Ushauri: Mpenzi wangu ataniua!

Sisi ni binaadamu na wala sio mbuzi ama kuku kwamba nyege zikitupanda hapo hapo tunapandwa na yeyote.

Alishindwa kuongea na mwenzie kwa utaratibu na kumwambia shida yake?

Miaka 3 yote uishie kupigwa miti ovyo kisa nini?
Akili hizo ulizonazo Ni zako wewe,
Sio wanawake wote wanaweza waza hivyo zikishampanda.

Na Sio kwamba ataenda TU kuomba kupandwa Kama mbuzi,

Ni kwamba akija ongea ivyo ujue kua tayar Kuna Wanaume wananyatia nyatia kimya kimya MDA mrefu ila dada wa watu kawaweka Kwenye WAITING LIST.

Na wananyatiaji sikuzote ikitokea nafas kidg tu, wanaitumia ipasavyo.
 
Hapo cha kufanya ni kumwambia asafiri aje ulipo then utaona furaha yake
 
Na atakuua kweli...
Mapenzi ukichaa,, na ukizubaa utakufa kweli...

Mkuu achana na mwanamke huyo,,, wewe ongea nae hali halisi... Mueleze unachoona kitafaa kutokana na akili yake... Mengine muachie yeye...

Ukiwa kwenye hustle usiwazingatie sana hao viumbe... Watakufelisha... Kuwa na misimamo then pambana.
 
Sisi ni binaadamu na wala sio mbuzi ama kuku kwamba nyege zikitupanda hapo hapo tunapandwa na yeyote.

Alishindwa kuongea na mwenzie kwa utaratibu na kumwambia shida yake?

Miaka 3 yote uishie kupigwa miti ovyo kisa nini?

Hehehehe mkuu kuna binadamu kama mbuzi... Wao wakisikia tu lazima wapandwe...

Shukuru wewe haupo hvo,,, wapo wenzako
Niamini mm..
 
Hii naona ipo kwa wanaawake wengi hawapo straight..hasa akiwa anakupenda
 
Tiara kweli ww baraka zake za nini wee ni mwanaume kweli kiazi kabisa unangojea ruhusa ya mtu kupambania maisha yako mouuzi mmoja ww
 
Hakuna cha kukufanya ufe apo labda tu kama una kiherehere cha kutaka kufa, kakutext anatamani kusafiri ila hana pa kwenda! Alimaanisha wewe umruhusu aje huko ulipo badala yake we ukajibu mafyongoo[emoji57]
Kama Hana ela anakuja vp na akifika ataishije mnachukulia rahisi kila kitu
 
Yani ufe kisa suala dogo ivo? Mambo hayapo sawa upande wako ukitaka yaendelee kutokuwa sawa maradufu ongeza na stress za mapenzi.
Pambana mambo yako yapate uelekeo vinginevyo hata akija ulipo anaweza kukuchanganya kabisa.
 
😅 Anamajibu mazuri sana...
 
Eti ila Sina Pa kwenda daah!! wanawake [emoji16][emoji16]
 
So muda ghani mnakuwaga straight? kuna muda anakuambia niache na mambo yangu kumbe anamaanisha draw me closure to you
 
Siku zote ukitaka kuwasiliana na mtu juu ya jambo muhimu usitumie SMS...

Texts huwa zinashindwa kueleza hisia mwandishi ako nayo, unaweza ukaandika maneno msomaji akatafsiri kama mwandishi ana hasira kumbe si kweli n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…