Achana nae oa mwengine
View attachment 2093160Khee! Oneni huyu burazaa!
Daa mchunguze Ila Kuna kipindi nilikuwa nafundisha shule moja Ivi Sasa tukawa tunaishi kwenye Kota za shule na tulikuwa tuna tabia za kutembeleana walimu mahome baada ya vipindi , Sasa siku moja wakati vipindi vinaendelea Kuna syllabus ilikuwa kwa mwalimu mmoja Ivi ikabidi anielekeze nikaichukue alipoiweka na muda wa chakula Cha mchana umekaribia.Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
Mpandishe hadhi!Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.