Ushauri: Mke wangu si muelewa, ni mbishi kupindukia

kwa hiyo asile akusubiri???

kaka

Wanawake wa hivyo waliisha kwenye vita vya pili dunia!!!!!!

Imagine unarudi saa tano saa sita usiku, akae na njaa ili akuridhishe??????? au abugie mivyakula ya usiku usiku anenepeshe kitambi ili akufurahishe????

Ukitaka kula na mkeo pamoja tenga siku ya kuwahi kurudi mle wote!!!!!!
 
Unadhani bado upo honeymoon!? Ushaingia dimban mkuu ngoja uisome namba.Hizo mambo tunafanya sana tunapoisaka ndoa tukishaingia unageuka jirani msumbufuπŸ™„
Ila bado inapaswa kujua huyo.mwanaume anarudi saa ngapi nyumbani????????

Unless anarudi kabla ya saa mbili usiku.


Usikute anarudi night kali halafu anategemea mke asile amsubiri wale wote........

Kwanza kitendo cha mkewe kumsubiria mpaka ale ashukuru Mungu!!!!
 
Mimi naona hili jukwaa la MMU linawalemaza akili wanaume(sorry for shooting you on the head).
Mbona ni jambo tu la kuongea na kutoa maamuzi kama baba wa nyumba!πŸ€”View attachment 2093254
Kha! Yaani baba mwenye nyumba alazimishe nimsubiri kula? Au kula nae? Yaani iwe ni lazima? Hebu nifafanulie...
Hilo suala ni la kimahaba zaidi unakaa unaongea nae kimahaba atakuelewa. Ila pia sio uchelewe kurudi hlf utegemee nitakaa njaa nikusubiri. Utakuta nimekula nimeshiba na kama ni usiku umechelewa utakuta nakoroma.
 
Wewe jamaa jiongeze anakua anataka umule kwanza yeye ndio mule wote chakula,au nipe no,yake ni mpe ushauri.
 
Wakati unaoa huo mtambo ulitushirikisha?

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Sasa hukumstua mwenzio ukaacha ateketee sio vizuri bana!
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mlango unaachaga wazi au
 
Ushauri: Mwache huru akaolewe na ex wake.
Ulimpokonya mtu kwa nguvu ya pesa au status fulani ila Bado anapenda huyo mtu.
Natania tu
 
Wakati mwingine watu mnafanya mambo yanakua magumu bila sababu.

Kwani kula pamoja ni lazima mkuu? Halafu inawezekana wewe unarudi sa 3 ama 4 usiku, mtu apike sa 12 jioni akae akusubiri hadi urudi kweli ndio mje kula wote?

Kikubwa ni kwamba unakuta kakuandalia chakula, ni wewe kula na kisha kwenda chumbani umle ulale, biashara imekwisha, hayo mambo mle pamoja umekua mototo?

Wanaume wengi wanakwepa kula pamoja na wake zao, tena wanatamani wakirudi wakute wake wameshalala na wewe unakfika anakutengea chakula vizuri tu unataka nini tena boss?

Nikajua unakunyima ile chakula kuu, kumbe ugalia ama wali? Acha masikhara mkuu. Kula hiyo wali kisha neda chumbani mle kisha ukalale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…