Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kazi kweli kweli pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafanya hivo kwa kutegemea mmekaa miaka mingap kwenye ndoa. Mtoa mada inaonyesha bado ana ugeni hivyo anahitaji kupetipetiwa kama kote.Kha! Yaani baba mwenye nyumba alazimishe nimsubiri kula? Au kula nae? Yaani iwe ni lazima? Hebu nifafanulie...
Hilo suala ni la kimahaba zaidi unakaa unaongea nae kimahaba atakuelewa. Ila pia sio uchelewe kurudi hlf utegemee nitakaa njaa nikusubiri. Utakuta nimekula nimeshiba na kama ni usiku umechelewa utakuta nakoroma.
Ukweli mchungu[emoji1]Unadhani bado upo honeymoon!? Ushaingia dimban mkuu ngoja uisome namba.Hizo mambo tunafanya sana tunapoisaka ndoa tukishaingia unageuka jirani msumbufu🙄
Mvumilie.Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
Namba 1 ulitakiwa uweke MSHIRIKINA na 2 iwe Mzinifu (Malaya).Mwanamke sumu duniani hawa
1. Malaya
2. Mwenye kiburi
3. Mwizi
4. Mchoyo na mchonganishi.
5. Muongo
Sasa kama mkeo anatabia hizo bado unakaa nae na kuishi nae! Fukuza hivi mnawezaje kuwa na mke wa hovyo.
Muasisi wa nyumba ndogo aliona mbali sana baraka nyingi kwakeMfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
TrueAu unasemaje?
[emoji16][emoji119]Itakuwa unatafuna km nguruwe
sasa si nakuacha tu shida iko wapiUnadhani bado upo honeymoon!? Ushaingia dimban mkuu ngoja uisome namba.Hizo mambo tunafanya sana tunapoisaka ndoa tukishaingia unageuka jirani msumbufu🙄
Kama unarudi mida inayoeleweka utasubiriwa. Urudi kuanzia saa 4 hadi saa 8 na wakati mwingine asubuhi huwezi kusubiriwa itakuwa unamuonea mwenzio.Utafanya hivo kwa kutegemea mmekaa miaka mingap kwenye ndoa. Mtoa mada inaonyesha bado ana ugeni hivyo anahitaji kupetipetiwa kama kote.
After 10yrs atasahau kila kitu
Lawama tuwatupie nyie ndio Watoto wenu wa kiume mnawalea hao ndio wakikua ndio wanakuwa kama mtoa madaHivi wanaume mmekuwaje kuwaje [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ndio vichwa vya familia hivi[emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa mkuu unataka akusubiri hata ukicheleea akusubiri ashinde na njaa? Na kama kashiba kwanini unamlazimisha ale? Sijaona mantiki kwenye malalamiko hayaMfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.