Ushauri: Mke wangu si muelewa, ni mbishi kupindukia

Achana nae oa mwengine
Mkuu kwa style hiyo ata acha wangapi nakuoa wangapi? coz hakuna binadamu aliyekamilika,hata huyo atakaye muoa nae atamkuta ana matatizo yake pia,kuna vitu mtu hutakiwi kuvichukulia serious,yeye anatakiwa amuignore tu,kula chakula peke yako kama vile hakuna kilicho tokea,wanawake sometimes hua wanaanzisha tu visababu but hutakiwi kumpa chance.
 
Umemtengeneza hivyo!! Anyway ningekuwa mimi wewe, ningeangalia umuhimu wa kula nae pamoja kwanza.
If that matter, nitamlazimisha, akikataa namwekea utaratibu wangu.

Mfano: "Ukipika ukila mwenyewe mimi usiniwekee Chakula"...ntakula ninapojua mwenyewe.
 
Kwanza kabisa kama kweli linakukera bhasi Kula huko nje kama week 2 mfululizo akiuliza mwambie umeshibaa ukitaka kujua anatafuta sababu hatakuwekea tena chakula.

Pili labda mimi nipo tofauti lakino kitu kama hichi hakiwezi kunipq shidq siwezi chelewa kurudi nyumbani nikute wife kala alafu Nimind eti yani mtu akae na njaaa kisa kunisubiri???? Hapana haipo sawa kabisaa vitu vingine ni Udikteta ndani ya familia...

Tatu itakuwa kuna kitu umemkera kama ameanza hivi karibuni hiyo tabia so muulize vizuri.
 

Mkeo anatakiwa aelewe tabia zako, na wewe unapaswa kuelewa tabia zake, itakuwa ngumu sisi kujudge jambo kwa kusikiza upande mmoja tu...

Mke kwa mume ni rafiki kama ilivyo mume kwa mke, hivyo kuna mambo huwa yanapaswa yaende kwa kuelewana kama unavyoelewana na rafiki zako...

Mke si mtumwa wa mume bali ni msaidizi tu, na pia ni mtu mwenye nafsi yake, anapokuwa down ni kama tu wewe unavyokuwa down, asipopenda kitu fulani ni kama wewe tu usivyopenda kitu fulani...

Mwisho siku nyingine uwe unatoka naye out kwenda kula restaurants, hotel n.k, kama kunguru tu huwa anabadili jalala si zaidi ninyi lovebirds?
 
umeua bro
 


MKamate na umlishe kwa nguvu kama mtoto anavyonyweshwa dawa.---- huyo atakuwa anakuwekea "mizizi" kwenye msosi.🀣
 
Hizi ni theory za vitabuni tofauti na maisha halisia ya uswahilini...amini mpaka ukishakuja kujua tabia za mkeo tayari utakuwa ndondocha,ushalishwa sana madawa ya kienyeji na uchawi na pengine hata shughuli zako za kutafuta kipato zishaharibika...kwann asile pamoja na wewe kile anachokupikia?
 
Baba ukitumia nguvu nyingi sana ili uheshimiwe, mwisho utakuwa unaektiwa tu, tumia zaidi akili na nguvu kidogo utaona familia yako inavyokuheshimu na kukusikiliza kwa heshima zote za ubaba!! Matumizi ya nguvu ni hatari sana!!
 
Huo ndio wakati wa kuja na ma take away ya maana. Ma baga na mazaga sana. Akisogeza mikono lamba mpaka vidole vyake. We muachie hela ya dagaa tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…