?